Some lemonade for you madame!

Ila mademu kama Chanel wapo wengi sana, unaweza kuta hata wake zetu ni akina Chanel wengine in real life....Anyways, we live once
 
Ila mademu kama Chanel wapo wengi sana, unaweza kuta hata wake zetu ni akina Chanel wengine in real life....Anyways, we live once

Hahahaha. Kama haujamkuta bikra tegemea lots of Chanel in her!
 
Carrie Bonge la Baby....pamoja na kuwa Nyakanga ila ajatoka nje ya ndoa
 
Jamani nimekuja kuandika story but nimejikuta addicted to this kituuuu, aiseee ni tamu sanaaa.

Ah mkali! lara 1 asante sana. Na karibu tena. We should meet up. Nina ubuyu mkali naogopa kuuweka JM nitakamatwa. Only you can do that! Au unasemaje?!
 
Kwa wale wanaotaka kunipa Hi, Hongera, kusalimiana, kutoa shout out, tuwasiliane kwa whatsapp tu. +255688411043

Tafadhali namba hiyo ni ya whatsapp tu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…