Somo muhimu la maisha kupitia Makada watatu

Hapana USALITI huja mambo yanapokorogeka.. Uwezo na ujasiri wa kuhimili pressure

Jr
kwa hio wote walikuwa wamoja ila yalipoanza kukorogeka ndipo usaliti ukaanza?
kama ndio hivyo nadhani sio mbaya maana ile spirit waliokuwa nayo haitawatoka , na kwa vile mmoja bado yupo kwenye mfumo hivyo alie nje hawezi ambulia patupu mawili matatu ndani ya mfumo.
 
Sehemu ya pili muhimu imeshapita. Maamuzi yaliyotolewa na kamati kuu. Sakata lilianzia pale mazungumzo binafsi yaliyovujishwa. Zikafuatia tuhuma. Kishapo barua za kulalamika na hatimaye kuitwa kwenye kamati ya maadili.

Mpaka hapo walikuwa pamoja. Walikuwa wamoja, lakini wakaanza kuachana siku ya tukio. Huyu mmoja akatii na kuwahi. Hawa wawili wakawa wanasuasua. Pengine kuna mmoja alikuwa anambembeleza mwingine. Itajulikana tu

Watoa maamuzi kidogo wakajiongeza. Wakaona tukiwaacha hawa wakawa wamoja watatusumbua sana. Sasa tufanyeje!? TUWATAWANYE. Waache waingie mlango mmoja lakini tuwafanye kila mmoja atoke na mlango wake. KWISHA HABARI YAO!

Mmoja akaomba msamaha kwa maandishi. Mmoja akapewa KARIPIO kali. Mmoja akatimuliwa.

Chungu hakiinjikwi na figa moja ama mawili, ni matatu.

Moja, ni binafsi haina majuto. Haina shirika. Mbili, ina ukinzani. Inaweza kuleta lawama na moja.

Tatu, ni wingi. Ni kikowa. Maamuzi si thabiti tena na majuto huwa mengi.

Wametawanywa. Wakatawanyika. Sasa kila mtu na lwake. Tunaambiwa kwenye misahafu: Siku ya mwisho watakutwa wawili kondeni. Mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa.

Maamuzi na aina za adhabu, vimewatengenisha, vimewanyamazisha na pengine vimewafarakanisha!

SOMO MUHIMU LA MAISHA
Katika maisha kuwa wewe. Usimtegemee mtu, usitegemee maamuzi ya wengine. Kuwa na maamuzi binafsi kwakuwa haya pekee ndio utakayoweza kuyatetea na kuyasimamia. Usiwe bendera fuata upepo.

Usiyumbishwe. Usikubali wengine waamue badala yako. Usishawishike na kushawishiwa.

Kwanza kuwa na misimamo binafsi kabla hujakubali maamuzi na misimamo ya kikoa.

Hili litakusaidia sana shida itakapotokea mbeleni. Hapo ndio utakapoona rangi halisi za watu. Ila kama ulishafanya maamuzi binafsi hutaumia wala kuteseka sana.

Jambo la kikoa linapofanikiwa na kutimia kamwe hatuwezi kuwaza upande wa pili.

Lakini jambo hilo linapogeuka kuwa batili na mambo kuharibika. USALITI huanzia hapo.

Si kila mtu ana kifua kama ulichonacho wewe. Si kila mtu ana uwezo wa kuhimili pressure kama ulivyo wewe.

Si kila mtu ana uwezo wa kusimania maamuzi kama ulivyo wewe. Wengine wakitikiswa kidogo tu wanafunguka. Wengine wakifinywa kidogo tu hawabakishi kitu

Kuwa wewe! Baki wewe! Kama hujanielewa mrejee yule aliyesema:

I HAVE FAMILY TO FEED NOT A PUBLIC TO IMPRESS.

MSALITI...
USALITI...

Jr
ilo neno i have a familly to feed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Machache hutokea ya kuushikamana mengi hutokea ya kugawanyika..

Kwa vyovyote kuna mzee mmoja ameona yaishe kwa sababu ya ndoto ya kijana wake kuwa siku moja atakuja kuwa kiongozi wa mhimili mmoja siku za mbele...nadhani usaliti umeanzia hapo.
..
Kwa namna mambo yanavyokwenda uimara wa utatu hauwezi kudumu tena ..ila watakuja wengine zaidi ya hawa tunaowajadili sasa .
 
Sehemu ya pili muhimu imeshapita. Maamuzi yaliyotolewa na kamati kuu. Sakata lilianzia pale mazungumzo binafsi yaliyovujishwa. Zikafuatia tuhuma. Kishapo barua za kulalamika na hatimaye kuitwa kwenye kamati ya maadili.

