Songesha ya Vodacom ni nini?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,379
73,976
Jamani hii kitu inaitwa Songesha nini nini na inafanyaje kazi? Maana wao hawaaminiki maelezo yao siyaamini, haya makampuni ya simu ni wezi!
 
Hii ni huduma kama nipige tafu.
Mfano: Ninahitaji kununua kifurushi cha Tsh 1000 kwa mpesa lakini salio langu halitoshelezi labda nina 600 tu kwa mpesa yangu. Wanachokifanya ni kukuongea pesa iliyopungua(Tsh 400). Kisha wao watakukata juu kwa juu kwenye muamala wowote wa mpesa utakaoingia kwako.(lkn pia kuna kamisheni wanachaji kulingana na kiasi walichokukopesa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wale wanakupa tu mapesa unaenda kunywa bia. Tarehe 21 walinipa tsh 20000 nikanywa bia kesho yake nikaweka pesa wakachukua leo nataka niende mjini nikanywe tena. Lazima wanipe pesa hata kama sina. Yaani unaweka buku tano tu kwenye M,pesa kisha unatoa nyingi zaidi harafu wanaweka riba kama asilimia kumi hivi. Utawalipa ujipiga bingo mwaka kesho

nimeelewa vema. asante sana
 
ebu eleza vema bila mifano ya bia
 
Dah wanakata hela kubwa Sana.

Nilikuwa na elfu nne KWENYE mpesa nikataka kutoa elfu kumi wwkanisogezea freshi kuchek salio hata hiyo elfu nne wamechukua.

Muziki ukaja wakati nimeongeza salio la mpesa 20,000 TU wakakata elfu 9 nzima nikabaki najiuliza huu mchanganuo ukoje na nimechajiwa sh ngapi!!.

Una buku 4000 bt unataka upate buku 10000 so wakakuongezea buku 6000 Yao na pia wakakuongezea kama buku 1500 ya kutolea hyo pesa ,ukijumlisha na hyo riba au garama ya huduma labda buku 1500. Hvyo lazima ulipe buku 8000 mpaka 9000.kumbe ni garama bt kwenye shda Hakuna namna Mzee baba
Note:hiko kiwango cha riba au garama sina uhakika nacho nimeasume tu .

Uko sahihi mkuu, sahihi kabisa, naona wamekata ghalama Mara mbili, zile za kutoa peza,na riba ya mkopo wao.

Ila wangepanga vizuri hapa ingekuwa poa Sana na inasaidia kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom