Somo la uchumi nililosoma, basi lina matatizo!

Labda hajasoma uchumi huu wa miaka zaidi ya 2000 iliyopita.

14 Maana ni mfano wa mtu atakaye kusafiri, aliwaita watumwa wake, akaweka kwao mali zake.
15 Akampa mmoja talanta tano, na mmoja talanta mbili, na mmoja talanta moja; kila mtu kwa kadiri ya uwezo wake; akasafiri.
16 Mara yule aliyepokea talanta tano akaenda, akafanya biashara nazo, akachuma faida talanta nyingine tano.
17 Vile vile na yule mwenye mbili, yeye naye akachuma nyingine mbili faida.
18 Lakini yule aliyepokea moja alikwenda akafukua chini, akaificha fedha ya bwana wake.
19 Baada ya siku nyingi akaja bwana wa watumwa wale, akafanya hesabu nao.
20 Akaja yule aliyepokea talanta tano, akaleta talanta nyingine tano, akisema, Bwana, uliweka kwangu talanta tano; tazama, talanta nyingine tano nilizopata faida.
21 Bwana wake akamwambia, Vema, mtumwa mwema na mwaminifu; ulikuwa mwaminifu kwa machache, nitakuweka juu ya mengi; ingia katika furaha ya bwana wako.
22 Akaja na yule aliyepokea talanta mbili, akasema, Bwana, uliweka kwangu talanta mbili; tazama, talanta nyingine mbili nilizopata faida.
23 Bwana wake akamwambia, Vema, mtumwa mwema na mwaminifu; ulikuwa mwaminifu kwa machache, nitakuweka juu ya mengi; ingia katika furaha ya bwana wako.
24 Akaja na yule aliyepokea talanta moja, akasema, Bwana, nalitambua ya kuwa wewe u mtu mgumu, wavuna usipopanda, wakusanya usipotawanya;
25 basi nikaogopa, nikaenda nikaificha talanta yako katika ardhi; tazama, unayo iliyo yako.
26 Bwana wake akajibu, akamwambia, Wewe mtumwa mbaya na mlegevu, ulijua ya kuwa navuna nisipopanda, nakusanya nisipotawanya;
27 basi, ilikupasa kuiweka fedha yangu kwa watoao riba; nami nikija ningalipata iliyo yangu na faida yake.
28 Basi, mnyang'anyeni talanta hiyo, mpeni yule aliye nazo talanta kumi.
29 Kwa maana kila mwenye kitu atapewa, na kuongezewa tele; lakini asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang'anywa.
30 Na mtumwa yule asiyefaa, mtupeni mbali katika giza la nje; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.

Tumpe muda.........
 
Huyo si wakumuani sana taaluma yake ya uchumi haizaa matunda kwa taifa tena hao ndio waliosoma bure chuo kikuu enzi za mwalimu.
yeye anapendana siasa tu.
Wapo wengi tu kuna wengine walisomeshwa na mwalimu maswala nyuklia nao wamekimbilia kwenye siasa yaani fulu maajabu.
 
Nimesomea somo la uchumi na kujua fika jinsi ya kuipa thamani pesa.
Pesa inabidi izunguke ili ipate thamani
Pesa ndiyo legal tender ambayo ikibadili mikono tu, inapata faida ukiwekeza vizuri.
Pesa ndio dhamana pekee unayoweka benki na ukadai riba.

Huwezi kuweka nyumba benki na ukadai riba, ingawaje tunajua sote nyumba inaweza kuongezeka thamani.
Sasa kitendo cha kutoifanyia biashara ,hasa hizi para governmental bodies , kitendo kinanikanganya.

Kweli kuna viongozi wengine wanaweka fedha za umma benki na kupata faida ambayo iko nje ya mfumo ya bajeti.

Lakini kimsingi , hiyo ni frugality, yaani usimamizi mzuri wa fedha.

Kuna tatizo gani fedha ya serikali ikizaa faida?
Cha msingi ni faida hiyo irudi kwa mwenye pesa, serikali.

Sasa hili la kuzuia matumizi sahihi ya pesa ili zizaane na kupata faida linanikanganya.

Pengine somo la uchumi nililosoma lina matatizo.

Ikiingizwa kwenye mzunguko na kulipia miradi na matumizi ya serikali inakuwa na faida kubwa kuliko kuwekeza kwa riba za fixed deposits.
 
Hatuwezi kuwa na maendeleo kwa kuunganisha shughuli za kisiasa na uchumi, hii dhana ya Uraisi kuwa kiongozi wa kila kitu imepitwa na wakati. Tunapata shida sana kwa kukuwa na maraisi wasio na uelewa wa kutosha kwenye mambo ya uchumi, tena pengine kwenye mambo ya msingi kabisa. Mambo haya yanaturudisha nyuma sana kwenye safari yetu ya maendeleao, kila baada ya miaka kumi tunaanza upya, mipango haikamiliki, hakuna uendelevu (sustainability), uhimilivu(stability) na ulinganifu (consistency). Nchi yetu imekua kama mchezo wa pwagu na pwaguzi. Na kwa sababu hizi mimi siachi kuamini tafiti zinazotupa sisi watanzania kiwango cha chini cha IQ.
 
tatizo mimi ninaloona ni kwamba badala ya kuweka mfumo mzuri wa kuangalia hela za serikali zinazozunguka kwenye mabenki na riba kama inarudi kule hela zilipotoka na kuona faida yake tunaharibu mzunguko mzima na kuondoa fedha kwenye mzunguko. Zimbabwe walifanya hayo yote hadi kubadilisha fedha lakini uchumi umekufa naomba Govana Beno Nduru msomi mbobezi na wanauchumi ma professor mtusaidie .
 
Hiyo elimu yako ya uchumi fanyeni hapo ufipa mjenge hata ofisi basi.
Au huo uchumi wako umfundishe Mbowe jinsi ya kurudisha deni la Nhc ni aibu kwa mchumi kama wewe kushindwa kukipa hayo mawazo chama chako
Wewe unamjua kweli Macho-kumchuzi alias masopakyindi? Huyu ni Lumumba die-hard, si ufipa huyu. Wewe Mwasita Moja utakuwa wa kuja,kiasi kwamba huwajui wenye mji!
Ukiona huyu Machokumchuzi ana ana m-prick Magu ujue naye anaona nyota na wenge la jamaa yetu mtukufu
 
Nimesomea somo la uchumi na kujua fika jinsi ya kuipa thamani pesa.
Pesa inabidi izunguke ili ipate thamani
Pesa ndiyo legal tender ambayo ikibadili mikono tu, inapata faida ukiwekeza vizuri.
Pesa ndio dhamana pekee unayoweka benki na ukadai riba.

Huwezi kuweka nyumba benki na ukadai riba, ingawaje tunajua sote nyumba inaweza kuongezeka thamani.
Sasa kitendo cha kutoifanyia biashara ,hasa hizi para governmental bodies , kitendo kinanikanganya.

Kweli kuna viongozi wengine wanaweka fedha za umma benki na kupata faida ambayo iko nje ya mfumo ya bajeti.

Lakini kimsingi , hiyo ni frugality, yaani usimamizi mzuri wa fedha.

Kuna tatizo gani fedha ya serikali ikizaa faida?
Cha msingi ni faida hiyo irudi kwa mwenye pesa, serikali.

Sasa hili la kuzuia matumizi sahihi ya pesa ili zizaane na kupata faida linanikanganya.

Pengine somo la uchumi nililosoma lina matatizo.
NENDA TENA SHULE MKUU AKIMALIZA MIAKA 8 NA MIEZI 11 NJOO USHUSHE NONDO ZAKO HAPA. UKWELI HALISI NI HUU HAPA: ILI PESA IWE KWENYE MZUNGUKO LAZIMA MADENI YA NDANI YALIPWE VINGINEVYO TRA MWAKANI MAKUSANYA YATAKUWA KIDUCHU PIA SERIKALI IKAE NA MABENKI AMBACHO NIMEONA JANA KWENTE TAARIFA YA HABARI LABDA KITAZAA MATUNDA
 
Nadhani palitakiwa pawepo na utaratibu fulani ambapo hadi na makatibu wakuu wa wizara husika wanahusishwa ili ijulikane hii hela ikakaa kwa muda huu kunafaida kiasi fulani ambapo kitaongezeka kwenye bajeti
Wamesema makatibu wakuu hawahusishwi?
 
Magufuli anashangaa watu Binafsi kuweka fedha majumbani, ajabu hajishangai Yeye kuweka fedha Benki kuu, kimsingi hiyo haina tofauti na hoarding
 
Nimesomea somo la uchumi na kujua fika jinsi ya kuipa thamani pesa.
Pesa inabidi izunguke ili ipate thamani
Pesa ndiyo legal tender ambayo ikibadili mikono tu, inapata faida ukiwekeza vizuri.
Pesa ndio dhamana pekee unayoweka benki na ukadai riba.

Huwezi kuweka nyumba benki na ukadai riba, ingawaje tunajua sote nyumba inaweza kuongezeka thamani.
Sasa kitendo cha kutoifanyia biashara ,hasa hizi para governmental bodies , kitendo kinanikanganya.

Kweli kuna viongozi wengine wanaweka fedha za umma benki na kupata faida ambayo iko nje ya mfumo ya bajeti.

Lakini kimsingi , hiyo ni frugality, yaani usimamizi mzuri wa fedha.

Kuna tatizo gani fedha ya serikali ikizaa faida?
Cha msingi ni faida hiyo irudi kwa mwenye pesa, serikali.

Sasa hili la kuzuia matumizi sahihi ya pesa ili zizaane na kupata faida linanikanganya.

Pengine somo la uchumi nililosoma lina matatizo.

Pamoja na uelewa wa uchumi, kuzingatia kanuni tunazojiwekea ni muhimu makazini! Unaweka fedha kwenye fixed account na inapotokea dharura ikahitajika unafanyaje? Kumbuka hiyo sio pesa yako bali ni amana tu, ambayo mwenyewe, serikali, anaweza kuulizia kilichobaki na kukuomba kwa dharura!
HATA HIVYO SERIKALI YA AWAMU YA TANO INA MENGI YA KUREKEBISHA:
1) WATAALAM WA UCHUMI NA FANI ZINGINE WASIKILIZWE.
2) HATUTARAJII ADHABU KWA KILA KOSA LA KIUTENDAJI, MAONYO NA KUREKEBISHANA KISTAARABU INATOSHA WAKATI MWINGINE!
3) SERIKALI INABIDI SASA 'ITHUBUTU' KUONDOA HUU MDORORO!
.
.
A LOT!
 
tatizo mimi ninaloona ni kwamba badala ya kuweka mfumo mzuri wa kuangalia hela za serikali zinazozunguka kwenye mabenki na riba kama inarudi kule hela zilipotoka na kuona faida yake tunaharibu mzunguko mzima na kuondoa fedha kwenye mzunguko. Zimbabwe walifanya hayo yote hadi kubadilisha fedha lakini uchumi umekufa naomba Govana Beno Nduru msomi mbobezi na wanauchumi ma professor mtusaidie .
Ni kweli kabisa.
Unaua nzi aliye kwenye sahani kwa nyundo, halafu tunashangaa sahani mevunjikaje!!!
 
Mkuu karibu, inaelekea kwa posti hii unsonyesha ugeni katika JF.
Si ndio wana... wapya wshapewa simu janja na mb 1, ndio anaanzw kujitokeza jf. Wakati nyie mnaongelea uchumi wa nchi, yeye anaongelea ufipa, mar NHC haeleweki, mara Mbowe, shame on him.
 
Nimesomea somo la uchumi na kujua fika jinsi ya kuipa thamani pesa.
Pesa inabidi izunguke ili ipate thamani
Pesa ndiyo legal tender ambayo ikibadili mikono tu, inapata faida ukiwekeza vizuri.
Pesa ndio dhamana pekee unayoweka benki na ukadai riba.

Huwezi kuweka nyumba benki na ukadai riba, ingawaje tunajua sote nyumba inaweza kuongezeka thamani.
Sasa kitendo cha kutoifanyia biashara ,hasa hizi para governmental bodies , kitendo kinanikanganya.

Kweli kuna viongozi wengine wanaweka fedha za umma benki na kupata faida ambayo iko nje ya mfumo ya bajeti.

Lakini kimsingi , hiyo ni frugality, yaani usimamizi mzuri wa fedha.

Kuna tatizo gani fedha ya serikali ikizaa faida?
Cha msingi ni faida hiyo irudi kwa mwenye pesa, serikali.

Sasa hili la kuzuia matumizi sahihi ya pesa ili zizaane na kupata faida linanikanganya.

Pengine somo la uchumi nililosoma lina matatizo.
Uko sahihi hili simo litakuwa lina shida.
 
Back
Top Bottom