Some lemonade for you madame!

Some lemonade for you madame!

Heheheheheh daaaah Ila Chanel na dorin daaah unaweza kupizi hivi hivi wakati unasoma mistari

Doreen
214277d3e5ac7833afaa3bdece546901.jpg


Chanel

7e828a51967c7dd6e12c9963941fcc55.jpg
Kha! Sio kwa mishepu hii ni hatarious!
 
UYu mwenzetu yuko paradiso yake si mchezo. Hahaha
We mane peni unatupa wakati mgumu wengine chini migogoro inatokea[emoji14]


Nasoma stori kama nacheki muvi vile..

Am too addicted for this story


May its some lemonade for me Monsieur[emoji3]
 
Ila mademu kama Chanel wapo wengi sana, unaweza kuta hata wake zetu ni akina Chanel wengine in real life....Anyways, we live once
 
Ila mademu kama Chanel wapo wengi sana, unaweza kuta hata wake zetu ni akina Chanel wengine in real life....Anyways, we live once

Hahahaha. Kama haujamkuta bikra tegemea lots of Chanel in her!
 
Jamani nimekuja kuandika story but nimejikuta addicted to this kituuuu, aiseee ni tamu sanaaa.

Ah mkali! lara 1 asante sana. Na karibu tena. We should meet up. Nina ubuyu mkali naogopa kuuweka JM nitakamatwa. Only you can do that! Au unasemaje?!
 
Kwa wale wanaotaka kunipa Hi, Hongera, kusalimiana, kutoa shout out, tuwasiliane kwa whatsapp tu. +255688411043

Tafadhali namba hiyo ni ya whatsapp tu!
 
Back
Top Bottom