Iringa eneo Gani?Mi kituo changu Cha kwanza Cha Kaz kilikuwa Chaka huko iringa,nipo sebuleni namwona huyo kajaa,nikaendelea kula ugali(kifutu afu black) nimwangalie amechagua kukesha wapi sikuhiyo...namwona huyo anaingia chumbani[emoji15] nikajisemea onhoo,wewe utakuwa dume si bure[emoji849]....nilichofanya ni kutoka pale Kwa kunyata na kumzungukia Kwa nyuma...lilikuwa ni suala la kumkamata shingo chap na kumkaba Kwa nguvu....akawa anafura huku kazungusha mwili wake mkononi....roho ikaniambia,hii ngoma ukilegeza tu mkono umekufa....so nikafanya kutaiti Kwa nguvu Ili akose pumzi ...nikaona analegea na mwili wake unatoka mikononi nikajua tayari hapa...nikamtupia chini puu,we bhana wee,Kumbe alikuwa ananizuga tu ili nimwachie...alivyokimbia nami nikakimbilia ndani kujifungia.sijui alikimbilia Chaka gani....lile tukio alilishuhudia mkuu msaidizi ...alikuja kuulizia ombi la kupewa game aliloomba Jana yake....nakumbuka hadi nahama pale hakuwa kanyaga Tena kwangu hata kumchekea alikuwa hataki nimchekee.[emoji57]sijui aliwaza Nini[emoji848][emoji1751]
Nimecheka kinoma sana. Akasema huyu mwanamke jasiri sana sio wa kusogelea kabisaKuna jambo tuliongea na mkuu msaidizi kuhusu Mapenz Sasa alikuja kupata jibu la yes au no ....si unajua Tena Yale majibu ya subiri nijifikirie,kufika ndo anakuta napambana na kifutu Wakati yeye hata akimwona nyoka yule wa kijani anakimbia....hakunitaka Tena aisee
Kwa kweli siwez jificha wataniua TUlakini utajaribu kupambana nao
Mufindi mgololoIringa eneo Gani?
Wewe umelima wapiKilimo cha nyoka kinalipa sana wakuu
Nahisi alidhani nitamkabia ndaniNimecheka kinoma sana. Akasema huyu mwanamke jasiri sana sio wa kusogelea kabisa
Nami nilijua hivoMe nikajua unatoa somo! Kumbe unauliza maswali? Okay
Mgololo sec au makungu sec[emoji23][emoji23]Mufindi mgololo
Ukiona manzi anasema akajifikirie jua Hana interest nawe 🤦Swali la kizushi asingeogopa nyoka
Ungemkubalia ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka kweli yaan
Mi kituo changu Cha kwanza Cha Kaz kilikuwa Chaka huko iringa,nipo sebuleni namwona huyo kajaa,nikaendelea kula ugali(kifutu afu black) nimwangalie amechagua kukesha wapi sikuhiyo...namwona huyo anaingia chumbani😳 nikajisemea onhoo,wewe utakuwa dume si bure🙄....nilichofanya ni kutoka pale Kwa kunyata na kumzungukia Kwa nyuma...lilikuwa ni suala la kumkamata shingo chap na kumkaba Kwa nguvu....akawa anafura huku kazungusha mwili wake mkononi....roho ikaniambia,hii ngoma ukilegeza tu mkono umekufa....so nikafanya kutaiti Kwa nguvu Ili akose pumzi ...nikaona analegea na mwili wake unatoka mikononi nikajua tayari hapa...nikamtupia chini puu,we bhana wee,Kumbe alikuwa ananizuga tu ili nimwachie...alivyokimbia nami nikakimbilia ndani kujifungia.sijui alikimbilia Chaka gani....lile tukio alilishuhudia mkuu msaidizi ...alikuja kuulizia ombi la kupewa game aliloomba Jana yake....nakumbuka hadi nahama pale hakuwa kanyaga Tena kwangu hata kumchekea alikuwa hataki nimchekee.😏sijui aliwaza Nini🤔🤦
Ina depend nishawahi ambiwa Hivyo mara nyingi na mkeka haukuchanikaUkiona manzi anasema akajifikirie jua Hana interest nawe [emoji1751]
Akaona isiwe tabu, hii ngoma sio ya watoto.Nahisi alidhani nitamkabia ndani
Uwoga wako ndio umaskini wakoWewe umelima wapi
Unazingua ujue.Naam!
Wako nyoka aina nyingi tu,,, wa nchi kavu na majini kama sijakosea !
Je Nini kifanyike endapo umemuona nyoka ndani, katika harakati za kumthibiti akafanikiwa kukukimbia ?
Ni kweli mafuta ya taa yanamuathiri nyoka ? Kuna dhana kwamba ngozi yake inababuka na hatimae nyoka hufa na kuoza,,, ndio maana nyoka akiingia kwenye shimo huwa tunashauriwa kumwaga mafuta ya taa ?
Kuna dhana pia ukishamjeruhi nyoka lazima ataenda kufa huko aendako ? Hii imekaaje Kuna ukweli? Means ngozi yake haiponi jeraha ?
Kuna ukweli wowote kuwa kipindi Cha baridi nyoka hupendelea Sana kuingia katika makazi/nyumba ya binadamu kwa lengo la kupata joto ?
Kuna lile jiwe unaweka pindi upatapo ajali/umegongwa na nyoka,,,je Nini kinafanyika baada ya hapo ili jiwe liendelee kuwa active kwa matumizi ya baadae ? Linaoshwa? Kuchemshwa kwenye maji ya Moto au likianikwa juani inatosha,, ?
Yote kwa yote nyoka wametofautiana katika sumu zao,,, Kuna ambao Wana sumu Kali Sana ndani ya muda mchache unaweza kufariki !
Kama nyoka TU hakurudi ulitegemea Kaka Mkubwa angerudi.😎Mi kituo changu Cha kwanza Cha Kaz kilikuwa Chaka huko iringa,nipo sebuleni namwona huyo kajaa,nikaendelea kula ugali(kifutu afu black) nimwangalie amechagua kukesha wapi sikuhiyo...namwona huyo anaingia chumbani😳 nikajisemea onhoo,wewe utakuwa dume si bure🙄....nilichofanya ni kutoka pale Kwa kunyata na kumzungukia Kwa nyuma...lilikuwa ni suala la kumkamata shingo chap na kumkaba Kwa nguvu....akawa anafura huku kazungusha mwili wake mkononi....roho ikaniambia,hii ngoma ukilegeza tu mkono umekufa....so nikafanya kutaiti Kwa nguvu Ili akose pumzi ...nikaona analegea na mwili wake unatoka mikononi nikajua tayari hapa...nikamtupia chini puu,we bhana wee,Kumbe alikuwa ananizuga tu ili nimwachie...alivyokimbia nami nikakimbilia ndani kujifungia.sijui alikimbilia Chaka gani....lile tukio alilishuhudia mkuu msaidizi ...alikuja kuulizia ombi la kupewa game aliloomba Jana yake....nakumbuka hadi nahama pale hakuwa kanyaga Tena kwangu hata kumchekea alikuwa hataki nimchekee.😏sijui aliwaza Nini🤔🤦
🤣🤣🤣🤣🤸🤸🤸AiseeKama nyoka TU hakurudi ulitegemea Kaka Mkubwa angerudi.😎
Pole mkuu,watu tunafanana nywele mkuu,mi ni mwanamke ila nimechunga mpaka ng'ombe ....Ivo inafuatana na umeishi maisha ganimpaka mwili umesisimka, mimi hata kumgusa nyoka siwezi hata kama nimeshamuua
Kwa usteringi huo lazima akuogope, alihofia badala ya kukutafuna wewe, huenda ungemtafuna yeye 😂🤣Mi kituo changu Cha kwanza Cha Kaz kilikuwa Chaka huko iringa,nipo sebuleni namwona huyo kajaa,nikaendelea kula ugali(kifutu afu black) nimwangalie amechagua kukesha wapi sikuhiyo...namwona huyo anaingia chumbani😳 nikajisemea onhoo,wewe utakuwa dume si bure🙄....nilichofanya ni kutoka pale Kwa kunyata na kumzungukia Kwa nyuma...lilikuwa ni suala la kumkamata shingo chap na kumkaba Kwa nguvu....akawa anafura huku kazungusha mwili wake mkononi....roho ikaniambia,hii ngoma ukilegeza tu mkono umekufa....so nikafanya kutaiti Kwa nguvu Ili akose pumzi ...nikaona analegea na mwili wake unatoka mikononi nikajua tayari hapa...nikamtupia chini puu,we bhana wee,Kumbe alikuwa ananizuga tu ili nimwachie...alivyokimbia nami nikakimbilia ndani kujifungia.sijui alikimbilia Chaka gani....lile tukio alilishuhudia mkuu msaidizi ...alikuja kuulizia ombi la kupewa game aliloomba Jana yake....nakumbuka hadi nahama pale hakuwa kanyaga Tena kwangu hata kumchekea alikuwa hataki nimchekee.😏sijui aliwaza Nini🤔🤦