Mindset100
Member
- Jun 23, 2026
- 25
- 71
- Thread starter
- #41
UN nao ?Napapenda sana Songea ila suala la kua jiji ni uongo labda kwasababu ya influence ya NCHIMBI.
UN nao ?Napapenda sana Songea ila suala la kua jiji ni uongo labda kwasababu ya influence ya NCHIMBI.
Fikiria Moshi iliendelea mapema lakini leo inapitwa na Mbeya hadi na KahamaMoshi ni padogo sana na mapato ya kuendesha Jiji hakuna.
Kuendelea mapema kunatokana na udogo wa eneo.Fikiria Moshi iliendelea mapema lakini leo inapitwa na Mbeya hadi na Kahama
Tanga Ilistahili, Japo baadae ilipitia kipindi cha kudumaa lkn sasa hivi ndio mji unaokuwa kwa kasi Tanzania kijumla ikiosabaishwa naNilishangaa hata mimi lakini unapikuta watu wamefanya tafiti halafu unakuta tafiti za UN unasema nini? Hata Mbeya na Tanga zilifikirisha zilipokuwa majiji.
Umewahi fika hivi karibuni, Tanga ya bandari, miradi ya mafuta siyo ya zamani nenda ukaone MwenyeweKumbe Tanga ni jiji 🤣
Mtwara ni kijiji mkuu.Songea iwe jiji kabla ya Morogoro au Mtwara?