Ulijuaje? Na nywele pia ngumuUna kichwa kigumu
Watu kama nyie hamkosekanagi kabisa... HahahaaHata sijaelewa
Sijaelewa nifate mkumbo mkuu? Nieleweshe jombaWatu kama nyie hamkosekanagi kabisa... Hahahaa
No offence mkuu... ni kwamba slow learner hawakoseganagi kokote.Sijaelewa nifate mkumbo mkuu? Nieleweshe jomba
Kwamba jinsi ya kuziunguza fishiiiiii..ha ha ha ha haJinsi ya kukaanga samaki je
Nyie ndo wale mmeelewa,ndiooooooooooNo offence mkuu... ni kwamba slow learner hawakoseganagi kokote.
Soma uzi pole pole alafu uchukue sim yako ufanye kama alivyoelekeza mleta mada utaelewa anacho maanisha
Shukrani pia ..Asante kwa somo zuri sana Mjukuu wangu, Technology yenu siku hizi ina mambo kweeeli kweeli
hiviMimi naomba mtu anielimishe namna ya kubold e.t.c kwa hapa JF
Asante mkuu, vipi kuhusu italizing?hivi
Mkuu jaribu kutafuta kuna uzi humu unaelezea haya mambo yoteAsante mkuu, vipi kuhusu italizing?
Natamani nikuelekeze lakini nikiandika inajibold [emoji23][emoji23]. O[/]