Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 7,816
- 10,861
Kizazi hiki!?muziki
Angeimba niacheni nionje utamu wa yesu au ilr ya shetani na mama mkwe wake wamekalia misumariKizazi hiki!?
Nimemsikia mtoto wa kike wa darasa la pili kwenye daladala jana anaimba (kwa sauti ya kike) njoo nikuchumie mchicha mie, ghafla akaimba kwa sauti ya kiume (...nikukamulie mafuta) abiria wakacheeeeeka mimi sikuelewa, mtoto aliposhuka ndipo mjadala ukaanza nami ndipo nikapata picha ya mazingira anayotoka yule mtoto.
Kwanini hakuimba tambarare kwa Yesu tambarare au kaswida
π€£Angeimba niacheni nionje utamu wa yesu au ilr ya shetani na mama mkwe wake wamekalia misumari
Hideen codes zilizopo kwenye hizo punchline hadi marapa bado zimewaacha hoi
Ndo ivyo shule zote mwalimu anakwambia jifunze kuandika barua ya maombi ya kazi, kwa kiswahili na kingereza bila kujua ivyo utakosa kazi ya kufanya ukimaliza shulehio namba 1 ndyo kila kitu, mashuleni tulijifunza namna ya kuandika barua ya kazi. daahπ€¦πΏββοΈ
ππππ Amchumie mchicha , au ndo Yale mambo ya popo kanyea mbingu.Kizazi hiki!?
Nimemsikia mtoto wa kike wa darasa la pili kwenye daladala jana anaimba (kwa sauti ya kike) njoo nikuchumie mchicha mie, ghafla akaimba kwa sauti ya kiume (...nikukamulie mafuta) abiria wakacheeeeeka mimi sikuelewa, mtoto aliposhuka ndipo mjadala ukaanza nami ndipo nikapata picha ya mazingira anayotoka yule mtoto.
Kwanini hakuimba tambarare kwa Yesu tambarare au kaswida
Wakati wa kuanza ndo huu kipindi ambacho unemployment rate imekuwa kubwa kutokana na falsafa Mbovu za hayati.uganda,zambha na malawi wanafanya hivyo!sijui siye tutbnza lini?
Scars naona siku izi unaniogopa kwenye Yale mambo yetu, code za malavidavi.Angeimba niacheni nionje utamu wa yesu au ilr ya shetani na mama mkwe wake wamekalia misumari
Hideen codes zilizopo kwenye hizo punchline hadi marapa bado zimewaacha hoi
Katika kusoma kwangu masuala ya uanzishaji wa kampuni nimeyakuta mtaani navyo fanya bidii ya kusambaza baasha ya kaki, Ujasiliamali nimesoma shalo in deep Tena mwaka wa mwisho chuoni. Nasoma uku nawaza kuja kuajifiwa na Tanesco, TPA,hio namba 1 ndyo kila kitu, mashuleni tulijifunza namna ya kuandika barua ya kazi. daahπ€¦πΏββοΈ
Hahaha kule saizi hua napita kwa mnato sana japo nilitaka nione mechi yako na pilpil itakuaje maana dogokilla kapasuka vibayaScars naona siku izi unaniogopa kwenye Yale mambo yetu, code za malavidavi.
Hahaha kule saizi hua napita kwa mnato sana japo nilitaka nione mechi yako na pilpil itakuaje maana dogokilla kapasuka vibaya
Na ambaye akitokea na kutaka kumsaidia mwananchi ujue anataka atawale milele na kujificha kwenye kivuli Cha uzalendo,Mpaka sasa hajatokea kiongozi yeyote mwenye Nia ya kumsaidia mwananchi.
Tunahitaji mfumo Bora wa elimu na viongozi wetu hawako tayari kibadilisha mfumo maana wananchi wataendelea na kiwazidi akili.
π€£ππππ Amchumie mchicha , au ndo Yale mambo ya popo kanyea mbingu.