kweli viongozi wamefilisika,watu wanadai haki ya wenzao kuuawa police atatumwa kuua wanaodai haki yao ya kuishi,si mkuu wa mkoa wala mkuu wa wilaya wanaochukua hatua za usalama wa wanaowaongoza kama wenyeviti wa usalama mkoa na wilaya,sijui tumejaliwa viongozi wa aina gani nchi hii,iweje watu wa andamane then wapuuzwe?hawa wote ni wendawazimu au?mkuu wa mkoa yu wapi kuamuru polisi watimize wajibu wao wa kulinda raia na mali zao?.kuwaelewa viongozi wa nchi yangu inahitaji maarifa na ujuzi wa kishetani,maana hawana mioyo ya kawaida,ni kama kuna sehem wanasubiri wapewe maelekezo namna ya kufanya so watakapo kuja na suluhu tayari watoto wetu,wakina mama,kaka,wazee wetu washaumia na wengne kupoteza maisha.nadhani mkuu wa nchi alichelewa kuteua wakuu wa mikoa na wilaya coz alikuwa na shaka nao maana sio watu wa kawaida hawa.