Somo zuri kwa Tundu Lissu

Somo zuri sana kwa Tundu Lisu...Kabla na baada ya lile shambulizi anaonekana hayupo kwa maslahi ya taifa..Yaani yupo tayari kufanya lolote ili kufurahisha nafsi yake kwa gharama ya nchi. Swali la kujiuliza, hicho nchi anazoenda wao matatizo yao ya ndani wanapeleka wapi? Wakigombana wanakuja TZ au wanaenda China?

Je, hao walio nyuma yake watamlipa nini? Kwa nini anatumia nguvu kubwa kutetea wapora rasilimali zetu hata kuwapa ushauri wa kisheria badala ya kuungana na watanzania? Maswali haya na mengine mengi hata waandishi waliomhoji hawajapata majibu...

Ushauri wangu, Tundu Lisu, rudi Tanzania..Toa msahama kwa waliokutendea. Ungana na watanzania kutoa hoja za kujenga nchi. Jifunze kwa Mandela au Deng Xiaoping wa China.. Walisamehe, wakaungana na wanachi wao kujenga nchi, na wakawa Marais...Jitafakari, njia uliyochangua ni ile ya SAVIMBI.
View attachment 1008893
Kwa mfululizo huu wa makala za kumshauri Mhe. Tundu Lissu kuhusu ziara anazozifanya na mialiko anayoipata, ni dhahiri kesho yake iko mikononi mwenu. Mnataka kumuua. Naamini ni dhambi kumfananisha Meh. Tundu Lissu na janas Savimbi. Sio kweli. Mhe. Tundu Lissu ni mtanzania na mzalendo wa kweli. Hivi kweli mmnaamini analiuza taifa? Ataliuza kutokana na nini? Kuna mkataba gani anasaini? "Let us be fair and honesty to each other, Hon. Tundu Lissu is not a traitor , he is a true citizen, he is just critical.
 
Naona unazidi kuwa 'yoyo' kumzidi mwanao!
Ushauri wa kipuuzi kabisa.

Unamzungumzia Mandela kusamehe? Makaburu wale hawakumtwanga hata risasi moja. Hao makaburu tuwasifu kuwa walikuwa ni watu wazuri na wenye huruma kwa binaadam mwenzao kuliko "wazalendo" waliotaka kuiondoa roho ya Lissu?
Makaburu waliwauwa waafrika lukuki kama haujui!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofautisha , hizo nchi hazipigi watu wao Risasi! Ni hilo tu! Nchi hizo hazina watu kwenye sandarusi! Nchi hizo hazivunji haki za binadamu etc Kesho ni wewe ngoja tuone kama utasamehe kihivyo!
Lakini kumbuka Amerika nako watu wengi wamepigwa risasi tena hadharani hata kwenye mashule. Nenda South Africa watu wanapigwa risasi barabarani. Sasa kama kuna watu wahalifu katika nchi, serikali itapambana nao wahalifu mpaka ushindi upatikane. Sijawahi kuona Watu wachache kutoka katika nchi hizo wakizunguka kutoka Amerika au SouthAfrica kwenda duniani kuelezea matukio katika nchi zao! Lets think beyond the box.
 
Ndugu yangu hujui maumivu aliopata TL kupigwa risasi na hujui waliopanga kumuua bado wana njama gani na yeye kumbuka hakuna hata mmoja aliekamatwa kuhojiwa wala kifunguliwa mashitaka. Kifo kinauma muache atoe hasira yake kuuleza ulimwengu nini kilimtokea na ili ikitokea kashambuliwa tena dunia iwe shahidi. Kwa wanaoamini Mungu afanyalo TL ni ushahidi kuwa Mungu anatenda makuu kamponya na risasi zote zile mwacheni atoe ushuhuda kwa dunia na kusimulia matendo makuu alioyafanya Mungu Baba kwake. Tuache roho mbaya na ubinafsi
Somo zuri sana kwa Tundu Lisu...Kabla na baada ya lile shambulizi anaonekana hayupo kwa maslahi ya taifa..Yaani yupo tayari kufanya lolote ili kufurahisha nafsi yake kwa gharama ya nchi. Swali la kujiuliza, hicho nchi anazoenda wao matatizo yao ya ndani wanapeleka wapi? Wakigombana wanakuja TZ au wanaenda China?

Je, hao walio nyuma yake watamlipa nini? Kwa nini anatumia nguvu kubwa kutetea wapora rasilimali zetu hata kuwapa ushauri wa kisheria badala ya kuungana na watanzania? Maswali haya na mengine mengi hata waandishi waliomhoji hawajapata majibu...

Ushauri wangu, Tundu Lisu, rudi Tanzania..Toa msahama kwa waliokutendea. Ungana na watanzania kutoa hoja za kujenga nchi. Jifunze kwa Mandela au Deng Xiaoping wa China.. Walisamehe, wakaungana na wanachi wao kujenga nchi, na wakawa Marais...Jitafakari, njia uliyochangua ni ile ya SAVIMBI.
View attachment 1008893

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tundu lisu ni kama chembechembe nyeupe za damu zinazopoteza uwezo wa kutambua chembe chembe za mwilini wake na kuanza kuzishambulia. pia ni kama kansa inayokosa kujali masilahi ya chembechembe zingine ndani ya mwili na maslahi mapana ya mwili badala yake zinakuwa na ubinafsi kupindukia hata kusababisha uharibifu mkubwa kwa mwili wote! Ktk hili njia pekee ni nini sasa!
 
Kuna mambo yanahitaji tafakari kabla ya kuandika.
Mandela na Deng hawakupigwa risasi.
Mna hofu gani mtu akialikwa kutoa mhadhara kwa jamii ya wasomi ughaibuni? Mtumeni Polepole na Bashite wakaokoe jahazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu hujui maumivu aliopata TL kupigwa risasi na hujui waliopanga kumuua bado wana njama gani na yeye kumbuka hakuna hata mmoja aliekamatwa kuhojiwa wala kifunguliwa mashitaka. Kifo kinauma muache atoe hasira yake kuuleza ulimwengu nini kilimtokea na ili ikitokea kashambuliwa tena dunia iwe shahidi. Kwa wanaoamini Mungu afanyalo TL ni ushahidi kuwa Mungu anatenda makuu kamponya na risasi zote zile mwacheni atoe ushuhuda kwa dunia na kusimulia matendo makuu alioyafanya Mungu Baba kwake. Tuache roho mbaya na ubinafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani shida nyingine iko kwa Driver wake ambaye nae hataki kurudi TZ kuhojiwa ili wapate pakuazia
 
Naona unazidi kuwa 'yoyo' kumzidi mwanao!
Ushauri wa kipuuzi kabisa.

Unamzungumzia Mandela kusamehe? Makaburu wale hawakumtwanga hata risasi moja. Hao makaburu tuwasifu kuwa walikuwa ni watu wazuri na wenye huruma kwa binaadam mwenzao kuliko "wazalendo" waliotaka kuiondoa roho ya Lissu?
hujielewi wewe
 
Ndugu haipo hiyo nchi isiyopiga watu risasi.... Am not supporting kupiga risasi ila hayo mataifa makubwa wameua wengi sana.
Ndani na nje ya nchi zao.... Kikubwa alichoandika hapo ni kusamehe .....
Mkuu, ingekuwa wewe umekula risasi 16, ukanyiwa haki ya matibabu, wakakuongelea all the shit, ungesamehe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom