Somo la Kiingereza mashuleni

UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
13,162
2,000
Hivi hili somo la kiingereza mashuleni huwa linafundishwa ili watu waweze kuongea na kuandika tu au ni zaidi ya kumudu kuongea na kuandika? Na je,ni nani wa kulaumiwa kwa mwanafunzi kushindwa kuongea wala kuandika hata baada ya kufundishwa hilo somo kwa miaka minne na ni kwa sababu zipi zenye kufanya alaumiwe? 
 
kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
8,427
2,000
kuandika tuu! ndo maana form one unaambiwa kariri tuu kuelewa baadae it measns hata kuongea hakupo
 
Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
55,218
2,000
Hivi hili somo la kiingereza mashuleni huwa linafundishwa ili watu waweze kuongea na kuandika tu au ni zaidi ya kumudu kuongea na kuandika? Na je,ni nani wa kulaumiwa kwa mwanafunzi kushindwa kuongea wala kuandika hata baada ya kufundishwa hilo somo kwa miaka minne na ni kwa sababu zipi zenye kufanya alaumiwe? 
Why minne? Kwanini usianze na miaka 7 ya primary?
 
City owl

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,013
2,000
Hivi hili somo la kiingereza mashuleni huwa linafundishwa ili watu waweze kuongea na kuandika tu au ni zaidi ya kumudu kuongea na kuandika? Na je,ni nani wa kulaumiwa kwa mwanafunzi kushindwa kuongea wala kuandika hata baada ya kufundishwa hilo somo kwa miaka minne na ni kwa sababu zipi zenye kufanya alaumiwe? 
Mkuu, lengo la lugha ya Kiingereza kufundishwa shuleni kuanzia darasa la awali na kuendelea ni
1.Kumwezesha mwanafunzi kuwa na maarifa na stadi za:
a) kuandika
b) kusoma
c) kuzungumza
d) kusikiliza na kuelewa kwa ufasaha lugha hiyo ya malkia.

Ndiyo maana Mada zote zinazofundishwa huko zinagusa Muundo, Maana, Misamiati, Matamshi na Matumizi sahihi ya maneno ya Kiingereza.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom