Naufananisha Uumbaji wa MUNGU(kama yupo),na mfano huu ambao kwangu ni fumbo na halijapata jibu la kuridhisha.Please mfano huu hauna maana mbaya wala tafsiri yoyote mbaya ni mawazo yangu binafsi tu.
Twende sasa.................
Wote mnaijua Computer,na Virus pia mnajua maana yake.
Em tuanzie hapo,nitatumia mifano hiyo,MWANADAM,COMPUTER na VIRUS
MUNGU,(kama yupo),amemuumba
MWANADAM (Computer ),ambayo alitaka imfanyie kile alichoiagiza kufanya na imtii kwa kila alisemalo, na daima Computer hii ifuate maagizo yake.
Lakni kwa upande mwingine pia MUNGU(kama yupo),aliumba SHETANI(kama yupo)(VIRUS).virus hiz ni maalum kwa kuharibu System ya Computer na kufanya isiweze kufanya kaz vizur.Virus hawa huingia katika Computer na kufanya mwenendo wa utendaji wa Computer kuwa mbaya na mbovu.Virus huyu husababisha Computer isiweze kufanya kile ambacho ilikusudiwa kufanya kwa umakini.
Imefikia wakati sasa aliyeitengeneza Computer,kaingia vitani na kifaa chake mwenyewe alichokitengeza (Virus ),na kukilaumu kwamba kinamuharibia COMPUTER yake et kwa kuwa kinaisababisha kufanya yale asiyoyataka.Lakini kbuka Fundi alijua kabisa kabla kwamba Computer yake itahatibiwa na kifaa hicho(Virus ).
Computer (mwanadam),anaonywa na mtengenez wake kwamba asifuate yale ambayo pacha wake VIRUS,anataka bali Computer ifuate yale ambayo mtengenez anasema ifuate.
Computer (Mwanadam) inabaki njia panda kwa kuwa sasa mtengenezi wake anashindana na kifaa chake mwenyewe kuigombania Computer.Kila upande kuvutia kwake na kuulaum ipande mwingine.
Maswali mazito ambayo Computer(binadam)inajiuliza ni 1.Je kulikuwa na Umuhimu gani wa kutengeneza Virus(shetani),na kuiweka pamoja na Computer(mwanadam)
2.Iweje fundi ashindwe kuisambaratisha Virus(shetani ) anaona haina faida zaidi ya kumuharibia Computer(mwanadam) yake??.
3.Kwa nini Fundi,anaahidi kuichukulia hatua kali Computer(mwanadam) baadae,et kwa sababu haikufanya kile alichotaka??,je nikwel kwamba hakujua kwamba virus itaharibu Computer System ??
NB.,,ni mawazo huru tu,unaruhusiwa kukosoa ama chochote.
Free ideas
MUNGU NI NINI AU NANI?
kama humjui unataka ushahidi gani uhakikishe?
we ni nani umpangie cha kufanya na kutokufanya,this is your Own curse,waliofikiri deep they understood and knew GOD
mungu ni Idea aliyoianzisha mwanadamu katika harakati zake za kutaka kujua mwanzo na asili yake
Wewe utakuwa ni miungoni mwa wakubwa ambao wakiwa watoto akili zilidumaa..
Andishi llako lirejee tena kupinga haya.
mungu no idea aliyoianzisha mwanadamu...kujua mwanzo na asili yake.
Matokeo ya kuhitimisha kwa kutumua "intuition" yako pasipo kuangalia reflection kuhusu hitimisho.
mungu ni idea ???!!! Kila idea atayoianzisha mwanadam kutafuata mwanzo na asili yake ndiyo mungu kwako.
Hivi wakuu, dola ya urumi isingeamua kuchanganya dini na utawala leo kungekua na dini ipi na pia wasingekuja wakoloni huku Afrika tungekua na dini gani leo?
Me sikubaliani na wasiopinga Mungu ila naona kuna maelezo ya msingi hayakuwekwa vya kutosha kwny vitabu vyetu vya Koran na Biblia.
Theory is not a Fact dont mess up two different things Theories and LawsAgain, you do not know what a theory is.
