Elections 2010 Songea: Dr Slaa umati haujawahi tokea!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Nimepata taarifa toka songea wanasema pamoja na ahadi za jk alizotoa za meli,hosp za rufaa na bla bla nyingi,umati ulimuita tena dr.slaa leo songea haijawahi tokea.kama kuna mwana jf there pse photos!
 
Bravo songea!

Wana JF, tuache hofu ya uchakachuaji. Kumbukeni kuwa Mungu yuko upande wetu.
Mimi sina wasiwasi na ushindi wa Dr Slaa.
 
Endeleeni kuota tu ,yaani bado mupo mkipiga makelele ya kukusanyika watu ,watu wenyewe hawana ata shahada ,just endeleeni kujipa moyo na maini ,ila wekenio chunvi na sukari karibu,
 
Endeleeni kuota tu ,yaani bado mupo mkipiga makelele ya kukusanyika watu ,watu wenyewe hawana ata shahada ,just endeleeni kujipa moyo na maini ,ila wekenio chunvi na sukari karibu,

Jeuri yenu wizi wizi wizi wizi wizi wizi wizi wizi wizi wizi wizi (100000000 = logarithm of wizi wa ccm in base 10)
 
Endeleeni kuota tu ,yaani bado mupo mkipiga makelele ya kukusanyika watu ,watu wenyewe hawana ata shahada ,just endeleeni kujipa moyo na maini ,ila wekenio chunvi na sukari karibu,

Haya bana Prof. Lipumba atashinda
 
pichaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Sina picha, lakini nimeongea na shuhuda ninayemwamini, anasema watu walikuwa wengi mmmmmno! ile ya jk 'cha mtoto'.
Mkutano ulipoisha, watu walijazana mno barabarani wakitaka kumsindikiza Dk.Slaa hadi atakakolala. Songea big up big up!!! Msidanganyike, mwaka huu lazima kufanya mabadiliko.
 
Aluta continua dr. Slaa. Wamekukataza kutua iringa but kalamu za wana iringa na watanzania wajanja kalamu zetu zitatua kwenye picha yako, wabunge wako na madiwani wako
 
Picha pls otherwise utabakia kuwa uvumi
Wawili mashuhuda wameniambia kuwa watu walikuwa kibao!
Jana nilikuwa pale Songea, nililiona Lori lile kubwa lililokuwa likipita mitaani kutangaza kuwa Daktari atahutubia leo. Nimeshuhudia jinsi watu walivyokuwa na hamu. Walikuwa wakipunga mikono na kushangilia Lori hilo linapopita kana kwamba Daktari mwenyewe Slaa alikuwa humo, kumbe yeye alikuwa njiani akitoka Dodoma kuelekea Iringa. Watu walikuwa wakitoa sheshima kwa hilo lori na watu wachache waliokuwa wakitangaza. Slaa anavuma sana, Bado masaa machache tukafany mambo!
 
Ukishapiga kura usitie urembo wowote,tick kwa SLAA then acha hao wengine bila kuwachafua.Hii itasaidia kutokuharibu kura yako kila atakayesoma ujumbe huu amueleze mwingine
 
Mtabaki picha tu... Baada ya masaa 40 muanze kuulizana matokeo badala ya picha!
 
Sina picha, lakini nimeongea na shuhuda ninayemwamini, anasema watu walikuwa wengi mmmmmno! ile ya jk 'cha mtoto'.
Mkutano ulipoisha, watu walijazana mno barabarani wakitaka kumsindikiza Dk.Slaa hadi atakakolala. Songea big up big up!!! Msidanganyike, mwaka huu lazima kufanya mabadiliko.

Hii itamtia moyo Dr Slaa. Amefanya kazi kubwa sana jamani! Sehemu nyingine kama Iringa Polisi wamejaribu kumkasirisha lakini akatulia. Ameonyesha kuwa 100% Presidential Material.
 




HEAVEN OR HELL.................
download


While walking down the street one day a Corrupt Senator was tragically hit by a car and died.

His soul arrives in heaven and is met by St. Peter at the entrance.

"Welcome to heaven," says St. Peter. "Before you settle in, it seems there is a problem. We seldom see a high official around these parts, you see, so we're not sure what to do with you."

"No problem, just let me in," says the Senator..

"Well, I'd like to, but I have orders from the higher ups. What we'll do is have you spend one day in hell and one in heaven. Then you can choose where to spend eternity."

"Really?, I've made up my mind. I want to be in heaven," says the Senator.

"I'm sorry, but we have our rules."

And with that, St. Peter escorts him to the elevator and he goes down, down, down to hell.

The doors open and he finds himself in the middle of a green golf course. In the distance is a clubhouse and standing in front of it are all his friends and other politicians who had worked with him.

Everyone is very happy and in evening dress. They run to greet him, shake his hand, and reminisce about the good times they had while getting rich at the expense of the people. They played a friendly game of golf and then dine on lobster, caviar and the finest champagne.

Also present is the devil, who really is a very friendly guy who is having a good time dancing and telling jokes.

They are all having such a good time that before the Senator realizes it, it is time to go.

Everyone gives him a hearty farewell and waves while the elevator rises...

The elevator goes up, up, up and the door reopens in heaven where St. Peter is waiting for him, "Now it's time to visit heaven.."

So, 24 hours passed with the Senator joining a group of contented souls moving from cloud to cloud, playing the harp and singing. They have a good time and, before he realizes it, the 24 hours have gone by and St. Peter returns.

"Well, then, you've spent a day in hell and another in heaven. Now choose your eternity."

The Senator reflects for a minute, then he answers: "Well, I would never have said it before, I mean heaven has been delightful, but I think I would be better off in hell."

So St. Peter escorts him to the elevator and he goes down, down, down to hell..

Now the doors of the elevator open and he's in the middle of a barren land covered with waste and garbage. He sees all his friends, dressed in rags, picking up the trash and putting it in black bags as more trash falls from above.

The devil comes over to him and puts his arm around his shoulders.

"I don't understand," stammers the Senator. "Yesterday I was here and there was a golf course and clubhouse, and we ate lobster and caviar, drank champagne, and danced and had a great time. Now there's just a wasteland full of garbage and my friends look miserable. What happened?"

The devil smiles at him and says,
"Yesterday we were campaigning. Today, you voted.."
download


Vote wisely on October 31, 2010
 
Back
Top Bottom