masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
karucee the hardest thing in life is to do hizo hints hapo kama ukipenda,
Exactly.
Halafu leo sijakuona ukifanya maombi!
Mapenzi we yaache tu,hayana formula.
Ni kama unabeba mzigo wa mavi ila hujui kama unaubeba.
kuna mda unakutana na huyu ukasema why nilipoteza mda kwa yule kumbe uliye naye ndo bure kabisa.
Mapenzi yakikuwasha mpaka utaona ndugu na marafiki wa karibu ni wanafki hakutakii mema.
Yakikugeuka lazima uonekane mwehu tu
Na hapo ndio ugumu ulipo,hasa ukikutana na pretender!!Inabidi ujiulize, je ananipenda pia?
Kama hakupendi send the dumb ---- to hell. lol
Inabidi ujiulize, je ananipenda pia?
Kama hakupendi send the dumb ---- to hell. lol
I'm not criticizin' bt Wote wanaosupport hii post their hearts have been broken evn once and this comforts them.
ahsante kwa kuwafariji broken hearts lyk u
Hii kali. So anakuwa na wewe kwa ajili gani?
Why use so much energy wakati angeenda mbele ya safari?
Sipati picha unavyodeka.🙂
Nipo home njoo. I have a couple of beers for you.