Some lemonade for you madame!

Some lemonade for you madame!

Kwa hadithi nzuri kama hizi na taarifa mbalimbali tunazopashana kutoka sehemu mbalimbali duniani zenye kuelimisha,kuburudisha n.k alafu wanaleta fitina mchana kweupe,kukosolewa ndio nguzo ya mafanikio itokanayo kwa kujirekebisha.natoa rai kuwa mtukufu aingilie kati hili suala kama lile la Dangote,ahh nimekumbuka hv mkuu umefanya tathmini ya usanii wa Dangote?naona ya chief Magungo yanarudi kwa njia nyingine,hyo inaitwa canibalism mh mtukufu naomba uunde chombo cha kusimamia bei za vifaa vya ujenzi la sivyo miaka michache ijayo hvyo viwanda vingine vitapotea na bei ya cement itapanda maradufu sana ili alhaji afidie garama zake.
 
Adrienne akamwambia Shawn kuwa wanasafiri na marafiki zake kwenda kijijini kusalimia wazazi wa Doreen, Shawn akawauliza mnaendaje, Adrienne akamjibu tunaenda na bus za kawaida, Mmasai Shawn kupenda masifa akamwomba awapeleke na gari, Adrienne akakataa, mmasai aka-insist awapeleke, Adrienne akamwambia lakini safari ni ndefu utaweza kweli kuendesha gari, Shawn anajigamba mimi tena, hapa ni full mass nondo wakacheka, Adrienne akamjibu ngoja nitaongea na Chanel naona ana gari jipya kama atakubali twende nalo,



Huku bondeni malavi davi kwa sana, George hataki kumwachia Carrie and vice versa utadhani bolt na nut, wamegandana kama bigjii na meza, Carrie ameshaonyeshwa mali zote za George za Africa kusini, kesharithishwa kila mali za George, na Carrie akamwelezea kuhusu assets zake za Tanzania, George akamtania kumbe na mimi mkali ee? Akawa anajitamba. George akamwelekeza ku invest katika hisa, akamwambia kuna hisa zinauzwa Tanzania nataka kwenda kuzinunua, unaonaje ukiuza bar zako nakampuni ya usafi ukaziweka baadhi ya pesa kwenye hisa na ukanunua nyumba ukapangisha? Maana umesema kuendesha bar inakusumbua na watu wa usafi sio yakinifu katika kazi, we mtoto mzuri hautakiwi kukaa kwenye jua tena na huu mri wako, unatakiwa uwe na akaunt swizz bank tayari, invest big achana na akili ndogo, Carrie akawa mdogo anasikiliza darasa, mmakua ana nondo za investment kama nini. Carrie akamwambia sasa tunafanyaje na harusi? Inafanyika Tanzania au hapa? Maana hata sijawaambia wazazi wangu na lazima nikupeleke kijijini kwetu wazazi wakakuone na dada zangu, George akamwambia wazazi wangu watafurahi kuja Tanzania wamekaa huku zaidi ya miaka 20, na nimeshawanunualia nyumba Tanzania mikocheni, harusi itabidi ifanyike Tanzania lakini mwakani, kwa sasa tumeshachelewa kujipanga, ila Christmass itabidi tule wote huku na wazazi wakufahamu mkwe wao, wakapanga na kupangua weee na mechi juu.



Doreen amekaa mwenyewe nyumbani upweke umemjaa, imeshapita wiki hajamsikia James, akitaka kumpigia roho inasita, akakumbuka zile mil 3 aliomuomba, akaona akipiga kumkumbushia mil 3 ataonekana low class nay eye hakutaka, akampigia Adrienne kumwomba amsaidie mil 3, Adrienne akamwambia alafu Shawn anataka kuja kwenye safari yetu, ame offer ku drive mpaka singida ila na mimi nitamsaidia ongea na bibie Chanel twende na gari yake, Doreen akamwuliza Shawn yupi tena? Adrienne akamwelezea, Doreen akacheka sana, shogangu una kismati, juzi tu hata wiki 2 hazijapita ulikuwa kama mjane unalia lia leo unacheka, mmeshatiana nini!?