A theory explains a fact. Most theories are not assumptions, they are a tested and living bodies of knowledge that explain facts. For example, gravity is a fact. The theory of gravity explains gravity.
Without the knowledge of the theory of gravity and the theory of electromagnetism, we would not have cell phones, airplanes, satellites, the space station, electricity-as we know it-, cars, trains, etc.
Without understanding germ theory, we would not have vaccines, and all the treatments used in modern medicine.
Without the quantum theory we would not have the computers and the internet you are harping on.
You really ought to understand these concepts you are so eager to bash.
Haya mambo unayojaribu kueleza Hapa science imeshafafanua baadhi kwa kina tu nafikiri ni uvivu wako wa kusoma lakin pia tuelewe sayansi sio static kama vitabu vya baadhi ya dini hii ni Dynamic kila siku panakuwa na Research na maarifa mapya yanaandikwaFree Ideas, Kuna mambo mengi sana ninyi wanasayansi hamuwezi kuyafafanua kinaga ubwaga, kwa mfano; Mimi nimeshuhudia wazee wakiomba mvua kwa kuchinja Mbuzi na Ng'ombe sehemu moja inaitwa Mseseweni Kinyamvuo wilaya ya Moshi Vijijini... mvua ilinyesha from nowhere kwa mfululizo hadi wazee walipoenda kuomba tena kuwa imetosha!!! Tumeshuhudia mara nyingi Wild Fire wengine wanaita Bush fires zikiwatesa mataifa makubwa na kuwaletea madhara makubwa ya ajabu, tumeshuhudia Hurricanes, Tsunami na Tornado zikileta madhara kwenye nchi ambazo wanadai wanaweza kutabiri kisayansi... tunaona vomondo vikiruka angani! Tunaona jinsi ambavyo watu wanaponywa kwa maombi pekee! tulishuhudia hapa Maradona alipewa siku chache tu za kuishi lakini hadi leo anadunda kama kawaida! Haile Selasie aliamuru upepo usafishe anga iliyonyunyiziwa sumu na Wataliano... Kwanini mpaka sasa hamjaweza kutengeneza uhai wa viumbe? kwanini mpaka sasa mnashindwa kutembelea sayari nyinginezo? Formation of Galaxies ikoje? Ilikuwaje kukawa na anga yenye layers amapo kila layer inakazi yake mahsusi?... Itoshe kusema kuwa yote ni kazi ya Creator/MUNGU ... yenye ndiye mmiliki wa kila kitu katika dunia hii na kesho akhera ...Kwa mwenye akili lazima atajua tu kuwa Hakuna Mwanasayansi mwenye uwezo wa kugeuza usiku kuwa mchana ... hakuna wa kuweza kugeuza dunia izunguke atakavyo...Only Allah S.W.T ndiyo muweza wa yote ...
KaribuUzi mzuri kweli kweli alafu tangu 2014 sijawahi kuuona
Karibu sanammh, changamoto
Hi!,wanajamvi. Swali hilo juu huwa ni moja ya maswali magumu ambayo wengi huwa wanabaki njia panda,hasa linapokuja swala la kufafanua,,IWEJE TUPATE KITU PASIPO KITU?(sina uhakika kama ni tafsiri sahihi),yaan how can we get something from nothing?,
Watu wengi hasa wenzetu WANAOAMINI katika dini na MUNGU/MIUNGU huwa hawatuelewi kabisa kuhusu hili.
Nitajaribu leo kufafanua kwa kina(kadri nijuavyo mimi) kwa faida ya wengi,kuhusu,KUAPATA KITU PASIPO KITU.(sina uhakika kama ni tafsiri sahihi). Karibuni....
Katika nyanja ya Evolution,ina maanisha ni jinsi gani unaweza kupata Immense complexity and diversity and beuty and elegance of life,na zaidi ya hapo,inaonesha ni jinsi gani unaweza kupata Powerful Illusion of design ambayo uhai unaonesha,ambayo ninaweza sema sio kutoka katika HAKUNA(nothing),(not quiet from nothing)ila kutoka katika Extreme Simplicity.
