Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,307
- 40,941
Mkuu kila mtu atakufa hata ww ukifa kuna story zitaibuka kwenye ukoo wako, mtu akifa hakuna zaidi ya resti ini pisi
Kifo cha Mandela,dunia nzima ilihuzunika,hakuna aliyefurahi.Hata hao wanaofurahia leo nao watakufa na wengine watafurahia vifo vyao.Kiongozi hata aweje atapendwa atachukiwa na mwisho wa siku sote tutakufa tu so acha watu watimize wajibu wao wawapo viongozi.
Cc. H.E JPMViongozi wetu kuna somo kubwa sna wanatakiwa kusoma kupitia kifo cha Bush mkubwa mie binafsi kifo hiki kimenirudisha mpk tarehe 7 mwenzi 4 mwaka 1972 Zanzibar japo Sababu za kifo zipo tofauti lkn matokeo yote ni Sawa nmejaribu kucheck marekani kwenyewe wazazi wengi waliopoteza watt wao kwenye vita ya Iraq wakifurahia kifo hiki uko Iraq kwenye ndio usiseme leo kwao imekuwa km sikukuu ya Iddy hiyo furaha yke mtaani sio jambo dogo binadam kufurahi kifo cha Binadam mwenzie aliyakuwa anajua na yy ipo siku atafariki mwisho kbs naomba niweke maneno ya muandishi Ahmed Rajab...
Magharibi ya Aprili 7, 1972 ilipothibitika kwamba Sheikh Karume aliuawa, kuna bibi mmoja kizee aliyetoka nje ya nyumba bila ya kujistiri sawasawa. Alikuwa akirukaruka nje akishangilia mauaji ya Karume. Bibi huyo akiitwa Mashavu binti Hassan. Alikuwa mamake Hanga.View attachment 952111View attachment 952112View attachment 952113
Una uhakika? Hakuna binadamu wa hivyo!Kifo cha Mandela,dunia nzima ilihuzunika,hakuna aliyefurahi.
Soma tna vzuri ndugu yngu labda unaweza kunielewa...Kufurahia mwanadamu akiiacha Hii dunia jua kwamba kuna watu watafurahi ukiiacha Hii dunia.
Furaha yako au manung'uniko yako hayataibadilisha Marekani
After burial maisha yataendelea
Jifunze kusamehe utakuwa na amani ya moyo wako.
Kwahiyo unafurahia kifo cha babaake Joji Bushi
Magu anatufundisha.hatujafunzwa kufurahia kifo cha mtu.......
Unamjua Hanga?Ujinga tu kushangilia kifo cha mwenzako huyo bibi naye alikuwa type za malaya wa zamani waliowauzia uchi wakoloni,ushangilie mtu kufa ukiwa uchi!!!?
Wangapi walifurahia kifo cha Nelson Mamdela? Hakuwahi kuwa Rais yule?Hata hao wanaofurahia leo nao watakufa na wengine watafurahia vifo vyao.Kiongozi hata aweje atapendwa atachukiwa na mwisho wa siku sote tutakufa tu so acha watu watimize wajibu wao wawapo viongozi.
Kwani Kuna takwimu za waliofurahia kifo cha Bush? Dunia kumuonea huruma Mandela kwa kukaa jela haimaanishi kila mtu anampenda!!Wangapi walifurahia kifo cha Nelson Mamdela? Hakuwahi kuwa Rais yule?