Adrienne: bwana tutaongea tukionana mepnzi kwahiyo keshoi kutwa safari saa ngapi sasa?

Doreen: alfajiri saa 12 na uache uvivu uamke mapema huyo bwana akuamshe mapema ivo, kule ni mbali asee. Mimi nitakuwa na chanel hapa kwangu maana kesharudisha nyumba anatafuta nyumba nyingine, ila amelala sasa, anajiandaa kwenda kazini mchana ndio siku ya mwisho kwake anachukua likizo kesho akiamka nitamwambia ujumbe wako. Simu ikakatwa



Chanel: nikiamka utaniambia nini? Akamwuliza Doreen

Doreen: akamwelezea yote ambayo Adrienne alimwambia, unajua Adrienne keshapata bwana wa kimasai anaitwa Shawn, na ndio amejitolea kutuendesha na gari yako mpaka singida na kurudi

Chanel: akaweka mikono kichwani, che! Si juzi tu alikuwa analia? Kweli huyu msukuma ana nyota kali! Am happy for her, gari ipo kwa Carrie ila ameniachia funguo ya nyumba yake, itabidi nikachukue funguo wa gari nyumbani kwa Carrie nimpelekee Adrienne nikamwone na huyo shemeji wa wiki 1. I hope hatomzingua tena Adrienne

Doreen: sasa mami inakuwaje kuhusu issue yako mpendwa wangu? Unataka kuwa spinster kama mimi?

Chanel: bwana sitaki kuongelea hili swala la hao mabwana, nimewarusha ndege wote juu atakayerudi atakuwa wa kwangu Mungu kanipangia. Mara simu ya Chanel ikaita, ni Pedeshee, akaipokea akamweka loud speaker, nambie Marion, naona leo umenikumbuka

Pedeshee: baby sijalala wiki nzima nakuwaza wewe tu, sina raha kabisa, yani nakupend…. Ile hajamalizia sentensi Chanel kusikia neon nakupe… akamkatia simu

Doreen: wewe vepe mbona umemmkatia simu mwenzio? Una kichaa au?

Chanel: yani nikilisikia neon Nakupenda kwa mara nyingine tena nahisi ningetapika, what is Love?! am beginning to resent LOVE!



Doreen: mwenzetu una trust issues ikija kwenye swala la mapenzi sio? Haya mapenzi yamekufanya nini? Chanel akamwelezea wapi waliagana na neon Love / Nakupenda. Na hakutaka kuonana nalo tena maana lilimtesa vibaya mno, yeye yupo radhi ale raha ila asiambiwe nakupenda.



Doreen akajaribu kuongea nae na kumwelewesha kuhusu mapenzi na upendo na yafananayo, akamwambia sasa ulienda kumwomba Mungu akupe gogo au chuma? Utaingiaje kwenye ndoa kama haupendwi, kwani wewe ni mtumwa au changudoa?, Chanel darasa likamkolea,kwahiyo ukiambiwa nakupenda unajibuje mami? Chanel akacheka, eti najibu nakupenda pia, uuuuwi huku anacheka, Doreen akamwambia unaona sasa? Kumbe sio mbaya ee si unaona mpaka ukismile unapendeza usoni unang’aa, sasa hawa mabwana wawili nani anakupenda zaidi?

Kwakweli Pedeshee naona ananipenda kikwelii, ila sasa sijui ukweli kuhusu biashara zake, asije akawa jambazi maana zote anazifanyia nje ya Tanzania, sasa sijui kama ni halali, ila Mark sijui kuhusu upendo wake, labda nimtafute baby mama mke wake niongee nae nijue kwanini wameachana, maana muda mwingi yupo controlling, kila kitu nifanye kwakufuatia anachotaka yeye, najiona kama sina uhuru kwake, ila kwa Marion, akawa anasmile, Doreen akawa anamwangalia huku ana smile, Yule mlugulu ni noma hata hanisumbui, nakuwa myself nikiwa nae, naweza hata kujamba na nisiogope ila kwa Mark ah yule mkali hata simwelewi, naona upendo zaidi kwa Mario lakini sio Mark, ila Marion mfuuupi mpaka naona aibu.

