Somo la bure kwa watakaojiunga na vyuo vikuu kwa mwaka huu 2012..!!

Moyibi

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,054
710
Mademu wa Chuo ni wajanja sana wamewapanga Wanaume wa chuo katika makundi makuu matatu kama ifuatavyo..!! Ili kutimiza haja zao za kimapenzi

GROUP1¤Hawa Wanaume ni kwa ajili ya Pesa..siku zote mademu wa chuo hawana nia njema na mapenzi ya kweli kwa hawa wanaume lengo lao kubwa ni kuvuna pesa na mwisho wa siku anapewa mguu..!! Au kwa jina lingine penzi.

GROUP2¤ Hawa ni kwa ajili ya academic issue..mara nyingi hawa wanaume huwa saidia hawa mademu siku ya paper na mwisho wa siku jamaa anakula mguu bureee

GROUP3¤Hawa wanaume wana bahati sana na mara nyingi hupewa mguu bure na siku zote mademu wa chuo huwa wana true love kwa washkaji even if jamaa ni masikini na hajiwezi ki academic so jamaa mwisho wa siku anapata MBUNYE a.k.a Mguu buree bila hata jasho

*CAUTION/TAHADHARI*
Mademu wengi wa chuo ni Sungura tope na ukimshika vibaya anakuachia doa la maisha so ndugu yangu unayekwenda kujiunga na Chuo kikuu kwa mwaka huu kuwa mwangalifu sana we kama unapenda chupi jitahidi sana unapoenda kumshika sungura jitahidi sana kuvaa Soksi..BE AWARE THAT AIDS KILLS..!!
 
Asante kwa somo zuri,Mungu anisaidie ili niende huko chuo.
 
Umri wangu miaka arobaini, nina kitambi na vijisenti kidogo, kipanga hasa! Hapo nitakuwa kundi gani?
 
Back
Top Bottom