Kabla ya Darwin kufanya utafiti uliopelekea kila kitu kuwa wazi,ilikuwa ni vigumu sana kuamini/kueleza jinsi gani unapata/kuna Vitu kama Ubongo,macho,miguu,mabawa ya ndege,n.k.Ilikuwa n ngumu sana kujua vipi unaweza kupata vitu vilivyo vizur machoni na vyenye mpangilio maalumu vinavoonekana kama vimepangwa(designed).
Darwin alitoa confidence na kuonesha kuwa kinachoonekana ni ugumu wa ufahamu wa kupata kitu pasipo kitu,alisove na waliofuata pia walikuw wakiendeleza kazi yake tangu kipindi kile.
@@@@But what is NOTHING,and how can we have something from Nothing...
Ni kwel kabisa,kwamba The Universal came from nothing due to what we know about the Universal up to this time,here is the proof of my above Arguments.
""Nothing is UNSTABLE,that empty space is UNSTABLE,Laws of mechanics combined with GRAVITY will tell you that,if you have Empty space there and you wait for the long enough,particles will be CREATED,and if you wait more enough,empty space will allways produce a UNIVERSAL full og MATTERS,
So NOTHING is unstable (sijui kama naeleweka hapa).
The case here is NOTHING (Empty space),creating something (Universal /Earth).
But ist the empty space nnothing(wengi mtasema no ),Lakini ngoja nikuoneshe pia kwamba EMPTY SPACE nayo inaweza ikawa product ya nothing,na hapo nadhan hakuta kuwa na swali tena.
Hapa nakuja katika laws za kifizikia,ama NATURAL FUNDAMENTAL LAWZ,
Ambzo zinaelezea kiundani jinsi ambavo kanuni na misingi ya kuwepo hewa tupu,space na mazingira ya utokeaji wa kila kitu kinachohitajika kufanyika kwa kitu husika(sina haja ya kuchima sna ntapoteza maana ya uzi,waweza uliza katika mjadala na nitajibu.),@@@@
Nothing niimanishayo katika upande wa Evolution sio,Completely nothing,lakini ni kutoka katika resonable complicated beginning ambayo ilikuwa ni first self replication molecule(maana completely nothing imesha tengenza UNIVERSAL na sasa ni evolution .).
Lakini tukumbuke kwamba Natural selection haiwezi kwenda kama hakuna genetics.,na hilo ndo tatizo ambalo halijasoviwa.Namaanisha hadi sasa hakuna anayejua Genetics zilivoanza.Lakini tunajua kwamba Kanuni za chemistry lazima zianzishe self replicating molecules,Kisha EVOLUTION inatake place.
Na kuanzia hapo sasa,aina zote za diversity na viumbe kama mimi na wewe ndo tukawa into existence,lakini haya yote lazima yaanze na GENETICS,hapo mapungufu ya chemistry yanaonekana,lakini kabla hatujailaumu chemistry kwa kukosa ufumbuzi wa genetics inabidi tuanze na physics !
Uhai katika dunia ulianza miaka 3.5bilion ilopita,katika kipindi cha Cambrian explosion.
Katika mika 4.5bilioni ilopita, ambayo ni kadirio la umri wa dunia, hakukua na bacteria.So katika miaka 3.5bilion ilopita uhai ukaanza taratibu katika dunia kutokana na Nitrogen ,Helium Hydrogen pamoja na hewa nyingine ndogo ambazo zilitokea katika spaces/sky baada ya Explosion.
Baadhi ya watu husema,We don't understand the origin of life on Earth ,so GO,D must done it!(kamba hatuelewi mwanzo wa uhai katika Dunia,kwa hiyo lazima mungu ndo alihusika).SI KWEL,.....
Ninachojua mimi,mapungufu yaliyopo katika Sayansi hayamuumbi Mungu,wala hayasababishi Awepo .,Sayansi inakuwa kila kukicha.Kama ni hivo basi atakuwa ni MUNGU wa mapungufu,(GOD OF GAPS),ambaye anaonekana tu katika few remaining Gaps in our understandings.Nikukumbushe pia kabla ya Darwin na wengine,uhai na uwepo wetu,Miili na jinsi ifanyavyo kaz ,ilikuwa inaonekana kama miracles.Hakuna aliyeweza kusema nini ni nn na kila kitu ilikuw akaz ya mungu.
