Somo: Uraia

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,515
6,489
Chagua jibu sahihi

1. Rais wa Tanzania ni........
(a) Lyatonga Mrema
(b) Jakaya Kikwete
(c) Rostam Aziz
(d) Dk. Slaa
(e) Yusuf Makamba

2. Makao Makuu ya Tanzania ni....
(a) Bagamoyo
(b) Dar Es Salaam
(c) Dodoma
(d) Karatu
(e) Popote Tanzania
3. Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama wa Tanzania ni .....
(a) Omary Mahita
(b) Sheikh Yaya Hussein
(c) Zakaria Kakobe
(d) A. Kinana
(e) Hakuna jibu (neither of the above)

Kwa maswali zaidi tembelea tovuti hii; < wwww.mtafarukutanzania.info.comtena/jiulize >.
 
1. f (kila mtanzania ni rais)
2. e
3. f (who cares?)
 
Chagua jibu sahihi

1. Rais wa Tanzania ni........
(a) Lyatonga Mrema
(b) Jakaya Kikwete
(c) Rostam Aziz
(d) Dk. Slaa
(e) Yusuf Makamba

2. Makao Makuu ya Tanzania ni....
(a) Bagamoyo
(b) Dar Es Salaam
(c) Dodoma
(d) Karatu
(e) Popote Tanzania
3. Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama wa Tanzania ni .....
(a) Omary Mahita
(b) Sheikh Yaya Hussein
(c) Zakaria Kakobe
(d) A. Kinana
(e) Hakuna jibu (neither of the above)

Kwa maswali zaidi tembelea tovuti hii; < wwww.mtafarukutanzania.info.comtena/jiulize >.

try my guess. sina uhakika tichaaa.
 
Mimi mwalimu, mimi mwalimu, mwalimu, mwalimu, mwalimu, mimi mwalimu,

Majibu yangu ni.......

Chagua jibu sahihi

1. Rais wa Tanzania ni........
(a) Lyatonga Mrema
(b) Jakaya Kikwete
(c) Rostam Aziz (d) Dk. Slaa
(e) Yusuf Makamba

2. Makao Makuu ya Tanzania ni....
(a) Bagamoyo
(b) Dar Es Salaam
(c) Dodoma
(d) Karatu
(e) Popote Tanzania

3. Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama wa Tanzania ni .....
(a) Omary Mahita
(b) Sheikh Yaya Hussein
(c) Zakaria Kakobe
(d) A. Kinana
(e) Hakuna jibu (neither of the above)

Kwa maswali zaidi tembelea tovuti hii; < wwww.mtafarukutanzania.info.comtena/jiulize >.
 
Ok, ngoja nikanunue kalamu ya wino mwekundu ili niweze kuweka pata au kosa kwenye majibu yenu
 
Nimekosa kalamu nyekundu maduka yote ya uswahili kwetu, but in fact wote mmepatia na suburini zawadi zenu, ambazo ni hizi;-

1. Naheshimu mawazo ya kila mmoja
2. Tanzania kwa sasa ni mtafaruku
 
Back
Top Bottom