Something From Nothing

Something From Nothing

Naona na wewe umetafuta jinsi ya kuchomoka kama yule mwoga mwoga anaye tumia "IGNORE BUTTON" Pole sana.

You are yet to provide evidence for all that you are spouting on this thread. A bit rich coming from you.
 
Sasa kwa sababu nimejaribu kujibu maswali yenu kwa siku ya tatu mfululizo sasa,naomba na mimi niulize maswali nanyi mnijibu.(nimetumia neno" nimejaribu kwa maana najua hatukufika mwisho na inawezekana hamkuridhika)

1.Anyone from you, Prove to me the Existence of God out of Faith(msichanganye maana nimesema out of Faith ili kuwarahisishia).

2.Is GOD a Spirit or a Physical figure ?

3.What is CHRISTIAN/MUSLIM without JESUS & MOHAMMAD respectively ?

4.May you mention At least 3 problems which has been solved by Religion in this World ?

5.Y did God communicated only with the Middle Eastern people ?.Or warum sind alle Prophets von Mittel Ost gekommen sind?,(Kwa nn manabii na mitume wote walitoka Mashariki ya kati),

6.Nambien kwa nn mtoto mdogo anazaliwa kilema nawakati mungu hakuumba vilema?,Na mnambie mahala ambapo vitabu vya dini vimeongelewa vitu kma mtoto kuzaliwa kilema,appendix,sikoseli ,ukoma,kwamba vinatokana na nn.(msinambie n laana kama enzi zile za ujinga walivoamini)

7.Nahitaji evidence kwamba Yesu alitoka kwa mungu(sio imani please),pia kwamba Mohammad alitokewa na mungu pangoni.

8.Kisha mnambie If we were created by him,kwa nn aliaxha watu waabudu miungu ya kuchonga,mawe ,jua ,mwezi(kumbuka Hata Ibrahim aliabudu jua,mwezi kabla hajapata idea ya mungu asiyeonekana aliyoitoa kwa jiraNi zake waliochoka kuchonga kila siku munhu mpya).Kwa nn atuache tumtafute badala ya yeye kututafuta?.Naanisha kwa nn watu wa zamani hawakumjua moja kwa moja?,kwa nn baadae?
...

...jibuni hayo kwanza maana mko wengi.. mkinijibu sahihi Nabatizwa,ama naslim ten nafunga mwez mtukufu,,kila la kher watu wa mungu.Mnaweza kugawana maana mko wengi,
 
You are yet to provide evidence for all that you are spouting on this thread. A bit rich coming from you.

Mapovu kibaaaaaaaooooooo. Hakuna haja ya kufoka kijana.

1. What is evidence?
2. Evidence of what?
3. Why do you think evidence is important and more constructive that theorem?

By the way, there is no evidence of evolution ex nihilo. HUU NI MSIBA WENU MPAKA UMAUTI UTAKAPO WAINGIA.
 
Ona sasa et anauliza whats is evidence !,Kwan hapa tuko darasani?,kama hujui maana ya evidence sasa unafanya nn humu?
 
Unarudia makosa yako yale yale na maswali yangu bado yapo pale pale:
1. What is evidence?
2. Evidence of what?
3. Why do you think evidence is important and more constructive than theorem?

By the way, there is no evidence of evolution ex nihilo. HUU NI MSIBA WENU MPAKA UMAUTI UTAKAPO WAINGIA.
 
Unarudia makosa yako yale yale na maswali yangu bado yapo pale pale:
1. What is evidence?
2. Evidence of what?
3. Why do you think evidence is important and more constructive than theorem?

By the way, there is no evidence of evolution ex nihilo. HUU NI MSIBA WENU MPAKA UMAUTI UTAKAPO WAINGIA.

Kwa nn unauliza maswali ya namna hiyo?,Unadhani nani ana huo muda wa kukujibu wewe maana ya Evidence ?,Yaan nikufundishe kujitambua nikufundishe pia misamiati?.

Sema kama huna jipya tena!.Hayo maswali unayoita msiba nadhani hata wenzako wanashangaa !,Kwamba hujui maana ya Evidences ,japo wajua unataka kupotezea tu.

Nambie maswali yangu 9,utajibu lini?,Maana naona unayakwepa ama hukuyaona?.Halafu vipi kuhusu kijerumani?.Ok basi tuachane n kijerumani maana inaonesha ulitaka kasifa kwamba unajua vi-lugha kibao kumbe hukujua umeshika pabaya. Nijibu tu hata mawili kati tisa mkuu
 
Sasa unanipangia mswali.

Jibu maswali na acha kuogopa kijana. Ndio shule inaanza taratib hapo. Maswali yako 9 umeyachomeka ili kuchakachua mada yako. Hayana uhusiano wowote ule na hii mada yako. Ndio maana nimeyaacha. Anzisha mada yake. I will be very happy to be part of it.

Sasa turudi kwenye hii mada husika.

