Hata mimi nafikiri sheria kama iko ivyo ina matatizo, haingii akilini wazazi wa Marehemu wapo na ndiyo walio msomesha na hata kumpatia mtaji marehemu then Mali zinakaliwa na Mjomba! Masikini wazazi wa Msuya hawakanyagi hata kwa mtoto wao lakini wajomba na ndugu za mwanamke wanaogelea utajiri wa mtoto wa Mzee Msuya.
Huu utaratibu wa kumfanya mke wa Marehemu msimamizi wa mirathi una kasoro maana hawa mama zetu wakishaona waume zao wamefariki uwatelekeza kabisa wazazi wa Marehemu wanasahau kama bila wale mume wake hasingekuwa na kitu.