excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,463
- 17,960
From los Angeles
Unaweza kuona ni jambo la ajabu sana unapokuta mtu mzima anamlilia mnyama wake kama mbwa, paka, mbuzi, ng'ombe, farasi ama punda anapokuwa amaefariki dunia.
Wanyama wana nafasi kubwa sana katika maisha yetu hasa unapokumbuka jambo fulani muhimu analofanya unapokuwa nae ama hata nyumbani. Yaweza kuwa ni ulinzi, uzuri wake, upole, umbo na mengine mengi mengi tu.
Kwa mfano:
Usistaajabu mwanaume huyu. Amediriki kumlilia mbwa wake kipenzi baada ya kupoteza uhai kutokana na kuvuta moshi mwingi sana uliokuwa ndani ya nyumba na kupelekea kufa.