Tafuta mwanamme wa kukulegeza, unang'ang'ana na babako wakati anaweza kuwa anaitwa 'baby' huko aliko?
Wanaume nao ni stress tu
No body can take a place of a father
Sasa unataka uponee kwa baba ako?
you are complaining as if he is your bf
you need a boy to make you busy
na wewe uwe busy hadi yeye akutafute
Wanaume nao ni stress tu
You are complaining as if he is your bf
you need a boy to make you busy
na wewe uwe busy hadi yeye akutafute
Yule aliekuwa hapokei simu zako keshaanza kupokea ama bado?
Mh! So wats the responsibility of a father?? Mfano nimepata mchumba nataka kuolewa, dnt I hav to speak to my dad first??
attention for kids yes,but not a big girl like youMyb u hav watt wa kike or ukipata, wakikua ljaribi kua nao karibu, watoe out jus u and them, ili wakuzoee na wasizoee na kutamani kupata that attention from other men, to avoid problemz
Myb u hav watt wa kike or ukipata, wakikua ljaribi kua nao karibu, watoe out jus u and them, ili wakuzoee na wasizoee na kutamani kupata that attention from other men, to avoid problemz
Waafrika bhana kwani mtoto wa kike kumpenda baba yake ni kosa?!
Waafrika bhana kwani mtoto wa kike kumpenda baba yake ni kosa?!