mamayoyo1
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,011
- 1,019
Somo zuri sana kwa Tundu Lisu...Kabla na baada ya lile shambulizi anaonekana hayupo kwa maslahi ya taifa..Yaani yupo tayari kufanya lolote ili kufurahisha nafsi yake kwa gharama ya nchi. Swali la kujiuliza, hicho nchi anazoenda wao matatizo yao ya ndani wanapeleka wapi? Wakigombana wanakuja TZ au wanaenda China?
Je, hao walio nyuma yake watamlipa nini? Kwa nini anatumia nguvu kubwa kutetea wapora rasilimali zetu hata kuwapa ushauri wa kisheria badala ya kuungana na watanzania? Maswali haya na mengine mengi hata waandishi waliomhoji hawajapata majibu...
Ushauri wangu, Tundu Lisu, rudi Tanzania..Toa msahama kwa waliokutendea. Ungana na watanzania kutoa hoja za kujenga nchi. Jifunze kwa Mandela au Deng Xiaoping wa China.. Walisamehe, wakaungana na wanachi wao kujenga nchi, na wakawa Marais...Jitafakari, njia uliyochangua ni ile ya SAVIMBI.