masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,647
- 14,646
Nimesomea somo la uchumi na kujua fika jinsi ya kuipa thamani pesa.
Pesa inabidi izunguke ili ipate thamani
Pesa ndiyo legal tender ambayo ikibadili mikono tu, inapata faida ukiwekeza vizuri.
Pesa ndio dhamana pekee unayoweka benki na ukadai riba.
Huwezi kuweka nyumba benki na ukadai riba, ingawaje tunajua sote nyumba inaweza kuongezeka thamani.
Sasa kitendo cha kutoifanyia biashara ,hasa hizi para governmental bodies , kitendo kinanikanganya.
Kweli kuna viongozi wengine wanaweka fedha za umma benki na kupata faida ambayo iko nje ya mfumo ya bajeti.
Lakini kimsingi , hiyo ni frugality, yaani usimamizi mzuri wa fedha.
Kuna tatizo gani fedha ya serikali ikizaa faida?
Cha msingi ni faida hiyo irudi kwa mwenye pesa, serikali.
Sasa hili la kuzuia matumizi sahihi ya pesa ili zizaane na kupata faida linanikanganya.
Pengine somo la uchumi nililosoma lina matatizo.