mrs fiance
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 350
- 163
_*mhu_*
Chukua brashi chovya ktk rangi na upake katika screen ya simu yako.Kupaka rangi je?
Ukitaka uyabadili rangi je?
Kituko simu yangu wp....8.1 nimejaribu ingia whatsap inanmbia ni update....swali je niki update sitofuta majina na detail zangu huko whatsap?.....msahada wadau
Hili ndo tatizo la kuwa binti na kusoma art ama kuishia form 4. Mwanamke lazima asome science ili ukidanganyika kwakuwa umependa, sio kwa mteremko huu looDah nimejizolea maujiko kwa mtoto wa kike...teh teh njia nyeupeee...asante mleta mada
Andika hizo alama kwenye karatasi, then zihamishie kwenye message pale unapotaka kuandika message ya wasup, unaanza na, *nakupenda* send ikija pale kwenye message ulizoziandika utaona manjonjo yametokea.Sijaelewa nifate mkumbo mkuu? Nieleweshe jomba
Haifuti, hakuna litakalo potea.Kituko simu yangu wp....8.1 nimejaribu ingia whatsap inanmbia ni update....swali je niki update sitofuta majina na detail zangu huko whatsap?.....msahada wadau
Mkuu humu hatuna vilaza ujueHata sijaelewa
Hitaathiri chochote mkuu... Kika kitu kitabaki jinsi kil ivyokuwa ila kuna vitu vitaongezeka
Haifuti, hakuna litakalo potea.
Mrs umeeambiwa whatsapp cyo huku,kha!!!_*mhu_*
Ipige window 10 hiyo utaenjoy vingi mazeeMbona haifany kazi kwenye window phone?