Songwe International Airport

Mkuu mbona kwetu kigoma mwisho wa reli, hamtaji? mara zote mumekuwa mkitusahau. Jamani nasi ni wadanganyika, ah, kumradhi watanzania.
 
Arusha haihitaji uwanja mwingine ukiangalia CBA haiwezi support uwanja mwingine mkubwa at that proximity! Tuache ubinafsi kinachotakiwa uwo wa Kilimanjaro kama haukidhi mahitaji upanuliwe kwisha kazi! Mwanza nathani kama watu wanavyosema una runway nzuri kilichobaki ni kuweka facilities muhimu kama passengers lounges, terminals na maintanance facilities Kwishnei! Hivi hamjiulizi kwanini the whole of Texas (size of Tanzania) has only 3 international airports? and yet the country US is damn rich! the answer is they look at feasibility and they advocate fewer but massive with capacities!
 
Muulizaji na wachangiaji wake mnajaribu kutuonesha jinsi mlivyo wabinafsi. Mbona yako maeneo economically viable lakini hayana barabara ambayo ni muhimu kwa uchumi kuliko hata huo uwanja wa ndege?

yep safi sana hebu tupatie tuyachambue hapa
 

There are many international airports in Texas. These are the Rick Husband Amarillo International Airport, the Austin-Bergstrom International Airport, Brownsville/South Padre Island International Airport, the Corpus Christi International Airport, the Dallas-Fort Worth International Airport, the El Paso International Airport, the Valley International Airport, the Laredo International Airport, the Lubbock Preston Smith International Airport, the McAllen-Miller International Airport, the Midland International Airport and the San Antonio International Airport.
 

Kitu ninachokiona kwa post zilizo nyingi humu ni confusion kati ya International airport na airport bora. Wakuu maana hasa ya international airport is AN AIRPORT TYPICALLY EQUIPPED WITH CUSTOMS AND IMMIGRATION FACILITIES TO HANDLE INTERNATIONAL FLIGHTS TO AND FROM OTHER COUNTRIES. Kwa hiyo basi kutokana na hiyo definition siyo lazima international airport iwe kama JFK au Heathrow. I have been to Ndjamena intl. airport sometimes back, man hata ile airport ya Mwanza ni bomba sijui siku hizi.

Hivyo basi idea ya kuona ujenzi wa Internatinal airport Mbeya si nzuri eti tu kwa sababu gharama yake ingeweza kutumika kujengea barabara sehemu ambapo hamna barabara is just ridiculous. Gharama ya kujenga kale kaeaport ni Tshs 60 Billioni ambayo ni equivalent na 60 - 70km barabara ya lami. Well can someone tell me ni wapi hapo Tanzania kujenga barabara ya urefu huo ni more economical viable kuliko hako kaeaport?

The other factor ni kwamba Mbeya ni mkoa pekee ktk Tanzania uliopakana na nchi mbili na kwenye radius kama 500km kuelekea Malawi au Zambia hakuana international airport hivyo basi there will be more people coming thru Mbeya na hivyo kuongeza pato la taifa hasa ukizingatia kuna mining projects nyingi zinaanzishwa kaskazini ya Malawi na Zambia.

Mbeya as well ni the only region in Tanzania yenye all climatic conditions hivyo basi kuna fursa nyingi za ulimaji maua na mbogamboga for exports. Na vilevile is one of the best places to live.

Mbeya pia na majirani zake have so many tourist attractions ambazo kwa sasa haziuziki vizuri simply kwa sababu ya hiyo karaha ya more than 10hrs drive from the main overseas intl. entry port (Dar).

Another reason ni kwamba Mbeya is just 2.5 hrs flying kutoka South Africa ambayo ni economic powerhouse ya Nchi zote za kusini mwa jangwa la Sahara. As such ukichanganya na rasilimali zilizopo it is one of the best areas kufanya major investments.

Hivyo basi kuna haja at least kila mkoa kuwa na airport yenye runway ya lami kuwezesha ndege kubwa kutua bila matatizo thruout a yr. But for an international one, Mbeya is the perfect spot.


