UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,239
- 7,603
Hivi hili somo la kiingereza mashuleni huwa linafundishwa ili watu waweze kuongea na kuandika tu au ni zaidi ya kumudu kuongea na kuandika? Na je,ni nani wa kulaumiwa kwa mwanafunzi kushindwa kuongea wala kuandika hata baada ya kufundishwa hilo somo kwa miaka minne na ni kwa sababu zipi zenye kufanya alaumiwe?