Somewhere uswahilini...!!!

Somewhere uswahilini...!!!

Mkuu hapo umeharibu kuweka viroba lakini pweza na sprite sawa
 
Huu mchanganyiko lazima abdallaa afanye mazoezi siku 7 ndio achoke lol!
 
mambo ya pweza hayo hata shaft haihusiki kaz kwenu
 
Jamaa alipiga iyo combination, katika ya mechi mamsapu, bleed zikamuanza wakati ilikuwa bado week aone izo ishu zake!
 
hyo shughuli yake hadi harufu ya mshikaki inasikika
 
Back
Top Bottom