Songea: Wakati Wasira akilakiwa na Nape Nnauye, wengine waingia kimyakimya

Kuna mwingine ameweka post hapa Kuhusu Nchimbi,kisa tu kapiga picha na baadhi ya viongozi wa CCM huko songea, Sasa tena wassira kisa kalakiwa na Nape na hajakanyaga zulia nyekundu.......Dah.....kama vijana ndio tunatumika kwa staili hii,kazi ipo Tanzania.
 
Kuna mengi nimejifunza kuhusu huyu Mzee...Uwajibikaji,uadilifu na ujenzi wa hoja.
Uadilifu ni kigezo kinachowasumbua viongozi wengi,ndani ya huyu Mzee Uadilifu ni ngao yake.Tuna imani naye kuelekea 2015
Ukiwa ccm uadilifu, uwajibikaji, uchapa kazi vinayeyushwa. Kwa hali hiyo, hata malaika akijiunga na ccm baada ya mwaka atakuwa shetani mtenda maovu! CCM ni mtambo wa kisasa wa kuzalisha mafisadi na wala/watoa rushwa.
 
Katika jambo la kuonesha mh Wasira ni chagua la wananchi wa Tanzania,hapa songea alilakiwa na watu wote kwa shangwe huku wengine wakiwa wanalitaja lile jina lake la utami.

Wakati huo huo Mh Wasira alionekana akikataa kupita juu ya Red kapeti kama wengine walivyo fanya kwani YEYE MH WASIRA anaijua vizuri ITIFAKI.

JITAZAMIE PICHA KWANI INASEMA ZAIDI.

View attachment 223852View attachment 223853
Enyi wakazi wa Gombe mpigieni kura mwenzenu! Au hamuhitaji Rais!?
 
Katika jambo la kuonesha mh Wasira ni chagua la wananchi wa Tanzania,hapa songea alilakiwa na watu wote kwa shangwe huku wengine wakiwa wanalitaja lile jina lake la utami.

Wakati huo huo Mh Wasira alionekana akikataa kupita juu ya Red kapeti kama wengine walivyo fanya kwani YEYE MH WASIRA anaijua vizuri ITIFAKI.

JITAZAMIE PICHA KWANI INASEMA ZAIDI.

View attachment 223852View attachment 223853

Huyu naye ati anataka Urais tena kwa miaka kumi ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi
 
Katika jambo la kuonesha mh Wasira ni chagua la wananchi wa Tanzania,hapa songea alilakiwa na watu wote kwa shangwe huku wengine wakiwa wanalitaja lile jina lake la utami.Wakati huo huo Mh Wasira alionekana akikataa kupita juu ya Red kapeti kama wengine walivyo fanya kwani YEYE MH WASIRA anaijua vizuri ITIFAKI.JITAZAMIE PICHA KWANI INASEMA ZAIDI.View attachment 223852View attachment 223853
Kulikuwa na watu wangapi waliomlaki, maana kama ni 1/8 ya watu waliomlaki then unasema watanzania wengi, utakuwa na matatizo ya akili. Bora useme Nape kampokea na sio watanzania. Nape ni mtanzania but watanzania sio Nape.
 
Back
Top Bottom