Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,155
- 55,650
Mkuu funguka,nani anatesa nafsi yakoKweli kabisa, mtu anajiona yeye tu ndo anapata shida, yeye tu ndo asaidiwe kila siku, yeye tu ndo ajaliwe na kupendwa, kweli? Ubinafsi wa hali ya juu

Mapenzi ni mazuri sana ila sisi wanadamu ndo tunafanya yaonekane mabaya, hovyo, hadi tunafikia kuyachukia na kuchukiana.
Na hii yote inatokea pale mmoja anapokuwa kwny mahusiano kimaslahi zaidi (mbinafsi) anajifikiria yeye tu wakati wote....
If we real love each other and stop selfishness, for sure love is a beautful thing....
Nimevurugwaa!
Pole sanaMapenzi ni mazuri sana ila sisi wanadamu ndo tunafanya yaonekane mabaya, hovyo, hadi tunafikia kuyachukia na kuchukiana.
Na hii yote inatokea pale mmoja anapokuwa kwny mahusiano kimaslahi zaidi (mbinafsi) anajifikiria yeye tu wakati wote....
If we real love each other and stop selfishness, for sure love is a beautful thing....
Nimevurugwaa!
Asante mkuiPole sana
Very trueLove is so beautiful when you meet a perfect person
For sureSometimes love ain't enough
HahahaaNjoo unywe upunguze mawazo
I hope you are among themVery true
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽Pole kwa kuvurugwa. Yes L❤VE is a very BEAUTIFUL and very PRECIOUS.
I hope you are among them
Maybe ur right sis BeckyPole Kadogoo,broken relationship means a lesson learnt,ndivyo tunavyokomaa na kujua nini we want in life,,,so it’s a way to maturity,
Huezi kua recycle bin na utegemee furaha...ni kila uchafu utatupiwa wewe😉Ubinafsi n mbaya sana kwenye mapenz, unakuta mtu anajiwazia yeye tu akifurahi yeye inatosha, inafika mahali hadi maana ya mapenz inapotea kabisa mtu anajisahau ajali uwepo wako kwenye uhusiano, anasahau kuwa mahusiano n ya wawili matokeo yake n maumiv.
Mapenzi ni mazuri sana ila sisi wanadamu ndo tunafanya yaonekane mabaya, hovyo, hadi tunafikia kuyachukia na kuchukiana.
Na hii yote inatokea pale mmoja anapokuwa kwny mahusiano kimaslahi zaidi (mbinafsi) anajifikiria yeye tu wakati wote....
If we real love each other and stop selfishness, for sure love is a beautful thing....
Nimevurugwaa!
Mkuu jifunze kumpenda anayekupenda,Mapenzi ni mazuri sana ila sisi wanadamu ndo tunafanya yaonekane mabaya, hovyo, hadi tunafikia kuyachukia na kuchukiana.