Doreen: haya mama nadhani umeshajijibu na utajua cha kufanya, mimi nataka uwe happy umelala wiki 2 unalia huku ndani usiku kucha nakusikia, nikija kukugongea unanyamaza, mtafute Mario wako akupe dudu kabla hatujaenda Singida usije ukaenda kubaka wanyama na wana kijiji kule buree! Ila usije ukawa unampenda Marioo kwa pesa zake buree maana hizo uwa zipo na zinaweza kukata baadae, am just saying, haya mapenzi ya pesa ndio siyawezi asee, lakini hauwezi uzuia moyo, umpende akiwa nazo na asipokuwa nazo, alafu zijue assets zake zipo vipi msije mkatuletea aibu hapa kama ni punda ujing’atue mapemaa maana hilo litakuwa balaa, kuhusu ufupi sasa hapo sijui waswahili wanasema ukipenda boga penda na maua yake..

Chanel: eh we mama una mashauri mengi James umembwaga wapi labda? Sijamwona tangu nije hapa!

Doreen: huyu nae anadhani anafanana na huyo mpare wako, controlling na mimi siwezi kabisa mwanaume wa ivyo, nilimpa uhuru wangu akanicontrol kama mtumwa, sasa nikaamua kumkazia akanuna, ndio kaondoka, afu nilimwomba mil 3 kumtest mpaka leo kimya sijui napeleka nini kwa wazee hii aibu. Aya mami jiandae uende ofisini ukaombe ruhusa uonane na huyo Mrs Shawn na Mrs Mark mimi nipo tu ndani leo hata sitoki nitakuwa napaki hapa.



Chanel akaenda ofisini akaomba likizo ya wiki 2, akaenda nyumbani kwa Carrie akachukua funguo wa gari yake akampelekea Adrienne akamkuta yupo na Shawn wanakula hotelini, Adrienne akiwa na furaha sana, akashangaa huyu Shawn mchawi nini, ndani ya wiki mbili rafkietu anacheka, kweli huu ni mwujiza, akawasogelea we Adrienne nimekupigia wala haupokei kumbe unatongozwa kimwili na huyu bwashee, anaitwa?

Adrienne: karibu rafkiangu huku anamkumbatia, karibu ukae, Chanel anashangaa Adrienne imekuwaje?! Akatambulishwa Shawn and vice versa!

Chanel: nimefurahi kukufahamu Shawn, karibu kwenye ukoo wetu wa marafiki wa 4, sasa Adrienne mimi sion mkaaji sana, nimekuletea funguo wa gari tunasafiri keshokutwa saa 12 alfajiri, mkachukue gari nyumbani kwa Carrie, maana mimi mweupee sijui chochote kuhusu magari, I hope kila kitu kitakuwa in order though! Akambusu Adrienne kichwani akamwambia am happy for you Chicca! Bye Shawn, nimefurahi kukuona.

Bonbdeni mapenzi yakawa mapenzi, Carrie kaenda kutambulishwa kwa wazazi kabla ya Christmass kufika maana sio kwa mauno yale aliompa George. Wazai wakafurahi kuletewa mkwe wa kitanzania, ndio ilikuwa ndoto yao na maombi yao, wakampenda Carrie alivyo, anavyoongea, Carrie akawaletea na zawadi za Kitanzania, wazazi wakachizika, jamani mkwe anaupendo, mtoaji mzuri, kweli mwanetu yupo pazuri.



James akaonekana yupo buzy na kuandaa mazingira ya Lucifer January, moyoni anamkumbuka Doreen lakini wapi, anajikaza kiume anaumia, kila akitaka kumpigia simu amem-miss anashindwa, sio kwa madharau yale alionionyesha, nimehangaika kumletea chakula anajua natoa wapi hela, sio kwa madharau yale, anaweka simu pembeni anaendelea na kazi huku anakula mziki. Baadae akaona simu inaita, namba ngeni, akapokea, akasikia sauti ya mwanamke akamwuliza wewe ni nani? Akajibu mimi Chanel, nahitaji kukuona tafadhali, uko wapi? James akamjibu nipo ofisini, kama unaweza kuja njoo akamuelekeza.



Chanel akatua kwenye mjengo anaofanyia kazi James, pazuuuri kweli anapashangaa, akamwona James anamsubiri reception, wakasalimiana, Chanel hakumpendaga James kwasababu ya majibu yake ya kishenzi kuhusu Adrienne lakini akajikaza ivyo ivyo akaenda kuongea nae, James alaikuwa anampenda sana Chanel, anamwonaga mjanja bingwa, hajazubaa, sio kwa kuwa na wanaume zaidi ya mmoja alafu hawajuani wala nini, akamkaribisha ofisini kwake

Chanel: ofisi yako nzuri jamani utadhania ulaya

James: akawa anacheka asante, karibu Chanel

Chanel: shem umepotea sana, sikuoni nyumbani au umepata nyumba ndogo? Rudi bwana nyumbani

James: aka, rafiki yako hajisomi, nimeamua kumuacha kwanza aendelee kivyake

Chanel: jamani shemeji, rafiki yangu hana raha amekumiss, anakupenda si unajua wewe ndio ulikuwa 1st man wake, jamani mbona unamtesa ivyo rafiki yangu? Au unataka afe? Akamdanganya usiku hata halali analia tu, wiki ya pili, nikienda kumgongea mlango hafungui ananyamaza kimya, jamani shem si mrudiane tu lakini au unataka rafiki yangu awe kichaa? Yule ameshakuwa ndugu yangu kabisaa sitaki kumpoteza

James: si ameenda kwao singida sijui mtwara

Chanel: ai James jamani yani hata kujua anaenda wapi haujui?! Haya bwana mimi ngoja niende, tunaondoka kwenda singida kesho kutwa, mtafute umuage, uje kabisa kulala jamani tunakupenda karibu sana, huku anaondoka

James: asante shemeji nitafikiria karibu sana na safari njema.

Safaree na Stan wameshafika Dubai, Kimaro kawapokea, karibuni sana vijana, karibuni hii ndio palace yangu, nimeinunua wiki 2 zilizopita, akina Safaree wanapashangaa pazuuuri kama jumba la mfalme, kweli kazi inalipa, wakaonyeshwa pa kulala kila mtu na pake, baadae wakaitwa kula chakula, usiku wakatoka kwenda club, kila mmoja akaandaliwa demu wa kutanua nae, Safaree anafurahi maisha ndio haya, Stan anaona kama muujiza, kha pazuri Dubai kweli hii ndio middle east, pazuri sijui ulaya itakuwaje, vijana wakala bata kama hamna kesho, kwenye strip clubs wanamwaga hela kama Jay Z, Safaree amechizika mademu wa kila aina, wanamwaga mahela kama kwenye miziki ya mamtoni, wanakunywa ma wine expensive, Kimaro anawaangalia anacheka, kuleni vijana mnastahili mmezifanyia kazi kwa shida!



Safari ikawadia ya kwenda kijijini singida, wasafiri wamejiandaa wameshapendeza, Shawn kaja kwa Doreen kuwapitia akiwa na Adrienne, wanapendaana wenyewe, Chanel akamwuliza ushalala na huyu bwana au bado uko bikira? Adrienne akasmile, labda mechi ya kwanza itakuwa kijijini porini. Wakawa wanapaki mizigo kwenye gari Shawn anawasaidia, wakamaliza wanataka kutoka, mara wanamwona James huyo anaingia na sanduku, akawaambia na mimi mnataka kuniacha pia? Hamjui kuwa safari haitanoga bila mimi, Doreen akafurahi kumwona akamkimbilia akamkumbatia.