Amini nakuambia hata mwaka 300AD,watu walikuwa wakiamini vitu kama Tsunami,Floods,Volcanic eruptions,Earthquake n.k ilikuwa kaz ya MUNGU,kama adhabu.Lakini leo vinaelezeka na kutabiriwa na mamlaka za hali ya Hewa na onyo linatolewa . Nachotaka kusema hapa ni kamba sayansi ,,inakuwa,, na itafumbua kila kitu.
,Kwangu mimi huwa naona kama n dalili za udhaifu ninaposikia kauli mfano,,""I DONT UNDERSTAND IT,THEREFORE GOD DID IT"" this is the kind of lazy argument.It doesn't help anything,but it leaves opens, since it doesn't explain even where God came from.
Kitu kikubwa alichofanya Darwin ni kuonesha ama kujuza ni jinsi gani unaweza kupata God like things/complex things (like humani Brain) kutoka katika omni nothing.
Ngoja niongelee kidogo CONCEPT YA EVOLUTION,maana najua ntaulizwa mbona manyani hayabadiliki siku hiz..
Watu wengi wanadhani kwamba EVOLUTION,inaonglea/inahusu manyani/masokwe kumzaa ama kugeuka binadam,!,ni hiv,Miaka kama milioni 25,ilopita Human being(watu) walikuwa""Common Ancestor "",NA MONKEYS ,CHIMPANZEE ,GORILLAZ n.k.Hili ndo jambo gumu watu kuelewa,Kwa kiswahili ni kwamba ,HATUKUWA MANYANI WALA MASOKWE BALI TULISHARE BAADHI YA TABIA ,VITU,UMBO,MWONEKANO n.k.,huwa napata shida sana kuelezea jambo hili.So 25,yearz ago our ancestors might have look like monkey,gorillaz,or chimpanzees.Narudia,tena neno MIGHT HAVE LOOK LIKE,NOT THEY WERE MONKEYS !,hata hivo uchunguz unaonesha tuko na ufanano wa karibu zaidi na CHIMPANZEE kuliko chimpanzee walivo na ufanano na gorillaz ama monkeys.
Je,evolution inaendelea?,hili swali ningelipata bila shaka,jibu ni NDIO,...
Inaendelea lakini its too slow for us to see,kumbuka tunaishi kwa miongo michache na pia evolution its too slow to be noted easy .We can see it in Bacteria only too visibly ,because thats y,ant-biological resistance is such a big problem and more immensely important medical problem.Take this ,if the doctors at the time of invention of penicillin which Darwin wishes about them,they would been able to predict that resistance to ant-biotic.refers the book known as,, THE SCIENCE OF DARWINIAN,, MEDICINE .another vivid example of the continuation of Evolution is just look ok history,try to observe the physical appearance of the people live in 14c,15c or even 7century,you may not a lot of differences comparing to us.
Presence of INTELLIGENT DESIGNER ?,
This logic is too low and poor!,
I an prove that there is NO Intelligent designer
1,There is no EVIDENCES ON THAT ARGUMENT
2.BY HIS RESPONSIBILITY.
This person God of tje JUDAISM ,CHRISTIANS,ISLAMS has nothing to do with the God who cares about us.Na katika uwanja wa Sayansi ,tukisema kama mapungufu yaliyopo yahusiane na mungu,hatuta muhusisha mungu nafsi!,,The same God created lawz of physics ?. Na kama katika Sayansi kukihitajika kuwa na Mungu,basi atakuwa DIASTIC GOD,And he is very very different from the Gods of religion ,na huyu ndiye aina ya kitu tunatumia muda kumuelezea.
Intelligence inakuja baada ya muda mwingi baada ya EVOLUTION,starting from nothing as we know and then chemistry takes over,Biology,.
