Hivi kuna dili gani jamani huko hadi kujenga airport kubwa kama hiyo?
Huenda siko updated na habari zingine. Naomba mwenye taarifa sahihi anihabarishe.
Mbona hukuuliza wakati pale Arusha uwanja wa ndege ulikarabatiwa/kujengwa wakati kuna uwanja mkubwa pale KIA,na muda si mreefu Mbeya itakuwa makao makuu ya SADC,leka tujobe
Muulizaji na wachangiaji wake mnajaribu kutuonesha jinsi mlivyo wabinafsi. Mbona yako maeneo economically viable lakini hayana barabara ambayo ni muhimu kwa uchumi kuliko hata huo uwanja wa ndege?
Mbona Mwanza umepanuliwa ndege kubwa za mizigo zinatua! na passengers lounge ilikuwa inajengwa au ni geresha za serikali yetu?Kwani nini wameutelekeza uwanja wa ndege wa Mwanza? Uwanja wa ndege wa Mwanza ungetumika kama hub ya EAC. nchi kama Uganda, rwanda na burundi. Sibishi Kuwa hata Songwe pia inahitajika lakini serikali etu haifanyi miradi yake kwa Priority.
Nakumbuka waziri wa mawasiliano na uchukuzi wakati huo akiwa ni mwenyeji wa mbeya ndo alianzisha move hii. Bungeni akatangaza kuwa Songwe ni Uwanja wa kimataifa. akabanwa na mbunge 1ja kuhusu uwanja wa mwanza hapo hapo akasema na wenyewe ameupa hadhi ya kimataifa.
Teh teh unaweza kuona nchii hii inapelekwa kisiasa siasa. Pili, hizi project za Anga zingekuwa minimised badala yake mapesa hayo yangetumika ku boost ufanisi kwenye project za TAZARA na TRL.
Mbona Mwanza umepanuliwa ndege kubwa za mizigo zinatua! na passengers lounge ilikuwa inajengwa au ni geresha za serikali yetu?
Ingekuwa hivyo tayari kungekuwa na barabara na viwanja vya ndege. Kuna maeneo yanasemekana kuwa economically viable lakini sio, na kuna maeneo ni economically viable lakini yanapuuzwa, kuna maeneo ambayo sio economically viable lakini yanapewa umuhimu mkubwa kutokana na sababu za kisiasa na kidini.Muulizaji na wachangiaji wake mnajaribu kutuonesha jinsi mlivyo wabinafsi. Mbona yako maeneo economically viable lakini hayana barabara ambayo ni muhimu kwa uchumi kuliko hata huo uwanja wa ndege?
Nakubaliana na pointi hii kwa 100%. Tungeimarisha usafiri wa treni, nchi yetu ingepiga maendeleo sana, ikichangiwa na uboreshaji wa huduma za bandari. Lakini je, ni nani wa kuipa vipaumbele miundombinu hii baada ya Mzee Mkapa kuondoka?... hizi project za Anga zingekuwa minimised badala yake mapesa hayo yangetumika ku boost ufanisi kwenye project za TAZARA na TRL.
Yataje tuendelee na mjadala!
Hivi kuna dili gani jamani huko hadi kujenga airport kubwa kama hiyo?
Huenda siko updated na habari zingine. Naomba mwenye taarifa sahihi anihabarishe.
Naakunga mkono Kanyagio:mimi napongeza hatua za kujenga uwanja wa ndege sehemu nyingi iwezekanavyo.... itasaidia sana kufungua mikoa na hatimaye kuongeza fursa za kiuchumi... tuache kuwa na mawazo mgando!!!
Hakuna cha Bush wala nini. Mradi huu ulianzishwa enzi za mkapa mwandosya akiwa waziri wa mawasiliano. bahati mbaya sana Pm wa wakati huo hakupenda kwa mtazamo wake ingekuwa threat kwa KIA naye anatoka kanda hiyo hiyo ya KIA na wakati huo yeye mwenyewe na mzee mwandosya walikuwa wanataka urais baada ya mkapa.Mimi naunga mkono wachangiaje wote waliotoa mifano ya fursa mbali mbali zilizoko huko nyanda za juu kusini, ni safi kabisa! lakini tuachane na hizo fursa harafu tuone ni vipi serikali yetu imeshawishika kujenga huu uwanja! maana kuna taarifa ambazo si za uhakika kuwa kuna mkono wa Bush huko maeneo fulani kuna madini sasa wanataka dili lichezwe juu kwa juu kama wanavyofanya Geita Mining, na migodi mingine kuwa ndege ikija inaishia huko huko kuchua mzigo na kuondoka. Huo ndo ulikuwa wasiwasi wangu, ndo maana nikaomba taarifa za mina na wanaJF.
Tuna viwanja vingi lakini ndo hivyo kila kitu tunasubiri misaada hata ndege za makampuni yetu ya serikali tunataka misaada.
Mbona Mwanza umepanuliwa ndege kubwa za mizigo zinatua! na passengers lounge ilikuwa inajengwa au ni geresha za serikali yetu?