1. What is evidence?
2. Evidence of what?
3. Why do you think evidence is important and more constructive than theorem?

By the way, there is no evidence of evolution ex nihilo. HUU NI MSIBA WENU MPAKA UMAUTI UTAKAPO WAINGIA.
 
Sasa unanipangia mswali.

Jibu maswali na acha kuogopa kijana. Ndio shule inaanza taratib hapo. Maswali yako 9 umeyachomeka ili kuchakachua mada yako. Hayana uhusiano wowote ule na hii mada yako. Ndio maana nimeyaacha. Anzisha mada .[/COLOR][/B]

Hahaha,inabidi nicheke inamaana umeyaacha sababu huyawezi ama kwa kuwa hayana uhusiano na mada,axha hizo mkuu mbona mi huwa nakili nikibananishwa?.Kuna mwenzako Eiyer alijaribu mawili lakini hakuwa sahihi hata moja,yaliyobaki alikuwa anakusoa lugha kama kawaida yake
 
Last edited by a moderator:
Hahaha,inabidi nicheke inamaana umeyaacha sababu huyawezi ama kwa kuwa hayana uhusiano na mada,axha hizo mkuu mbona mi huwa nakili nikibananishwa?.Kuna mwenzako Eiyer alijaribu mawili lakini hakuwa sahihi hata moja,yaliyobaki alikuwa anakusoa lugha kama kawaida yake

Unachena nini rafiki?

Nilisema maswali yako yamechomkwa ili kupinda mada yako. SIo sababu ya kupindisha hii mada kwa kuanza mada nyingine ndani ya mada yako hii tukufu.

Anyways, katika maswali yako 9, asilimia zaidi ya 50 ni fallacious arguments.
 
Basi jibu hizo asilimia zilizobaki

By...Free ideas..
 
Basi jibu hizo asilimia zilizobaki

By...Free ideas..
Sasa unataka kuanza kuzungumzia Mungu kwenye mada ya nihilo ex nihilo?

Mbona ipo mada ya madai kuhusu Mungu?

Anyways:
1. You are the proof.

2. God is the Spirit

3. There is no Christianity without Jesus.

4. Christianity is not a Religion. N/A

5. No, God communicates with anybody. He is omnipresent.

6. You are correct, God did not create "VILEMA". Who are you? Spirit, Body or Soul?

7. Yesu mwenyewe ni Mungu.

8. You are created by Him. Choice of worship is yours. Mungu halazimishi watu kumfuata au abudu.
 
Hakuna ulichojibu hap,umefanya kukwepa

##kivipi fafanua#

2. God is the Spirit

#How comes then,you say we were created on his own image ?,What is image according to you?#

3. There is no Christianity without Jesus.

.#Thax#

4. Christianity is not a Religion. N/A

##Huhu#

5. No, God communicates with anybody. He is omnipresent.

#When was your last time to comncte with him and how?#

6. You are correct, God did not create "VILEMA". Who are you? Spirit, Body or Soul?

#Am a human being,then tell me y there's VILEMA?,Appendix ?#

7. Yesu mwenyewe ni Mungu.

#Prove uungu wa Yesu,or who told you?#

8. You are created by Him. Choice of worship is yours. Mungu halazimishi watu kumfuata au abudu.

Then y will he punish me?,If its the choice of Worshiping or not
#
.
 
Hakuna ulichojibu hap,umefanya kukwepa

Wewe hata maana ya majibu hufahamu.

Ndio maana nilikuulizeni maana ya:
1. What is evidence?
2. Evidence of what?
3. Why do you think evidence is important and more constructive than theorem?

By the way, there is no evidence of evolution ex nihilo. HUU NI MSIBA WENU MPAKA UMAUTI UTAKAPO WAINGIA.

Ungejibu hapo juu, wala usinge sema uliyo yasema hapa.
 
Hakuna ulichojibu hap,umefanya kukwepa
2. God is the Spirit

#How comes then,you say we were created on his own image ?,What is image according to you?#
God is Spirit. You are Spirit. The image I am talking about is the Spirit Person in you.
Mtu anapo kufa kwanini wanasema huu ni mwili wa fulani? Sasa huyo "fulani" kaenda wapi? That is the one I am talking about.
 
Hakuna ulichojibu hap,umefanya kukwepa

5. No, God communicates with anybody. He is omnipresent.

#When was your last time to comncte with him and how?#
I am talking to Him right as I am writing to you.
 
Hakuna ulichojibu hap,umefanya kukwepa
6. You are correct, God did not create "VILEMA". Who are you? Spirit, Body or Soul?

#Am a human being,then tell me y there's VILEMA?,Appendix ?#
Wrong answer.
 
Hakuna ulichojibu hap,umefanya kukwepa
7. Yesu mwenyewe ni Mungu.

#Prove uungu wa Yesu,or who told you?#
His Attributes are invisible and eternal. He has dual Nature. He existed before He became Emmanuel. He is the CREATOR.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom