Somo kuhusu nyoka

😳🤣🤣🤣🤣 We usitanie,unaomba msamaha kuua nyoka,tumeruhusiwa bhana la sivyo atakuua wewe
 
Ina maana kifutu mpaka "unamkamata shingo" yeye alikuwa ametulia tu?😥
 
Mimi kuna wanyama/wadudu wakikatiza mbele yangu lazima wafe tu. Narudia lazima siku hiyo wafe tu. 1. Nyoka 2. Panya 3. Mende. Sinaga huruma na hao viumbe
 
Jamaa alihofia kua huenda unavaa sketi lakini ndani una mjegeje usije ukamla yeye
 
Mpaka black mamba?
Nyoka yoyote yule..siunawaona wahindi wanavyo cheza na cobra lakin hamna kung'atana. wala nn
Mm binafsi nilkuwa na libangili hilo wala sikuwa najua faida yake. .siku nimenda kwa bimkubwa ndo ananiambia umetolea wapi hilo. Ndo akanipa faida zake .sasa skumoja nakatiza kwenye mitimiti nikawa nachuma matunda .natumia ule mkono nliovaa kumbe pemben matunda kuna nyoka wale wamtini ameduwaa tu nikaruka chini .ndonikapata akili mdawote nachuma matunda nyoka alikuepo hakuning'ata kumbe ndonkakumbuka maelezo ya bimkubwa kuhusu bangili
 
Urongooo, kama nyoka mtu unamuogopa sembuse nyoka nyoka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…