Kwa hiyo katika dunia kunaweza kuwa na Gods like humani being.Nakubali kwamba kunaweza kuwa na life forms than us,ambao tukikutana tutabidi tuwapigie magoti LAKINI WATABAKI KUWA ZAO LA MUENDELEZO(the product of the process ),of evolution devlpmt.they will not be GOD,S In the sense that having created the laws of physics,or tje universal or life!.
Let me end up here,karibun...
ukisema useme kwa fact unapotaja hustoria utaje kwa ukweli wake Mohamed unasema pangoni alikuwa na Khadija kwa histori ipi ?Hg
Ntakujibu usjali, japo huwa najibu kila mara swali hili.,kuwa kuanza nakuwekea hapa moja ya majibu yangu kwa swali lililo fanana na lako kisha waweza uliza wapi hujaelewa, tuko pamoja,haya tiririka yayo hapa,
Ok nakujibu kwa ufupi,
Katika historia,inaonesha watu wa ukanda wa mashariki ya kati na maeneo kama misri,Jordan,kwenda mpaka Ugiriki,Walikuwa watu wa kwanza kuvumbua maandishi na mambo ya kalenda na hata hesabu.
walikuwa na utaalam wa kusoma nyota na unajimu hata vipindi na majira mbalimbali pia.Waliweza pia kutunza kumbukumbu kwa maandishi ambayo pia wao ndo waliyavumbua.Hii ilikuw miaka mingi iliyopita.
kwa hiyo matukio na mambo mbalimbali yaliyofanyika katika jamii zao yaliweza kuandikwa na kuwekwa kama kumbukumbu.masimulizi kutoka kizazi hadi kizazi pia.
Kutokana na kuwepo kwa kumbukumbu sahihi ya maisha ya mababu zao,taifa la izrael linakuwa na kurithi misingi ama maonyo ama mafundisho ya kizazi kilichopita.
Izrael ilikaa utumwani misri miaka kama mia 400,lakini kwa sababu ya kutunzavkumbukumbu,walijua kwamba sio asili ya pale misri.Na katika harakati za kujikomboa na UTUMWA,ndipo watu mbalimbali maarufu na wanamapinduz kama akina MUSA,JOSHUA,ARON na wengine wanawakumbusha waizrael kwamba asili yao sio pale na inabidi warudi nchi ya mababu zao.Katika hili zinatungwa falsafa nyingi kama ilivo kwa marevolutionarist wengine waliopita.,Kwa nchi YA AHADI,NCHI YA MABABU ZETU,NCHI YA ARDHI TAKATIFU,INAYOTIRIRIKA ASALI NA MAZIWA,TAIFA TEULE n.k.Yaan ni kama akina kinjekitile kwamba motto ni ,,,MAJI,,,Ama BACK TO AFRICA MOVEMENT.(hapa watanielewa wale walio na free ideas tu,wengine mtaona nakufuru).
Baada ya muda mrefu musa anafanikiwa kuwarudisha wana wa Izrael katika ardhi ya mababu zao japo yeye hakufika kuyokana na umauti ulomfika wakiwa njiani.,Baada ya wao kufika mambo yanaendelea kamabkawaida lakini kumbuka taifa hili limejengwa kayikabmisingi ya Imani ya kuambiwa nabkusimuliwa.
Idea ya mungu MMOJA inajitokeza pia baada ya kuonekana watu wanatengeneza vinyago nakuviabudu.Viongozi wakaona tuseme kuna mungu mmojabambaye haonekani ili kusiwe na ULINGANIFU KATIKA MIUNGU,MAANA KULIKUWA NA MIUNGU WA SHABA,DHAHABU,ALMASI n.k,na kila mmoja alikuwa anaonekana muhimu hasa kutokana na jinsi alivotengenezwa.So ile kusema kuna mungu. mmoja ilikuwa ni Defensive mechanism ili kuwafanya watu waogope kwa kuwa mungu haonekani.
