Huyu lucifer huyu nahisi atamtamani na adrienne. Ila uwezekano wa doreen kuwa na mimba ya james ni mkubwa
Money Penny tafadhali come back soonhahaha, Lucifer ni gentlemen Numbisa sio kitoto
asante UrbanGentleman mimi nachagua petroli tu niwekee full tank, asante 🙂
lazalaza utashangaa na roho yako
Dah hii story nilijua itakuwa imeisha, kumbe ndo kwanza inaanza.
Ngoja niipe wiki tena, BTW big up Money Penny, its one of the best stories.
hahahaaa eti tangu lini Ngiri kawa Lucifer?, Doreen bwana.leo ngiri kawa mfalme wako, hii dunia jamani mmh!
ITAENDELEA SAA 4 USIKU!
hahaaa hapana, ila wao ndo watanitafuta waniombe msamaha.