Sometimes love...

Sometimes love...

Nimekuwa kwa mahusiano na huyu ndg kwa muda kidogo but he is too a budden to me. Mwanzo kabisa alisema ana biashara zake kadhaa, ( nimeona mbili ) na mimi nimeajiriwa ofc fulani.

Tatizo kila siku yeye ndo mwenye shida, yaani haipiti siku mbili hajaomba hela, mara beby niazime kiasi fulani nashida hii, mara ninataka kufanya hiv imekuwa sasa too much. Sikatai kumsaidia mwenzako anapokwama (which i did kila nilipoweza) lkn sasa naona kabisa nadidimia. Na ikitokea hujampa au umwambie sina ananuna siku kadhaa hakusemeshi... hii ni sawa kweli? Mind u sijawai hata muomba hela ktk kipindi chote cha mahusiano. Na si kwamba sina matatizo, ninayo sana ila najaribu kuyatatua mwenyewe nikiamini kwamba nisiwe mzigo kwake lkn yeye amenikata maini kwakweli
ukiona mwanaume ana nguvu za kuomba pesa mwanamke jua hakupendi.speaking from experience just let go of him....muache aende..
 
Mkeka gani mkuu
Mkeka (penzi) tayari limekufa. Nashangaa huyo jamaa mambo yote yasiyostahili kufanyiwa mtu mwenye mapenzi ya dhati, yeye alikufanyia na bado mkaendelea kuwa pamoja. Aisee kuna watu mna mioyo migumu, uliona wapi Mwanaume akanuna? Hiyo ilikuwa sababu tosha ya kumjua huyo kimeo, kwa nini uteseke Wanaume wa kweli tupo... Karibu PM tuongee mambo mawili, matatu.
 
Mapenzi ni mazuri sana ila sisi wanadamu ndo tunafanya yaonekane mabaya, hovyo, hadi tunafikia kuyachukia na kuchukiana.

Na hii yote inatokea pale mmoja anapokuwa kwny mahusiano kimaslahi zaidi (mbinafsi) anajifikiria yeye tu wakati wote....

If we real love each other and stop selfishness, for sure love is a beautful thing....

Nimevurugwaa!
Pole Sana kadogoo
 
Mkeka (penzi) tayari limekufa. Nashangaa huyo jamaa mambo yote yasiyostahili kufanyiwa mtu mwenye mapenzi ya dhati, yeye alikufanyia na bado mkaendelea kuwa pamoja. Aisee kuna watu mna mioyo migumu, uliona wapi Mwanaume akanuna? Hiyo ilikuwa sababu tosha ya kumjua huyo kimeo, kwa nini uteseke Wanaume wa kweli tupo... Karibu PM tuongee mambo mawili, matatu.
asante mkuu
 
  • Thanks
Reactions: K M
Unavyompenda mtu usitegemee anything in return, just love like there is no tomorrow...

Point yangu ni kwamba, usimchukulie mwenzako kama daraja la kukufikisha mahali, kila siku unalia shida wewe tu, usiposaidiwa unanuna. Mbaya zaidi mwenza akiwa na shid unadharau na wala hujigusi. This isnt love
Nikimpata mwanamke Mwenye mtazamo Kama wako mbona ntajidai apa duniani
 
Unakosea mkuu, kila mmoja anastahili upendo, heshima n.k unapoingia kwa ajili ya gaida zako mwisho wa siku unamuumiza mwenzako aliyetayar kukupenda na kujitoa kwa ajili yako

Usichanganye uoendo na matamanio....wengi wapo katika kutamani wagegede wasepe zao.
 
Love for you own risk,,yaani unapopenda usifosi mtu uliyempenda awe kama utakavyo
 
Back
Top Bottom