ITAENDELEA SAA LEO 4 NANUSU USIKU
 
James jamani umekuja, huku anambusu mdomoni, karibu, umejuaje kama naondoka leo? Samahani sana kwa kukununia, karibu safarini na kijijini kwetu Singida! Huku Doreen anamsaidia James sanduku, kumbe zito kidogo aanguke chuni James akamsaidia, wakalipandisha kwenye gari, Doreen anamwuliza umebeba mahari nini mbona sanduku gumu kubeba hivyo, wenzake wakawa wanacheka. Chanel akamwona shem wake James akamtania, shemeji nakuona mambo yako sio ya mchezo mchezo, karibu safarini, wakasalimiana pale, na Adrienne akamsalimia na kumtambulisha Shawn. James kumwona Shawn akamwangalia sana, akamwuliza ivi nimeshawahi kukuona wapi kaka, maana umri wangu sasa unaenda huenda nakuchanganya na mtu nimemwona Mexico, Shawn akamwambia hapana labda umenichanganya mimi ni wa hapa hapa dar, basi wakasalimiana wakaingia kwenye gari dereva Shawn amejipanga, hatolala njiani, safari ya wanaume wa 2 wanawake wa 3, Chanel aka wish pedeshee angekuwepo lakini ndio ivyo tena.



Wakafika mbali kidogo karibu na dodoma, wamechoka wengine wamelala, mara dereva nae hana support ya maongezi akaanza kusinzia kushituka anataka kugonga mbuzi mbele, Chanel akamshtua we Shawn unagongaa, Shawn kapiga breki watu wote waliolala wakaamka waaa, kama wanarudisha namba Mbinguni! Kuna nini, eh jamani mmegonga? Anauliza James, hapana bwana nimemkwepa huyu mbuzi hapa poleni sana akajibu Shawn, ah bwana Shawn kama umechoka nikusaidie bwana akamwuliza James, shawn hapana ngoja niende mpaka Dodoma mjini nitakuachia, James akajitahidi kumwomba amsaidie akakubali, akampa aendeshe mpaka singida mjini afu asubuhi ataendesha mwenyewe, kwahiyo James na Doreen wakahamia mbele na Shawn na Adrienne wakarudi seat ya abiria, mara wanaangaliana huku wanacheka mara wanashikana mikono kama mapenzi ya kihindi, Chanel anawapiga kijicho anawatamania anakumbukia mapenzi yake na vijana wake wawili, anaumia kishingo upande afanyaje sasa! Wakafika mbele ya safari Chanel akaanza kuimba, wakaimba wote kwa pamoja, mwingine Doreen sauti ya kwanza, Chanel sauti ya pili pamoja na Adrienne, James sauti ya Nne, Shawn akawa anaibia ya 3 lakini ni ya nne, mara nyimbo za dini, mara nyimbo za kidunia, mara za kimila, kila mtu na kabila yake, safari ikanoga sana mara hao washafika singida mjini, ikabidi watafute hoteli walale usiku huo maana ishakuwa giza sana na hawawezi kwenda kijijini usiku hawaruhusiwi na serikali kusafiri usiku.



Trip ya kwenda Mexico ikawadia, smooth operators wamejipanga wako makini kwenda kumsujudia Lucifer wao, wakafika Mexico, Spanish yenyewe hawajui sana labda cha kusalimia senora senora!, kingereza shida basi tu Kimaro akawa anacheeeka machalii wameingia Macca ya magaidi!

