Songwe connection ni mtaji wa watu wachache

Right Marker

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
194
Reaction score
624
Miezi kadhaa nyuma nilipokea taarifa kutoka kwa vyanzo vyangu vya taarifa vilivyopo Mbeya mjini vikisema kwamba huko mkoa wa Songwe kuna kundi binafsi linaitwa SONGWE CONNECTION ambalo lina makadirio ya wanachama 3,800.
Taarifa niliyoipokea ni kuwa kuna mkanganyiko wa kimaslahi katika kundi hilo na huenda baadae ikaleta shida. Mara tu nilipopata taarifa hizo niliwatuma watu wangu wafike huko Songwe wafuatilie kwa kina ndipo leo wamekuja na majibu yafuatayo.

1. Ni kundi lenye wanachama 3,800 ambalo linaendeshwa kwa njia ya "Whatsapp Groups" na limegawanywa katika makundi manne kama ifuatavyo.
~ GROUP A (wanachama 1000).
~ GROUP B (wanachama 1000).
~ GROUP C (wanachama 1000).
~ GROUP D (wanachama 800).

2. Kila mwanachama katika wanachama 3800 amejiunga kwenye kundi kwa Tshs 28,000.
(28,000 × 3800 = 106,400,000)

3. Fedha zinazochangishwa kwa wanachama wote zinahifadhiwa benki kwa akaunti yenye jina binafsi, ambapo mpaka sasa hakuna mwanachama anayejua akaunti yao ina kiasi gani cha fedha.

4. Kwavile wanasema ni kundi la kusaidiana katika misiba, mwanachama wa kundi moja lenye wanachama 1000 akifiwa, kila mwanachama ndani ya kundi moja anachanga Tsh 5,000 kisha mfiwa anapewa Tsh 2,500,000.
(5000 × 1000 = 5,000,000).

5. Uchangishaji wa fedha za matukio unafanywa kwa njia mbili. Njia ya kwanza ni njia ya akaunti ya benki (akaunti binafsi). Njia ya pili ni njia ya kutuma kwenye simu binafsi za viongozi.

6. Kila mwanachama anatakiwa kuchanga Tsh 25,000 kwa ajili ya kwenda kuwatazama watu wenye uhitaji maalumu. (25,000 × 1000 = 25,000,000)

7. Kila mwanachama katika kundi moja anatakiwa kuchanga Tshs 75,000 kwa ajili ya kuanzisha mradi wa BarberShop moja. (75,000 × 1000 = 75,000,000)

8. Lakini pia upande wa kundi lingine lenye watu 1000 lilichanga fedha za kununua coaster. Kila mwanachama kati ya wanachama 1000 alichanga Tshs 100,000.
(100,000 × 1000 = 100,000,000).

Mwisho
Baadhi ya wanachama (waliojitoa) wamehofia kwamba huenda likawa ni kundi la kuwanufaisha watu wachache (viongozi wa kundi) huku likitumia mwamvuli wa kutoa misaada.

RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM
 
(28,000 × 3800 = ?)

(5000 × 1000 = ?).

5. Uchangishaji wa fedha za matukio unafanywa kwa njia mbili. Njia ya kwanza ni njia ya akaunti ya benki (akaunti binafsi). Njia ya pili ni njia ya kutuma kwenye simu binafsi za viongozi.

6. Kila mwanachama anatakiwa kuchanga Tsh 25,000 kwa ajili ya kwenda kuwatazama watu wenye uhitaji maalumu. (25,000 × 1000 = ?)

7. Kila mwanachama katika kundi moja anatakiwa kuchanga Tshs 75,000 kwa ajili ya kuanzisha mradi wa BarberShop moja. (75,000 × 1000 = ?)

8. Lakini pia upande wa kundi lingine lenye watu 1000 lilichanga fedha za kununua coaster. Kila mwanachama kati ya wanachama 1000 alichanga Tshs 100,000.
(100,000 × 1000 = ?).

Mwisho
Baadhi ya wanachama (waliojitoa) wamehofia kwamba huenda likawa ni kundi la kuwanufaisha watu wachache (viongozi wa kundi) huku likitumia mwamvuli wa kutoa misaada.

RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM
Songwe koneksheni inaongozwa na jamaa yangu kabisa anaitwa baraka. Baraka anamiliki duka linauza furniture na mwaka huu anagombania udiwani

Ilianza kama utani tu, although sijajua mission halis ya hili group lakin limejaa kina mama sana sana

Kama nimekosea hizi details nirekebishwe
 
Yap ni akina mama na mabinti wasio na ajira nalijua pia coz natokea huko niliambiwa nijiunge nikagoma
Songwe koneksheni inaongozwa na jamaa yangu kabisa anaitwa baraka. Baraka anamiliki duka linauza furniture na mwaka huu anagombania udiwani

Ilianza kama utani tu, although sijajua mission halis ya hili group lakin limejaa kina mama sana sana

Kama nimekosea hizi details nirekebishwe
 
Ni wakina mama tu na mabinti but siku moja watalia
 
Attachments

  • 9a03ede2f5cd4b8dbc76aa8f38a3ab4a.jpg
    9a03ede2f5cd4b8dbc76aa8f38a3ab4a.jpg
    198.9 KB · Views: 29
  • 9b8313c1572848a19fd92037744aa4c1.mp4
    3 MB
Huyo aliyeshika maiki anaitwa Baraka anamiliki kitu kinaitwa Baraka furniture. Sijui hii power kaipata wapi ila mwana ccm mzur tu, ukitaka namba zake nikupe na hilo group mm niliwah kupewa muda wa siku 2 niongee nalo mambo ya kariakoo
 
Miezi kadhaa nyuma nilipokea taarifa kutoka kwa vyanzo vyangu vya taarifa vilivyopo Mbeya mjini vikisema kwamba huko mkoa wa Songwe kuna kundi binafsi linaitwa SONGWE CONNECTION ambalo lina makadirio ya wanachama 3,800.
Taarifa niliyoipokea ni kuwa kuna mkanganyiko wa kimaslahi katika kundi hilo na huenda baadae ikaleta shida. Mara tu nilipopata taarifa hizo niliwatuma watu wangu wafike huko Songwe wafuatilie kwa kina ndipo leo wamekuja na majibu yafuatayo.

1. Ni kundi lenye wanachama 3,800 ambalo linaendeshwa kwa njia ya "Whatsapp Groups" na limegawanywa katika makundi manne kama ifuatavyo.
~ GROUP A (wanachama 1000).
~ GROUP B (wanachama 1000).
~ GROUP C (wanachama 1000).
~ GROUP D (wanachama 800).

2. Kila mwanachama katika wanachama 3800 amejiunga kwenye kundi kwa Tshs 28,000.
(28,000 × 3800 = 106,400,000)

3. Fedha zinazochangishwa kwa wanachama wote zinahifadhiwa benki kwa akaunti yenye jina binafsi, ambapo mpaka sasa hakuna mwanachama anayejua akaunti yao ina kiasi gani cha fedha.

4. Kwavile wanasema ni kundi la kusaidiana katika misiba, mwanachama wa kundi moja lenye wanachama 1000 akifiwa, kila mwanachama ndani ya kundi moja anachanga Tsh 5,000 kisha mfiwa anapewa Tsh 2,500,000.
(5000 × 1000 = 5,000,000).

5. Uchangishaji wa fedha za matukio unafanywa kwa njia mbili. Njia ya kwanza ni njia ya akaunti ya benki (akaunti binafsi). Njia ya pili ni njia ya kutuma kwenye simu binafsi za viongozi.

6. Kila mwanachama anatakiwa kuchanga Tsh 25,000 kwa ajili ya kwenda kuwatazama watu wenye uhitaji maalumu. (25,000 × 1000 = 25,000,000)

7. Kila mwanachama katika kundi moja anatakiwa kuchanga Tshs 75,000 kwa ajili ya kuanzisha mradi wa BarberShop moja. (75,000 × 1000 = 75,000,000)

8. Lakini pia upande wa kundi lingine lenye watu 1000 lilichanga fedha za kununua coaster. Kila mwanachama kati ya wanachama 1000 alichanga Tshs 100,000.
(100,000 × 1000 = 100,000,000).

Mwisho
Baadhi ya wanachama (waliojitoa) wamehofia kwamba huenda likawa ni kundi la kuwanufaisha watu wachache (viongozi wa kundi) huku likitumia mwamvuli wa kutoa misaada.

RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM
Kati ya watu 1,000 wakosekani hata 10 au wa kudadisi pesa zao, basi watakuwa wameshawaendea hapo jirani Sumbawanga.
 
Mimi namsifu muanzilishi, kuwa na uwezo wa kukusanya watu zaidi ya alf tatu si kazi ndogo. Mengine ni mapungufu ya kibinadamu😆
 
Back
Top Bottom