Root root AE
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 207
- 354
HhhhSiku zote kila mtu humtegea mwenzake hakuna aliyeko tayar kuweka moyo rehan
HhhhSiku zote kila mtu humtegea mwenzake hakuna aliyeko tayar kuweka moyo rehan
Siku zote kila mtu humtegea mwenzake hakuna aliyeko tayar kuweka moyo rehan
Unawezaje kujua huyu ndo ananipenda kwa dhati mkuuMkuu jifunze kumpenda anayekupenda,
tatizo lenu (wanaume/wanawake) mnapopendwa ninyi hamuwapendi, bali mnawapenda ambao hawawapendi....jifunze kumpenda anayekupenda kwa dhati! Hilo ndiyo suluhisho la mapenzi kwa sasa.
Anyway, pole kwa yote..!
Ni rahisi sana kujua mtu anayekupenda kwa dhati.Unawezaje kujua huyu ndo ananipenda kwa dhati mkuu
GreatFor sure
Nimekuwa kwa mahusiano na huyu ndg kwa muda kidogo but he is too a budden to me. Mwanzo kabisa alisema ana biashara zake kadhaa, ( nimeona mbili ) na mimi nimeajiriwa ofc fulani.Mkuu funguka,nani anatesa nafsi yako
Ingekuwa rahisi hivyo watu wasingekuwa wanalia mkuuNi rahisi sana kujua mtu anayekupenda kwa dhati.
Lakini siwezi kuweka wazi hapa nitawapa hayo maujuzi hao mabazazi na kuendelea kuumiza wengine na wengine kwa kutumia mbinu hizi.
Ingekuwa rahisi hivyo watu wasingekuwa wanalia mkuu
Exactly, hichi ndo kinachoumiza wengi. Mahusiano ni ya wawili, wote mnapaswa kuwajibika kwa kila hali na sio kujifikiria wewe tuUbinafsi n mbaya sana kwenye mapenz, unakuta mtu anajiwazia yeye tu akifurahi yeye inatosha, inafika mahali hadi maana ya mapenz inapotea kabisa mtu anajisahau ajali uwepo wako kwenye uhusiano, anasahau kuwa mahusiano n ya wawili matokeo yake n maumiv.
Sawa mkuuWanaolia imewabidi walie kwakuwa wamependa wasikopendwa.
At its bestUbinafsi......
Hiyo ni kesi nyingine mkuuSipo tayari kumuumiza mtu, labda apende mwenyewe...
Mfano upo tayari kumpenda mtu lakini asipokupenda hata chembe ina maana huyu anapenda kuumizwa...
Mapenzi siku hizi kupimiana tu. Hata hayanogi ptuuuuu!
Tatizo dogo,jaribu kukaa naye mzungumze na umwambie hali halisi,ya kuwa uko tayari kuchangia pesa hasa pale zinapohitajika kwa ajili ya kukuza maendeleo yenu,na si zaidi ya hapo.mfano;- kuchangia kufungua biashara ya pamoja n.kNimekuwa kwa mahusiano na huyu ndg kwa muda kidogo but he is too a budden to me. Mwanzo kabisa alisema ana biashara zake kadhaa, ( nimeona mbili ) na mimi nimeajiriwa ofc fulani.
Tatizo kila siku yeye ndo mwenye shida, yaani haipiti siku mbili hajaomba hela, mara beby niazime kiasi fulani nashida hii, mara ninataka kufanya hiv imekuwa sasa too much. Sikatai kumsaidia mwenzako anapokwama (which i did kila nilipoweza) lkn sasa naona kabisa nadidimia. Na ikitokea hujampa au umwambie sina ananuna siku kadhaa hakusemeshi... hii ni sawa kweli? Mind u sijawai hata muomba hela ktk kipindi chote cha mahusiano. Na si kwamba sina matatizo, ninayo sana ila najaribu kuyatatua mwenyewe nikiamini kwamba nisiwe mzigo kwake lkn yeye amenikata maini kwakweli
Tatizo mbinafsi, anajijali na kujifikiria yeye tu all the time, kuna wakati tuliweka plan zetu mezani na mi nikashuri tuchague moja ambayo ndo tuanze nayo, akachagua yake ndo ianze na alitaka ianze imediately hata niliposema kwa sasa sina hicho kiasi cha pesa, alimaind sana mpaka tukakosa kuelewanaTatizo dogo,jaribu kukaa naye mzungumze na umwambie hali halisi,ya kuwa uko tayari kuchangia pesa hasa pale zinapohitajika kwa ajili ya kukuza maendeleo yenu,na si zaidi ya hapo.mfano;- kuchangia kufungua biashara ya pamoja n.k
AhahahahahaHuezi kua recycle bin na utegemee furaha...ni kila uchafu utatupiwa wewe😉







umefikiria nn mkuuHuyo hakutaki yupo na wewe kwa sababu maalumu,anakutumia wewe kama daraja au chanzo cha mapato.Tatizo mbinafsi, anajijali na kujifikiria yeye tu all the time, kuna wakati tuliweka plan zetu mezani na mi nikashuri tuchague moja ambayo ndo tuanze nayo, akachagua yake ndo ianze na alitaka ianze imediately hata niliposema kwa sasa sina hicho kiasi cha pesa, alimaind sana mpaka tukakosa kuelewana
piga chiniKweli kabisa, mtu anajiona yeye tu ndo anapata shida, yeye tu ndo asaidiwe kila siku, yeye tu ndo ajaliwe na kupendwa, kweli? Ubinafsi wa hali ya juu