Some mother tuckers, don't deserve another chance

Some mother tuckers, don't deserve another chance

Kuna watu hawastahili kupewa nafasi nyingine.
Wanastahili kukaa na kutafakari kile walichokifanya.
Waache msamaha wao uoze bila kukubaliwa.

Hisia za hatia zitawafuata mpaka kaburini.
Kwa sababu kuna mambo mengine yana maumivu makubwa kiasi kwamba hata kifo hakiwezi kuyazika.
 
Back
Top Bottom