Doto12 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 753 Reaction score 1,338 Mar 11, 2026 #1 Ikiwezekana iwe hapa hii thread napitia changamoto kadhaa na sio mara moja. mfano leo inakataa tatizo ni nini
Ikiwezekana iwe hapa hii thread napitia changamoto kadhaa na sio mara moja. mfano leo inakataa tatizo ni nini
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,716 Reaction score 103,566 Mar 11, 2026 #2 Songesha ndio nini?
Doto12 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 753 Reaction score 1,338 Mar 11, 2026 Thread starter #3 makaveli10 said: Songesha ndio nini? Click to expand... unaijua sana
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 7,439 Reaction score 20,936 Mar 11, 2026 #4 makaveli10 said: Songesha ndio nini? Click to expand... Bila shaka huduma ya mkopo kutoka Yas
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,716 Reaction score 103,566 Mar 11, 2026 #5 aise said: Bila shaka huduma ya mkopo kutoka Yas Click to expand... Hivi ndio inaitwa songesha? Sidhani kama wanatumia jina hilo.
aise said: Bila shaka huduma ya mkopo kutoka Yas Click to expand... Hivi ndio inaitwa songesha? Sidhani kama wanatumia jina hilo.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 359,917 Reaction score 828,546 Mar 11, 2026 #6 makaveli10 said: Songesha ndio nini? Click to expand... 😀 SOS ya Voda! Matajiri hamuijui hii.. Ukiishiwa Mpesa wanakukopesha
makaveli10 said: Songesha ndio nini? Click to expand... 😀 SOS ya Voda! Matajiri hamuijui hii.. Ukiishiwa Mpesa wanakukopesha
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,716 Reaction score 103,566 Mar 11, 2026 #7 Doto12 said: unaijua sana Click to expand... Sikuwa nikiifahamu hapo kabla, mpaka jamaa aliponiambia ni huduma ya mkopo toka yas.. Japo siamini kama ni ya tigo, sababu nishawahi itumia, lakini jina halikuwa songesha
Doto12 said: unaijua sana Click to expand... Sikuwa nikiifahamu hapo kabla, mpaka jamaa aliponiambia ni huduma ya mkopo toka yas.. Japo siamini kama ni ya tigo, sababu nishawahi itumia, lakini jina halikuwa songesha
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,716 Reaction score 103,566 Mar 11, 2026 #8 Mshana Jr said: 😀 SOS ya Voda! Matajiri hamuijui hii.. Ukiishiwa Mpesa wanakukopesha Click to expand... Mie si mtumiaji wa voda, hii inaweza kuwa sababu kuu.
Mshana Jr said: 😀 SOS ya Voda! Matajiri hamuijui hii.. Ukiishiwa Mpesa wanakukopesha Click to expand... Mie si mtumiaji wa voda, hii inaweza kuwa sababu kuu.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 359,917 Reaction score 828,546 Mar 11, 2026 #9 aise said: Bila shaka huduma ya mkopo kutoka Yas Click to expand... Kutoka Voda
Doto12 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 753 Reaction score 1,338 Mar 11, 2026 Thread starter #10 makaveli10 said: Sikuwa nikiifahamu hapo kabla, mpaka jamaa aliponiambia ni huduma ya mkopo toka yas.. Click to expand... ondoa neno yas hapo hatutangaz biashara mkuu
makaveli10 said: Sikuwa nikiifahamu hapo kabla, mpaka jamaa aliponiambia ni huduma ya mkopo toka yas.. Click to expand... ondoa neno yas hapo hatutangaz biashara mkuu
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 12,484 Reaction score 35,638 Mar 11, 2026 #11 Nivushe plus nadaiwa million 2 wataniua
Doto12 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2023 Posts 753 Reaction score 1,338 Mar 11, 2026 Thread starter #12 Mshana Jr said: 😀 SOS ya Voda! Matajiri hamuijui hii.. Ukiishiwa Mpesa wanakukopesha Click to expand... juzi juzi nilishangaa kumbe watu wanasongesha hadi 500k, sijaamini
Mshana Jr said: 😀 SOS ya Voda! Matajiri hamuijui hii.. Ukiishiwa Mpesa wanakukopesha Click to expand... juzi juzi nilishangaa kumbe watu wanasongesha hadi 500k, sijaamini
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 359,917 Reaction score 828,546 Mar 11, 2026 #13 makaveli10 said: Mie si mtumiaji wa voda, hii inaweza kuwa sababu kuu. Click to expand... Sawasawa ni huduma ya mkopo wana Songesha Nipige tafu Chomoka mkopo wa mafura Mpawa unalipa monthly
makaveli10 said: Mie si mtumiaji wa voda, hii inaweza kuwa sababu kuu. Click to expand... Sawasawa ni huduma ya mkopo wana Songesha Nipige tafu Chomoka mkopo wa mafura Mpawa unalipa monthly
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 359,917 Reaction score 828,546 Mar 11, 2026 #14 Doto12 said: juzi juzi nilishangaa kumbe watu wanasongesha hadi 500k, sijaamini Click to expand... Mpaka 1M ila commission inaumiza
Doto12 said: juzi juzi nilishangaa kumbe watu wanasongesha hadi 500k, sijaamini Click to expand... Mpaka 1M ila commission inaumiza
mbotoro kivoi JF-Expert Member Joined Sep 11, 2017 Posts 1,684 Reaction score 2,335 Mar 11, 2026 #15 Aijawai kuwa nzuri makato yako juu ao ndo wananufaika zaid
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 57,923 Reaction score 133,964 Mar 11, 2026 #16 Doto12 said: unaijua sana Click to expand... Asizuge huyo
Wa angani JF-Expert Member Joined Aug 1, 2020 Posts 265 Reaction score 611 Mar 11, 2026 #17 Wanatuokoa sana hawa wajuba, fikiria unahonga pesa kutoka songesha hata haiumizi kwa muda huo.
BEZO JR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2023 Posts 2,562 Reaction score 6,277 Mar 11, 2026 #18 mbotoro kivoi said: Aijawai kuwa nzuri makato yako juu ao ndo wananufaika zaid Click to expand... Lakini huwezi linganisha na kausha damu wa mitaani ambao ukichukua laki moja wanataka uwape laki moja na 40 ndani ya mwezi mmoja
mbotoro kivoi said: Aijawai kuwa nzuri makato yako juu ao ndo wananufaika zaid Click to expand... Lakini huwezi linganisha na kausha damu wa mitaani ambao ukichukua laki moja wanataka uwape laki moja na 40 ndani ya mwezi mmoja
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,716 Reaction score 103,566 Mar 11, 2026 #19 Doto12 said: ondoa neno yas hapo hatutangaz biashara mkuu Click to expand... UsiKOMPLIKETI maisha
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,716 Reaction score 103,566 Mar 11, 2026 #20 Mshana Jr said: Sawasawa ni huduma ya mkopo wana Songesha Nipige tafu Chomoka mkopo wa mafura Mpawa unalipa monthly Click to expand... Ngoja nisake laini ya voda, niishi nao.
Mshana Jr said: Sawasawa ni huduma ya mkopo wana Songesha Nipige tafu Chomoka mkopo wa mafura Mpawa unalipa monthly Click to expand... Ngoja nisake laini ya voda, niishi nao.