Elections 2010 Songea: Dr Slaa umati haujawahi tokea!

Wana JF, tuache hofu ya uchakachuaji. Kumbukeni kuwa Mungu yuko upande wetu.
Mimi sina wasiwasi na ushindi wa Dr Slaa.

Hapo umeongea vilivyo..............

Mark 11:22 "Jesus answered and said to them, "Have faith in God."
 
Wakuu, hakuna picha za Songea au ndo twaogopa kuchakachuliwa wasije shitukia dili hao CCM? Anyway, tunaimani na hiyo source ya haabari kuwa ilikuwa nyomi kama sehemu zingine. Viva Dr Slaa (PhD).
 
nimepata taarifa toka songea wanasema pamoja na ahadi za jk alizotoa za meli,hosp za rufaa na bla bla nyingi,umati ulimuita tena dr.slaa leo songea haijawahi tokea.kama kuna mwana jf there pse photos!
wakapige kura
 
Tutadhihilisha siku ya jumapili ya 31/10/2010 kuwa dr. slaa hakuja iringa kutalii bali kutafuta KURA kwa wananchi wanaohitaji mabadiliko ya kweli.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom