Some lemonade for you madame!

Some lemonade for you madame!

ina maana huyo lucifer alimtuma James amtongezee yeye hawezi au???? ni mambo yake ya kishetani...itifak ilizingatiwa???
 
samahani shout out ndio nini?? mi mgeni natokea mexico kwa lucifer. Nataka kuja huko wasapu
 
dah kwa kweli naona katika maombi yale ya mkesha aliejibiwa kisawa ni carrie, maana naona awa wengine watu walowapata ni sheeda tupu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom