- Thread starter
- #21
Wee tiwa mimba atakutafuta mwenyewe
Hahahhaha wazo zuri,,ntalifikiria
Wee tiwa mimba atakutafuta mwenyewe
attention for kids yes,but not a big girl like you
Dont you have a hobby?
cant you travel?swimming class?
anything?
You are too young to demand attention from him
get a bf...it will help you...
Am still and forever will remain his lil girl, so yo telling me to go swimming wenever I need manly advice or help frm that special man in my life??? Sipati picha utakua baba wa dizain gani
upweke wako hauwezi kumalizwa na attention from your father
ukiendelea hivi utaanza kuwaonea wivu wanawake wanaomsogelea baba yako
Hahahhaha wazo zuri,,ntalifikiria
Kama huyo mwanamke ni mama yangu, siwez kua na wivu
nijibu kwanza how old are you?
Tangu lini wanamme ni problem?
Hivi hivi mnaanza kuwatege baba zenu hadi wanawala
Mwache baba ako abembelezwe huko
Hahaha huyo anaembembeleza ni nomaa, yani hadi mzee anasahau mbegu yake huku ishakua mti unatoa matunda
Wacheni wivu kwan bf ndo kanileta hapa duniani?
Wacheni wivu kwan bf ndo kanileta hapa duniani?
find a boyfriend
mti umetoa matunda?
baba yako alifanye nini hilo tunda?
wewe uko in love na your father....na ukijiendekeza haya
Mkuu malezi ya siku hizi yamekuwa tenge mtoto a kike mkubwa hivi anmtafuta babake kana kwamba ni.mpnzi wake?
Btw am 23
Mkuu si ndio atajuta zaidi, maboyfriend wenyewe wa siku hizi