 

Ndio maana tunahitaji watu wanaweza kufanya maamuzi ya maana kwa TAnzania. Nafahamu kuwa uwanja wa mwanza unatakiwa kuwa better than ulivyo sasa, uwanja mbeya unahitajika na uwanja kigoma pia unahitajika. Ujinga wa siasa utaendelea kutumaliza.

Kuna siku nimewahi kuulizwa, toka mpate uhuru mmejenga kiwanja chochote cha maana cha ndege? au mmejenga barabara yoyote ya maana? Mtu aliyeniuliza ni mtoto wa mmoja wa maofisa wa serikali ya ukoloni. Aliondoka Tanganyika akiwa mtoto.

Ukweli ni kwamba we are not serious and never we will be. Kwa style ya uongozi tuliyonayo sasa, we are doomed.
 

Kwa hiyo wakuu it is not supporting just b'coz of personal interests as others will put it lakini kuna sababu za msingi kabisa kujenga uwanja ule. And after all it is a cheap airport.
 

Si sula la ushabiki lakini umuhimu wa hiyo airport ni mkubwa and it is urgent!
 
Acha wajenge tuu la sivyo hizo pesa zitaishia mifukoni mwa mafisadi.
 
Southern part of Tanzania is very potential economically.Sasa hivi kuna mbuga kubwa ya wanyama, kuna utafiti na mipango ya uchimbaji wa madini, kuna potential kubwa ya kilimo cha mazao ya chakula na biashara. Wanahitaji nao kuwa na uwanja wa ndege mkubwa. Utaongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa maeneo hayo.
 
Huu uwanja ni bifu ya mwungwana na Prof. ulitakiwa uishe loooooong tym,tena nashaanga umechelewa,we real need it!mbeya mbali jamani unadrive 10hrs non stop!nashangaa kuna nini hapa!
 
An international airport is an airport typically equipped with customs and immigration facilities to handle international flights to and from other countries. Such airports are usually larger, and often feature longer runways and facilities to accommodate the large aircraft commonly used for international or intercontinental travel. International airports often host domestic flights (flights which occur within the country) in addition to international flights. In many smaller countries most airports are international airports, so the concept of an "international airport" has little meaning. In certain countries however, there is a sub-category of limited international airports which handle international flights, but are limited to short-haul destinations (often due to geographical factors) or are mixed civilian/military airports
 
Uwanja wa Songwe umeanza kujengwa tangu enzi za Nyerere lakini cha ajabu ni kuwa haukamiliki.
Kuna wakati nasikia Sumaye alibeba rundo la hela za wahisani waliokuwa wamejitolea kuendeleza ujenzi wa uwanja huo na kuzipeleka kwao kujengea barabara.
 
Naona kama nusu saa ivi mh Zambi katoka uliza lini songwe airport mbeya utakamilika.
Naibu wazili wa uchukuzi akajibu mkandarasi kapewa ultimatuma by dec 2011 awe amemaliza kazi.
My worry ni kuwa kama mkandarsi alipropose amalize april 2012 ivi kuna anaejua huu uwanja why umechukua zaidi ya 10 years kujengwa?
Its time ufunguliwe ili southern highlands ifunguke to the rest of the world jamani
 
Tanzania Tanzania Tanzania Najivumilia sana kuwa mtanzania hicho kiwanja kingekuwa kinajengwa kwenye nchi ya watu wenye akili timamu kingechukua maximu 4 years only
 
Hicho kiwanja kinahitaji maombezi au sadaka ya kimila kwa kweli.
 
ilikuwa ni siasa tu na bongo kinachoturudisha nyuma ni kuchanganya kila kitu na siasa..
 
Jibu hilo ni la kisiasa zaidi, kwa hiyo don't worry uwanja utakamilika kama ilivyokuwa mwanzo!! tatizo majibu ya bungeni ni ya kuwaridhisha waulizaji maswali na siyo ya kiutekelezaji. Yawezekana hata uwanja ukakamilika mwishoni mwa 2014.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…