Wakuu, hakuna picha za Songea au ndo twaogopa kuchakachuliwa wasije shitukia dili hao CCM? Anyway, tunaimani na hiyo source ya haabari kuwa ilikuwa nyomi kama sehemu zingine. Viva Dr Slaa (PhD).
nimepata taarifa toka songea wanasema pamoja na ahadi za jk alizotoa za meli,hosp za rufaa na bla bla nyingi,umati ulimuita tena dr.slaa leo songea haijawahi tokea.kama kuna mwana jf there pse photos!