Somewhere in Tanzania

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,357
Mshukuru Mungu kwa ulichonacho.
20190509_153516.jpeg
 
Kuna uzi jamaa kaleta ushahidi kabisa hii picha ni shule moja huko kenya, imepostiwa twitter hadi jina la shule tena kwenye account ya chombo cha habari cha kenya kitu kama Kbc au Ktn
 
Dah wanasikitisha sana! In future wakija kuwa viongozi lazima wajilimbikizie Mali ili kuepuka vizazi vyao kuishi kama wao.
 
Usishangae wananchi hapo wanafanya sherehe kubwa tu za sikukuu kila mwaka elimu ndio hivi
 
Back
Top Bottom