Songs you used to sing at school | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Songs you used to sing at school

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Boflo, Sep 8, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nakumbuka hii...

  Jua lile lichomoze mama!

  haya yaaa haya mama

  .....what is yours?
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  twinkle twinkle....hikory dikory do.....hot cross buns....london bridge.....humpty dumpty.....
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  mi mwalimu wangu alikuwa anapenda kutuimbisha nyimbo za idd amin, sijui kwa sababu alikuwa mjeshi........!
   
 4. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ww utakuwa mtoto wa mama
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ndio....mimi ni mtoto wa mamy yangu....hujakosea.....
   
 6. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Sisi tulikaririshwa nyimbo za CCM !Na viapo kibao!
  'Naapa naahidi mbele ya Chama Mapinduzi nitakulinda,mpaka kufa!!'


  Nawezaje kufuta hicho kiapo?
   
 7. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Kamata bastola...hima hima,
  Tumkimbize Mayere...hima hima.

  Walimu vichaa,nasisi vichaaaa..!!!
  Mayere umezidi kutuonea(hapa tuko mbele ya ofisi yake,ye ni mwl mkuu)...

  Hima,hima,hima,hima.
  Tii..tii..tii..tii.,
  Hima hima hima hima.

  Mayere...oh mama we..,
  Tutakuchinja...oh mama we..,
  Karibu nje...oh mama we..,
  Kama waweza...oh mama we...[Hapa wababe tu ndio tu ndio tunaingia mpaka ofisini kwake kwenda kumvuta shati ili tumtoe nje]
  (unaurudia kadri unavyoweza)

  Enzi hizo niko Primary shule ya Wagumu,hapo ni kwenye Mchakamchaka tunamuimba Mwl wetu Mkuu,Mwl Mayere.
   
 8. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Nakumbuka wimbo wa: 'we shall over com, we shall over come someday ooh dear my heart ... Mwl mmoja wa kike aliupenda sana wimbo huu. Akiingia kwa darasa lazima msimame na kuimba hii song. Baadae nilishakuwa na brain kidogo nikajua kuwa kumbe ilikuwa ni speech ya Martin L. King Jn. aliyotoa mwanzoni mwa 1960's.
   
 9. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,884
  Likes Received: 4,735
  Trophy Points: 280
  Heh! Lazima itakua ndo zile xul za dot com.
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Yaani hii dhambi naitubu kila siku!
  Ati: CCM ndio baba, aaaah!
  CCM ndio mama, aah!

  My socks!
   
 11. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  khe! mhandisi kumbe hata kule loiboseret mlikuwa na hii kitu?
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mhandisi.....mpaka uwe mhandisi unaanzia mbali ujue.....
   
 13. Duzente Siqwente

  Duzente Siqwente JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  za kwetu zilikua za kukisifia chama cha FRELIMO
   
 14. A

  ADK JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,150
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  umesahau kidogo ukweli ni
  jua lile literemke mama yayaya iya iya mama
  nyota nazo ziteremke mama yayaya iya iya mama
   
 15. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,697
  Likes Received: 8,232
  Trophy Points: 280
  Umesahau na baa baa black sheep...
  We used to have cassette yote na kitabu chake.
   
 16. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,697
  Likes Received: 8,232
  Trophy Points: 280
  Mi niliupenda huu enzi zetu za JKT:
  Selina selina X2
  Uongo wako Selina.

  Ulimdanganya afande (uongo wako Selina)
  Akalala mlango wazi (uongo wakoo Selina)
  Bila viatu bila kombati (uongo wakoo Selina)...
  Daaahh...dem gud old days bana.
   
Loading...