Mpaka hapo walikuwa pamoja. Walikuwa wamoja, lakini wakaanza kuachana siku ya tukio. Huyu mmoja akatii na kuwahi. Hawa wawili wakawa wanasuasua. Pengine kuna mmoja alikuwa anambembeleza mwingine. Itajulikana tu

Watoa maamuzi kidogo wakajiongeza. Wakaona tukiwaacha hawa wakawa wamoja watatusumbua sana. Sasa tufanyeje!? TUWATAWANYE. Waache waingie mlango mmoja lakini tuwafanye kila mmoja atoke na mlango wake. KWISHA HABARI YAO!

Mmoja akaomba msamaha kwa maandishi. Mmoja akapewa KARIPIO kali. Mmoja akatimuliwa.

Chungu hakiinjikwi na figa moja ama mawili, ni matatu.

Moja, ni binafsi haina majuto. Haina shirika. Mbili, ina ukinzani. Inaweza kuleta lawama na moja.

Tatu, ni wingi. Ni kikowa. Maamuzi si thabiti tena na majuto huwa mengi.

Wametawanywa. Wakatawanyika. Sasa kila mtu na lwake. Tunaambiwa kwenye misahafu: Siku ya mwisho watakutwa wawili kondeni. Mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa.

Maamuzi na aina za adhabu, vimewatengenisha, vimewanyamazisha na pengine vimewafarakanisha!

SOMO MUHIMU LA MAISHA
Katika maisha kuwa wewe. Usimtegemee mtu, usitegemee maamuzi ya wengine. Kuwa na maamuzi binafsi kwakuwa haya pekee ndio utakayoweza kuyatetea na kuyasimamia. Usiwe bendera fuata upepo.

Usiyumbishwe. Usikubali wengine waamue badala yako. Usishawishike na kushawishiwa.

Kwanza kuwa na misimamo binafsi kabla hujakubali maamuzi na misimamo ya kikoa.

Hili litakusaidia sana shida itakapotokea mbeleni. Hapo ndio utakapoona rangi halisi za watu. Ila kama ulishafanya maamuzi binafsi hutaumia wala kuteseka sana.

Jambo la kikoa linapofanikiwa na kutimia kamwe hatuwezi kuwaza upande wa pili.

Lakini jambo hilo linapogeuka kuwa batili na mambo kuharibika. USALITI huanzia hapo.

Si kila mtu ana kifua kama ulichonacho wewe. Si kila mtu ana uwezo wa kuhimili pressure kama ulivyo wewe.

Si kila mtu ana uwezo wa kusimania maamuzi kama ulivyo wewe. Wengine wakitikiswa kidogo tu wanafunguka. Wengine wakifinywa kidogo tu hawabakishi kitu

Kuwa wewe! Baki wewe! Kama hujanielewa mrejee yule aliyesema:

I HAVE FAMILY TO FEED NOT A PUBLIC TO IMPRESS.

MSALITI...
USALITI...

Jr™️
Umenena vyema kama ilivo sasa ndivo watakavokuja tendewa nao vipofu hawa waishio nyumba za vioo. Wakiwa kwenye system wakiambiwa rekebisheni mambo ili kesho mkiwa nje ya system yaani wapinzani yatakufaaeni huwa wameweka pamba masikioni wakijiona hayawahusu sababu ya ubinafsi wa mwafrika. Eti sumaye na Lowasa wakiwa upinzani ndio wameoneka umuhimu wa katiba na tume huru hali wao na wastaafu wote waliomwagiwa maji ya mchele sasa walikuwa na chance ya kuleta mabadiliko lkn waliona hayawahusu.Leo wameelewa lkn wako nje na hawana uwezo huo tena.Wapo waliosema tutabatizwa kwa moto bila kuangalia vidole vinne vimewageukia wao wamebatizwa wao.Tunaambiwa siku zote usipande miba njiani maana kesho itakuchoma wwwe huwa hawaelewi.Leo chama kimekuwa mali binafsi mwenye chama ndie maamuzi hakuna mambo ya sijui taasisi.Waliambiwa sana madhara ya kofia mbili waliweka pamba leo wanabatizwa nayo hawana jinsi zaidi ya kuwa wapole wanaogopa kufukuzwa,kubambikwa,wasiojulikana, nk.
Kama katiba ya nchi haiheshimiwi ndio ya chama itaheshimiwa.
 
Hakuna aliyewahi mgusa msiba akabaki salama cheki fatuma,Kange,membe hata hakuna polisi yeyeto anaeweza mgusa msiba,msiba ni zaidi ya dola.Ni utatu mtakatifu kamili unaojitegemea
 
Musiba ni mbuzi wa kafara ila kwa akili yake ndogo hajijui. Wanaomtuma wamejikamoflage yeye anaropoka tu. Ulishawaza Lowasa angechukua nchi Nape angekuwa wapi leo.
 
Tanga haijawahi zalisha watu jasiri kiuongozi. Ukiwa pamoja na mswahili tegemea usaliti wa chini kwa chini. Mzee kalinda matumbo ya familia yake.

Ujasiri kwako maana yake nini. Mkuu una mambo ya kishule za msingi. Unamchagua kiongozi kwa kuwa anaonekana anaweza kubishana na mkuu wa Schule. Mvuta bangi.

Mkuu ujasiri Ni pamoja na kuangalia nyuma. Sasa. Na mbele ya maisha yako. Huyo unayemfikriia jasiri ndo hana lolote. Kawasoma watu kama wewe wajinga wajinga. Wapenda mipasho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanga haijawahi zalisha watu jasiri kiuongozi. Ukiwa pamoja na mswahili tegemea usaliti wa chini kwa chini. Mzee kalinda matumbo ya familia yake.
Usaliti ni hulks na tabia binafsi wako kwenye kila jamii chunguza utaona usaliti wa mapenzi siasa biashara urafiki nakadhalika
 
Sehemu ya pili muhimu imeshapita. Maamuzi yaliyotolewa na kamati kuu. Sakata lilianzia pale mazungumzo binafsi yaliyovujishwa. Zikafuatia tuhuma. Kishapo barua za kulalamika na hatimaye kuitwa kwenye kamati ya maadili.

Mpaka hapo walikuwa pamoja. Walikuwa wamoja, lakini wakaanza kuachana siku ya tukio. Huyu mmoja akatii na kuwahi. Hawa wawili wakawa wanasuasua. Pengine kuna mmoja alikuwa anambembeleza mwingine. Itajulikana tu

Watoa maamuzi kidogo wakajiongeza. Wakaona tukiwaacha hawa wakawa wamoja watatusumbua sana. Sasa tufanyeje!? TUWATAWANYE. Waache waingie mlango mmoja lakini tuwafanye kila mmoja atoke na mlango wake. KWISHA HABARI YAO!

Mmoja akaomba msamaha kwa maandishi. Mmoja akapewa KARIPIO kali. Mmoja akatimuliwa.

Chungu hakiinjikwi na figa moja ama mawili, ni matatu.

Moja, ni binafsi haina majuto. Haina shirika. Mbili, ina ukinzani. Inaweza kuleta lawama na moja.

Tatu, ni wingi. Ni kikowa. Maamuzi si thabiti tena na majuto huwa mengi.

Wametawanywa. Wakatawanyika. Sasa kila mtu na lwake. Tunaambiwa kwenye misahafu: Siku ya mwisho watakutwa wawili kondeni. Mmoja atatwaliwa, mmoja ataachwa.

Maamuzi na aina za adhabu, vimewatengenisha, vimewanyamazisha na pengine vimewafarakanisha!

SOMO MUHIMU LA MAISHA
Katika maisha kuwa wewe. Usimtegemee mtu, usitegemee maamuzi ya wengine. Kuwa na maamuzi binafsi kwakuwa haya pekee ndio utakayoweza kuyatetea na kuyasimamia. Usiwe bendera fuata upepo.

Usiyumbishwe. Usikubali wengine waamue badala yako. Usishawishike na kushawishiwa.

Kwanza kuwa na misimamo binafsi kabla hujakubali maamuzi na misimamo ya kikoa.

Hili litakusaidia sana shida itakapotokea mbeleni. Hapo ndio utakapoona rangi halisi za watu. Ila kama ulishafanya maamuzi binafsi hutaumia wala kuteseka sana.

Jambo la kikoa linapofanikiwa na kutimia kamwe hatuwezi kuwaza upande wa pili.

Lakini jambo hilo linapogeuka kuwa batili na mambo kuharibika. USALITI huanzia hapo.

Si kila mtu ana kifua kama ulichonacho wewe. Si kila mtu ana uwezo wa kuhimili pressure kama ulivyo wewe.

Si kila mtu ana uwezo wa kusimania maamuzi kama ulivyo wewe. Wengine wakitikiswa kidogo tu wanafunguka. Wengine wakifinywa kidogo tu hawabakishi kitu

Kuwa wewe! Baki wewe! Kama hujanielewa mrejee yule aliyesema:

I HAVE FAMILY TO FEED NOT A PUBLIC TO IMPRESS.

MSALITI...
USALITI...

Jr
Umenena na kutoa ushauri wenye busara na hekima.

Akili ni nywele, kila mtu ana zake, wahenga walinena.

Isitoshe, binadamu huingia na kutoka duniani peoe yake, hata mapacha juna Kurwa na Doto.

A hand to on a silver platter, no way.
 
Back
Top Bottom