Somo kupitia kifo cha Bush mkubwa...

Somo kupitia kifo cha Bush mkubwa...

Mkuu kila mtu atakufa hata ww ukifa kuna story zitaibuka kwenye ukoo wako, mtu akifa hakuna zaidi ya resti ini pisi
 
Hata hao wanaofurahia leo nao watakufa na wengine watafurahia vifo vyao.Kiongozi hata aweje atapendwa atachukiwa na mwisho wa siku sote tutakufa tu so acha watu watimize wajibu wao wawapo viongozi.
Kifo cha Mandela,dunia nzima ilihuzunika,hakuna aliyefurahi.
 
Viongozi wetu kuna somo kubwa sna wanatakiwa kusoma kupitia kifo cha Bush mkubwa mie binafsi kifo hiki kimenirudisha mpk tarehe 7 mwenzi 4 mwaka 1972 Zanzibar japo Sababu za kifo zipo tofauti lkn matokeo yote ni Sawa nmejaribu kucheck marekani kwenyewe wazazi wengi waliopoteza watt wao kwenye vita ya Iraq wakifurahia kifo hiki uko Iraq kwenye ndio usiseme leo kwao imekuwa km sikukuu ya Iddy hiyo furaha yke mtaani sio jambo dogo binadam kufurahi kifo cha Binadam mwenzie aliyakuwa anajua na yy ipo siku atafariki mwisho kbs naomba niweke maneno ya muandishi Ahmed Rajab...
Magharibi ya Aprili 7, 1972 ilipothibitika kwamba Sheikh Karume aliuawa, kuna bibi mmoja kizee aliyetoka nje ya nyumba bila ya kujistiri sawasawa. Alikuwa akirukaruka nje akishangilia mauaji ya Karume. Bibi huyo akiitwa Mashavu binti Hassan. Alikuwa mamake Hanga.View attachment 952111View attachment 952112View attachment 952113
Cc. H.E JPM
 
Yesu mwenyewe alipokufa kuna watu wengi walifurahi Bush ni nani?
Inaonekana na wewe uko upande wa wale waliofurahia kifo chake sema unajificha kwa kivuli chao.
Sitaki majibu.
 
Huyu aliyekufa ndiye aliyehusika ni uvamizi wa Iraq?
 
ila hivi vifo bwana kuna watu wanawaombea viongozi wao wafe eti kisa vyuma kukaza binadamu bwana
 
Yesu mwenyewe alipokufa kuna watu wengi walifurahi Bush ni nani?
Inaonekana na wewe uko upande wa wale waliofurahia kifo chake sema unajificha kwa kivuli chao.
Sitaki majibu.
Huo mtazamo wako kaka...
 
Kafa kashiba siku, kwa umri aliokufa nao ni kama kapumzika, alafu elewa kwamba opetations zote za kijeshi za wamarekani kote duniani zinasimamiwa na mpango sera endelevu maalum wa system ya Taifa la marekani, haupangwi na watawala individually kama huku Africa. Hivyo hao waarabu wanaoshangilia kifo cha uyu mzee ingefaa wapimwe mkojo.
 
Kufurahia mwanadamu akiiacha Hii dunia jua kwamba kuna watu watafurahi ukiiacha Hii dunia.
Furaha yako au manung'uniko yako hayataibadilisha Marekani
After burial maisha yataendelea
Jifunze kusamehe utakuwa na amani ya moyo wako.
 
Soma tna

Soma tna vzuri ndugu yngu labda unaweza kunielewa...
 
Miaka 94 ya umri, watu walitaka aishi mpaka amalize karne ?.Hivi watu hawajui kuwa Bush amekula chumvi nyingi ?.
Kibaya ni Mtu kufa chini ya miaka 80, Lakini akivuka 80, kufa ni recommended.
Rest in peace sr Bush.
 
Hata hao wanaofurahia leo nao watakufa na wengine watafurahia vifo vyao.Kiongozi hata aweje atapendwa atachukiwa na mwisho wa siku sote tutakufa tu so acha watu watimize wajibu wao wawapo viongozi.
Wangapi walifurahia kifo cha Nelson Mamdela? Hakuwahi kuwa Rais yule?
 
Wangapi walifurahia kifo cha Nelson Mamdela? Hakuwahi kuwa Rais yule?
Kwani Kuna takwimu za waliofurahia kifo cha Bush? Dunia kumuonea huruma Mandela kwa kukaa jela haimaanishi kila mtu anampenda!!
 
Tatizo viongozi wakubwa duniani wanajuaga hawatakufa.
Muacheni aende jehannamu.
 
Back
Top Bottom