Walipofika state ya Lucifer ni bonge la Mansion kudadeki booooonge la jumbaaa, jumba kuanzia mwenge mpaka Tegeta, hapo wanatembea na gari tu, ulinzi wa kufa mtu, mbonge la entrance na ukiingia kwa Lucifer unaingia uchi, wakafika kuikaribia nyumba wakaambiwa watembee kwa miguu kilometa 5 kuifikia nyumba, kizaa zaa kwa Stan hajazoea ikabidi ajikakamue maana hajui akianguka chini kusema amechoka anaweza akauawa, sikuhiyo hawakuwa wao tu, ni smooth operators woote Dunia nzima walialikwa na Lucifer kula na kunywa na kusheherekea Christmass na mwakampya! Watu wapatao elfu 1 wanaenda kum-hiji Lucifer, yeeeesu na maria Stan akawa anashangaa, mamake kudadeki, boonge la jumba Boss Safaree utadhani tuko kwa Yesu mwenyewe kiruuu, yeleeeuuuuuwi, cha! Wakaingizwa kwenye jumba la kifahari kama movie vile, wakanza kukaguliwa kwa machine kulingana na tattoos ulizopewa, hakuna mtu anamwonea aibu mwenzake, wanaume kwa wanawake wamechanganywa wote pamoja. Wakapewa malazi wakapumzika, jioni ilipofika kila mtu akaletewa chakula chumbani kwake na mwanamke wa kulala nae kwa usiku ule, asubuhi walitakiwa wawahi kuamka sana kikao na Lucifer ni saa 12 kamili asubuhi mpaka saa 7 mchana, mchaka mchaka tu, kwa ajili ya kupanga mikakati ya maendeleo ya biashara yao kwa mwaka 2008.



Huko Bondeni nako kwa wakwe, Carrie akapendwa sana, hasa na Baba mkwe, akamsifia sana kwa mwanae, mwanangu unajua kweli kuchagua, huyu mwanamke kabila gani? Akamjibu mchaga, oh! Safi sana mwanangu wachaga wazuri wanapenda maendeleo hamtakufa masikini hata na nyumba yenu na watoto wenu, umuheshimu sana mkeo na watoto wako, usituletee aibu mimi na mama yako, basi mawaidha kibao pale mzazi akayamwaga kwa jembe lake George, huku jikoni, Mama mkwe na Carrie wanapika, pilau wanatengeneza kachumbari, wanakumbushana ya Tanzania, na miziki, siasa, biashara, makanisa na utamaduni basi full shangwe na mama mkwe. Baadae wakaaga, wanataka kuondoka, mama mkwe kakomaa hapana hamuondoki hapa mpaka siku ya Christmass kupita ndio mtaondoka, wewe Carrie utalala guest room, George utalala na mdogo wako chumbani, hamna kulala wote, Carrie kimoyo moyo anasema eh huyu maza inlaw vepee, hajui mimi nina nyege zangu za kupaisha leo usiku anataka kunianika gizani nitalia na nani usiku?! Wakajaribu kuomba mama mkwe kakomaa, mnataka kwenda kulala hotelini mnapoteza tu hela, sisi tunataka kumfahamu mwke wetu na jinsi anavyo-behave, hatutaki matatizo mbeleni, eh! basi ikabidi wakubali kishingo upande wakijua mechi itapigwa mwaka mpya kama sio mwaka 2008.



Wakatua singida mjini, wakakodi vyumba vitatu vya hotelini, kila couple chumba kimoja, na bibie Chanel chumba chake peke yake, Adrienne akaomba alale na Chanel kwani relationship yao haikuwa kubwa kihasi cha kulala na mwanaume, doh Shawn akachoka sio kwa kupigwa chini kule, Chanel akamwambia we mama nenda kalale na bwana ako usiniletee mie aibu, embu toka usinifuate huku anamfukuza, Adrienne akakomaa bwana niache, eh wakaishia kulala pamoja. Shawn usingizi hauji, maana alijua hapa hapa ndo pakula nyama kumbe anakula baridi la singida!



James na Doreen wakajikumbushia pale walipoachia, sasa hivi Doreen hakuwa na choyo tena maana yupo kwao kabisaa, ikabidi amkaribishe vizuri James mkoani kwao, James akafikiri labda Doreen amesahau na kurudi kwenye ubikira, lakini mama utadhani mizimu ya singida iliamshwa, kiuno speed ya mwisho ya feni, James anapiga kelele, hakuamini, James leo yupo chini ya mamlaka ya Doreen,hana sauti,a akfungwa magoli 3 na hivi alikuwa dereva akachoka kabisa wakalala.



