Jifunze kukopia sahihi:Mwenzako kakiri kwamba dunia Haihitaji mungu,nami nimefunga mjadala nawakaribisha sana Atheism
Evolution ulishawahi iona? umejuaje kama kulikuwa na evolution? umeombwa ushahidi wa kwamba Hayupo hadi sasa hujaweza kufanikiwa?
Jifunze kukopia sahihi:
Ndio maana nakwambia lini utajifunza kusoma katika context?
NIMEKUJIBU MASWALI YAKO YOTE NANE, SASA UPO KIMYAAAAAAAAAAAAAAAA
Si ulisema ukijibiwa utabatizwa? Sema upo nchi gani, nitume Vijana waje kukubatiza kwa Jina La Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Nafikiri unahitaji kujua zaidi...Kumbe mungu wenu mnamstadi kama evolution?
By...Free ideas..
Hakuna swali ulilojibu pale ndugu,umelalamika tu kama kawaida yako.Tatizo unatumia imani kujibu kitu ambacho kinakufunga siku zote .
Bogus reply
Take this
... Atheism is, in a broad sense, the rejection of
belief in the existence of deities. In a
narrower sense, atheism is specifically the
position that there are no deities.
Most inclusively, atheism is the absence of
belief that any deities exist.
Atheism is contrasted with theism , which
in its most general form is the belief that at
least one deity exists.
The term atheism originated from the Greek
(atheos ), meaning "without god(s)",
used as a pejorative term applied to those
thought to reject the gods worshipped by the
larger society. With the spread of freethought ,
skeptical inquiry, and subsequent increase in
criticism of religion, application of the term
narrowed in scope. The first individuals to
identify themselves using the word "atheist"
lived in the 18th century.
Arguments for atheism range from the
philosophical to social and historical
approaches. Rationales for not believing in
any supernatural deity include the lack of
empirical evidenc,the problem of evil,
the argument from inconsistent revelations,
rejection of concepts which cannot be falsified ,
and the argument from nonbelief.
Although some atheists have adopted,satisfied ?
Wewe si ulikataa copy and paste?
Unalamba matapishi yako?
Huyu kijana bado anayumba yumba sana. Lakini tusiwe na shaka, karibia tutmbatiza na atakuwa muumin mzuri tu.Free ideas nimegundua wewe bado ni mgeni kwenye nyanja ya atheism,bado unajichanganya sana. Bado unajifunza,nikupongeze kwa uthubutu wako wa kujaribu kujadiliana haya mambo. Ila bado sana.
Naona una maumivu makali sana. Pole pole tu, tutafika maana sasa umekimbia issue ya numbers na kuingilia copy kama vile Mwalimu wako alipo kufunza the binary of (1 + 1) ni Kumi hakukopia kwa wakwanza.Panapo ulazima,sio kila kitu unakopy hata swali unakopy na kuapste.Inasikitisha sana mtu yuko humu kuzenga hoja na Atheist lakini hajua hata maana ya Atheist ndo mana nikaingia fasta net kumpakulia maana ni usumbufu kuanza kumuelimisha mtu a,e,i,o,u.wakati Muda ushapita.Ni sawa na ndugu yako Ishmael aliyeuliza maana ya Evidence
Hahhahahahahaahaya. BanaNi huyo huyo, Msomali mwenye uraia wa Kitanzania na pia mwenye uraia wa Marekani.
Naona una maumivu makali sana. Pole pole tu, tutafika maana sasa umekimbia issue ya numbers na kuingilia copy kama vile Mwalimu wako alipo kufunza the binary of (1 + 1) ni Kumi hakukopia kwa wakwanza.
Ndio maana nitarudia tena kwa kusema, jifunze kufikiria kabla ya kusema. Huu ni Msiba unao kufuata kila sehemu.
Kwa nn usiwe unajaribu kuandika pointi ama vitu vyoyote vya maana?,.kwa nn unapenda haya majibizano yasiyo na tija kila siku humu kila siku?.
Jifunze kusoma between the lines kijana.
Nimekupa mfano swafi kabisa lakini umeamua kufumba macho. Hili swali langu naweza kuliita "thesis" maana limejibu argument yako ya copy na bandika.
Mwalimu wako alipo kufunza the binary of (1 + 1) kuwa ni 10, je hakukopia kwa wakwanza?
Jibu kama ni "YES" au "NO" halafu lete constructive exhibit kusaidia jibu lako.
I cant prove his Absence,simply because he doesn't Exist.
Maneno matupu hayavunji mfupa,he doesnt exist,sawa,evidence basi kuthibitisha madai yako kwamba he does not exist.
Usije hapa kutuambia there is no evidence kama yupo ukafanya presumption yenu ile kwamba absence of evidence for existence of God,you presume that God does not exist.
That presumption doesn not pass a philosophical muster. Make no mistake about that.
Always remember absence of evidende is not evidence of absence.
Tupatie solid evidence kwamba he does not exist. Mbona tukitaka ushahidi unakwepa kwepa na kuleta mambo yasiyokuwepo. Nilikupa ushauri,jibu hoja kwa utaratibu,ukiulizwa swali unajibu,acha kuleta hoja zisizokuwepo.
ishu ya uwepo wa Mungu ni ya kiimani zaidi, lakini kama Mungu hayupo Biblia ilitoka wapi? Yesu Kristo naye alitoka wapi? je yale aliyoyaongea na kuyatenda ni fix? twende kwenye njia pana zaidi tunapojadili hili na tutende haki
ndugu hii itabid itafutiwe uzi wake tujue hv vtabu vtakatfu vmetoka wap, hawa mitume walikuwepo au hawakuwepo