- Thread starter
- #41
wenzio wanaolewa wakiwa 19
wewe 23 still unamlilia baba yako?
find a bf fast
Kuolewa si hoja, hata nkiolewa bado atabaki kua my dad , huyo bf ndo ananiongezea stress sijaona cha maana kwake

find a man,not a boy
tafuta above 30...
Uwiiiiiiii so nitafute shuga dadayy, seriouslyy??
Am nt inlov wt him, imagine 9months no communication, dnt I hav a right to complain??
Tangu lini wanamme ni problem?
Hivi hivi mnaanza kuwatege baba zenu hadi wanawala
Mwache baba ako abembelezwe huko
Kuolewa si hoja, hata nkiolewa bado atabaki kua my dad , huyo bf ndo ananiongezea stress sijaona cha maana kwake
23 kwa 30 sio sugar dady
its mature age
wewe ni 23 but you sound 12
so childish kwa kweli
full kudeka
Huo muda ulitosha mimba kuzaliwa kabisa
Kuolewa si hoja, hata nkiolewa bado atabaki kua my dad , huyo bf ndo ananiongezea stress sijaona cha maana kwake
I see
Ushakua ujue? Unamaliza nyembe bure tu
Uwiiiiiiii so nitafute shuga dadayy, seriouslyy??
Kumbe ume-diverge mapenzi kwenda kwa baba baada ya bf kukuletea stress?
Tafuta mpya