Mamaa Adrienne ugwadu ukamshika, baridi kali anataka joto, atafanyaje na hawajazoeana kihivyo na shawn na dudu ameimiss, akaona isiwe shida nisije nikaumwa ngiri ya kike bure akaondoka kitanda alicholala, akaenda chumba alicholala Shawn, mmasai hakuamini kama Adrienne amekuja chumbani kwake, kufungua mlango ni kama amefungulia jambazi kuja kuiba, hapo hapo karukiwa juu, wamebiringitana mpaka kwenye sakafu, usiku ulikuwa na baridi kali lakini kwao ilikuwa kama wapo dar es salaam kwenye joto, mechi ikaanza, Adrienne yupo juu ya Shawn, mara anamnyonya mboo, mara anamnyonya balls, Shawn anachizika, hajawahi kutana na mzinga kama kule maishani mwake hasa akiwa amependa, mmasai yupo hoi, Adrienne akakumbuka notes zote za kungwi Dar es salaam, darasa la usiku likanoga, mmasai analia kimori mori, yerooo suvai, Adrienne akawasha feni yake, spend no 1, 2 …3 …4…. 5 ndio ilikuwa speed kubwa, mmasai anaongea kimasai, analia kimasai, mikelele usiku watu wote wamelala wanasikika wao tu wanapokezana zamu na akina James, si unajua kijijini kulivyo kimya usiku ukiwadia, sasa ile mikelele waliokuwa wanapiga utadhania ni band ya twanga pepeta imehamia mkoa wa singida! Doreen na Adrienne waliwakomesha, Adrienne akamfunga Shawn magoli 5 bila, wakalala.

Chanel nae akiwa kimya kama mjane, anawasikia tu wenzake wanavyowaungurumisha simba wao, akawa anacheka, hasikii kelele ya Doreen wa Adrienne akasema eh simba wengine bwana, utadhani simba wala damu, wanawake wanawalizaje sasa! Akajifunika shuka lake la hotelini akalala.



Asubuhi wakaamka saa 3 wapo restaurant wanakunywa chai, Chanel akaanza kuwatania, mmelalaje wapendwa, couples wakaangaliana wakacheka, Chanel akawatania, asee itabidi tukiondoka, James na Shawn mkaongeze hela kwa mlizni wa hotel, maana amewasitiri alifikiri watu wanauana jana usiku huku anacheka, wakawa wanaona aibu, James akajibu shem na wewe mchokozi unapenda sana utani, akina Adrienna na Doreen wanaangaliana wanaona aibu wanacheka chini chini. Wakiwa kwenye maongezi Carrie akapiga simu kwa Chanel, hamjambo jamani sijawasikia wapendwa wangu, wakaweka loud speaker, wakawa wanasalimiana kila mtu anaongea na kumshambulia Carrie, we mtoto unazingua, mwingine anasema we mama umeenda kuibwa ushaolewa mwengine anaulizia mbona haujatuaga umekimbia jamani, eh basi carrie akachoka akawaambia jamani simu yangu kabla haijakatika naomba niwape good news, mwenzenu nimekuwa engaged na George, kwahiyo nikirudi tunaoana mjiandae my brides’s maid sawa ee na hao mabwana zenu mtasimamia nao.



Wakashangaa wote kwa pamoja, Engaged?! Carrie akajibu ndio engaged na George hamuwezi hata amini, hapa nilipo nimeshakaa siku 3 kwa wakwe naangaliwa na kuchunguzwa, marafikizake wakashangaa na kumfurahi, wakampa pongezi na hongera, Carrie akawaambia msinitegemee mpaka January 5 Mungu akipenda nitaingia Tz, simu ikakatika.

Saa 6 mchana safari ya kwenda Nkinto Isanzu ikafika wakaondoka kuelekea kijijini kwa wazazi wa Doreen.



ITAENDELEA KESHO MCHANA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom