Somo: Hisabati

Ndo raha ya kipindi cha kampeini za kisiasa!
 
Haaaa! Mzee wa data limemkumbatia safari hii.
 
👍✨✨✨
🎉😊👏😁👏😃🎉
Congratulations!
 


I love it!!

Sasa kwa wagombea uraisi wote, kila mtu aje na jibu sahihi la mtanange huu.

Wakati mataifa yanazungumzia cyber connectivity kwa kila mwanafunzi wa vidudu, sisi tunatweta tutapataje majengo ya madarasa na madawati kwa kila mwanafunzi ili watoke vumbini. Nchi hii yenye misitu na mbao kochokocho kweli?

Aaargh. Usinitibue mshana jr LOL
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo mnataka asitishe huo mpango????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…