Katika kuendeleza Imani yao,walizaliwa watu mbalimbali waliokuta jamii ya Izrael inaendelea na utamadun wa kuabudu na kiimani,na kutokama na maandiko ya kiimani na kihistoria na mfumo wa maisha kwa ujumla,mtoto yoyote alitakiwa kujua mafundisho haya na ndicho kilikuwa kinafundishwa mashulen na katika masinagogi.,
Ahadi ya kuzaliwa mkomboz ni inabaki kuwa fumbo tangu enzi za nabii Elias ,Mkomboz anatabiliw akutokna na mateso ya waizrael misri na utumwani kwa ujumla.Laini mkombozi YESU(kama n kwel),anakuja kuzaliwa tayar wakiwa kwao na anazaliwa katika hali wasiyoitarajia.Yesu akasema katoka kwa mungu wakamuua.
kwa hiyo hapa point ni kwamba mitume na manabii walitoka Mashatiki yabkati kutokana na kuw ana kumbukumbu za ahadi walizojiwekewa wenyewe kujifariji kutokana na maisha magumu. na ile kutawaliwa,so kila mtu akawa anakuja na falsafa yake.
Kutokana na kumbukumbu pia Anazaliwa Mohamed ambaye nae anadai ametumwa na Allah kuja kueneza habar njema.Hii pia ni kutokana na historia kwamba wao kama wao(waarabu) ambao kumbukumb zao zinaonesha nivkizazi cha Ismael ama labda ESAU nao wanajikakamua baada ya miaka 600 ya kufa yesu.Mwaka 632,AD,anazaliwa Mohamed kisha baadae anasema Ametokewa na Allah wakati akiwa bonden(pango) na mkewe.Basi anaandika misingi ya maisha nabkupata wafuasi ambao ndo waislam wa leo.Lakini hii yote ni kutaka kuonesha kwamba na sisi tunaweza,ama kwa nn wao tu ama ccje?,ama kutimiza historia amavkujipa moyo maana zamani hakukuwa na kingine cha muhimu sana tofauti na Mambo ya imani na kusoma sheria za vitabu vya mababu kama musa,Ibrahim n.k.Na waliweza kufanikiwa kutokana na ujinga wa watu wa enzi hizo waliokubali ya kuambiwa"",Eti mungu kanitokea nikiwa pangoni kanambia mimi ndo ameniteua niwe mtume wake"",afu pangoni aliwa yeye na hadija mkewe,ushahidi uko wapi??.miaka hii pia kuna wanao sema hayo lakini wanapuuzwa kwa sabau si zama z aujinga na upumbavu hiz.Watu watataka evidences zilizoshiba.Ulishawahi kujiuliza kwa nn mungu hawashukii watu tena siku hizi?.ulishawahi kujiuliz akwa nn Manabii na mitume hawaji tena?.tafakar
Turudi katika historia,Marekani imetawaliwa karibu miaka 400,sawa na Israel,lakini unajua kwa nn marekan hawakuwa na wakombozi ama mitume ama manabii?.sababu ni hizi..
Marekani haikuwa ,ama haikutunza kumbukumbu za mababu zao vizazi vingi vilivopita kama izrael.Marekani ilikuwa tangu mwanzo mchanganyiko wa makabila na mataifa mbalimbali,kwa hiyo hakukuwa na itambaduni wa jumla katika jammii,mtakumbuka red Indians,Marekani hakukuvumbuliwa maandishi mapema kama ilivokuwa Misri,Izrael na ukanda ule kwenda mpaka Greece.Hakukuw ana cctim yabkuamini amavkuabudu kma mashariki ya kati.Hizo ni baadhi tu ya sababu japo zipo kibao.
hakika nakwambia Ikiwa akina SHAKHA ZULU,V.I LENIN,MAHTIMA GHANDI,ISACC NEWTON,ALBERT STEIN na wengine kma hao,wangesema wametoka kwa mungu ama yale wayafanyayo ni kaz ya MUNGU leo tungekuwa na newtonism,steinism n.k.na iwapo wapigania uhuru wengine sehem zingine wangeandikwa kwenye vitabu enzi hizo bas hata akina musa tusingewasikia sana kama leo hii .naona niishie hapo kwa sasa kama kuna swali uliza ..