SONGEA: Maandamano yameanza upyaaa, mabomu yanarindima!

Niko songea muda huu, polisi wanarusha mabomu ya machozi ovyo. Kuna taarifa ambazoo sijazithibitisha kuwa mtu mwingine ameuwawa mchana huu, na nyingine zinasema wananchi wamekamata wauwaji wawili, nachoweza kuthibitisha ni maandamano na mabomu ya machozi. Nikipata za ndani kutoka kwa wenyeji nitazileta hapa. Kamhanda ni heri ajiuzuru!

Kuna utata wa taarifa yako mkuu hapo kwenye red , fanya utafiti ulete taarifa iliyonyooka
 
hivi Baba MwanaAsha akiwa kama Amiri Jeshi mkuu, anatoa maagizo gani kwa hawa askari ambao wanakua wanaua na kunyanyasa raia ambao wapo katika harakati za kudai haki zao???

Huenda baadhi yao wakapewa nishani za utumishi uliotukuka
 
Serilali isisahau kuwa ni Wangoni wa Songea ambao ni wasisi wa mapambano ya kupigania utu wao...iwe makini kabla mambo hayajaharibika zaidi
 
kweli viongozi wamefilisika,watu wanadai haki ya wenzao kuuawa police atatumwa kuua wanaodai haki yao ya kuishi,si mkuu wa mkoa wala mkuu wa wilaya wanaochukua hatua za usalama wa wanaowaongoza kama wenyeviti wa usalama mkoa na wilaya,sijui tumejaliwa viongozi wa aina gani nchi hii,iweje watu wa andamane then wapuuzwe?hawa wote ni wendawazimu au?mkuu wa mkoa yu wapi kuamuru polisi watimize wajibu wao wa kulinda raia na mali zao?.kuwaelewa viongozi wa nchi yangu inahitaji maarifa na ujuzi wa kishetani,maana hawana mioyo ya kawaida,ni kama kuna sehem wanasubiri wapewe maelekezo namna ya kufanya so watakapo kuja na suluhu tayari watoto wetu,wakina mama,kaka,wazee wetu washaumia na wengne kupoteza maisha.nadhani mkuu wa nchi alichelewa kuteua wakuu wa mikoa na wilaya coz alikuwa na shaka nao maana sio watu wa kawaida hawa.
 
Tumeonewa, tumechoka. kamhanda ni jambazi tu maana anashirikiana nao na huwa anawalinda wasiguswe. tumechoka kunyanyaswa ndani ya nchi yetu wenyewe
 
Kwa TZ moja ya sifa ya kuupata uIGP ni kuwavurumishia wananchi innocent mabomu,
hao ndugu wauaji wa mozambique wanakoseasana,wangekuwa wanajichukulia askari mmoja kwa siku ndipo somo lingewaingia hao askari wasio na utu kwa raia. ingekuwa wanaweza kudhibiti vibaka na matapeli kwa nguvu hiyo hakika tungekuwa na amani lakini masikini Tanzania dawa na huduma muhimu hamna ila mabomu yapo mpaka ya akiba
 
Najua wapo polisi ambao ni member humu, waambieni wenzenu ipo siku raia wataanza kuwachinja familia waliko nyumbani na hasa watoto wa kuwazaa ili na ninyi mkazike. Maana yaelekea watanzania wanapokufa hawawagusi kabisa ndio maana mnawaua kuwasaidia wauaji. Hivi akili zenu zimeporwa na nani? Msitake tulipize kisasi.

Na tutawachinja kweli. tena kinyama zaidi. wee subiri tu
 
si ndio kada mafala kabisa..wanalipwa kilo na nusu kwa mwezi wakati wenzao ni posho ya siku moja halafu kutwa kuchwa kuvurumishia wana wa wenzao mibomu,kazi kulinda majengo ya benki wenzao wanaiba pesa!!
hapo ukijeruhiwa hakuna matibabu kwa kuwa na PF3 nayo wanatoa wao!
 
Jamani JW mko wapi mtuokoe na haya mauji ya uonevu wanayofanyiwa raia? Ni bora tu jeshini angepatikana kichaa mmoja afanye mapinduzi ili tuzoee tu!
 
Alipoulizwa kama yameanza tena anadai: "Sahizi jaman ni ghafla tu kazi zimeanza mabomu yanarushwa huko nje nipo hapa ofisin kwetu tumejifungia ndani hakutokeki kabisa."
Mnaona Wadanganyika tunavyoogopa kufa?...
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom